Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Du! Hii sasa kali,,, Tunaanza ka enzi za kurithiana hata majimbo? huku kwa wengine tunaita enzi za Umangi,, je huko wataita nini? sioni logic yoyote hapa,,, au na wao walishangilia ndugu yao kufa nini? ili warithi ubunge! am kweli sasa kila mtu la lwake
 
Kwa hiyo, Peter Wangwe (NCCR- MAGEUZI) na Prof. Samwel Wangwe (CCM) ndo watagombea nafasi ya ubunge wa jimbo la Tarime ili kuchukua nafasi ya Chacha Wangwe (RIP). oh, kumbe ni akina Wangwe....

Watoto wa Baba na Mama mmoja? Kwani kale ka-dynasty ka akina CHAMBIRI kamekufa kabisa?
 
The point is wapiga kura walimchagua Chacha Wangwe au waliichagua Chadema ?
 
Tunapenda madaraka kwa kiwango gani? Huyu anaamini katika itikadi gani? Alikuwa mtendaji akitekeleza sera za CCM, kumbe moyo wake haukuwa huko kabisa (kama angekuwa huko asingekuja na hii hadithi ya kuhama hivi sasa).
Anahama kwa sababu anazibwa mdomo au njaa ya madaraka? Kama ni kuzibwa mdomo ndio amegundua sasa baada ya bafasi ya ubunge kwua wazi? Mbona hakulijua hilo tangu awali na kuondoka? Huyu ni opportunist tu
....Kweli tupu MN,
Haya ndio mambo ya sizitaki mbichi hizi sitaki kuamini kuwa alishindwaje kujitoa CCM mapema tu kama kweli alikuwa anazibwa mdomo wakati suala la kujiunga na chama au kujitoa ni la hiari zaidi huenda alisogezewa kafungu na promises nyingine akaamua kutoka....Siasa za bongo usanii mtupu!!!!!
 
Nilisema hawa wapinzani wenza, nao watataka umaarufu, ili wawapiku CHADEMA pale Tarime, sasa unaona? NCCR TAYARI WANAMUOMBA NDUGU WA CHACHA WANGE ASIMAME KATIKA NAFASI HIYO,
 
Nimejua sasa kwa nini waombolezaji walimtimua Prof.Wangwe Jukwaani!
 
Right now, I'm feeling pretty good ndugu wananchi! And as a matter of fact, this probably is by far the best goose-bumps I have ever had! I'm not sure if I should laugh or cry [frame it whatever you want]. But saying, "Ich Bin Mtarime," is what I really feel doing today.

In case you missed it, below are some excerpts from seven pages letter-which is due to be sent to to: President Kikwete, Premier Pinda, Speaker Sitta, and Chief Justice Agostino Ramadhani sometimes later in october [this year] by the group called Tarime Citizens Action Group (TCAG).

WE WANT OUR STATUS TO BE THAT OF AUTONOMOUS
...The kind of autonomous status we want extends only to the power to set up our own system of education; Public service [water services/postal service/waste management/power utility]; and of course, supreme control of our God-given natural resources, gold.

Aside from protecting our own self-interest, we face, of course, another threat from the mining industry [Barrick Gold Corp] which makes our demand for autonomous status even more urgent than ever.

Killing/assassination has long been Barrick's strategy and its government backers [Regional Commissioner, District commissioner, Tarime police station] in dealing with the locals who have always opposed the giant mine.

These killings have been going on (unchecked) for almost 7 years now, which leave the questions: where is the central government? Does it even make any sense for the citizens of Tarime to continue to plead allegiance to the flag of the United Republic of Tanzania (when the very same government is in bed with those who are spearheading the killings against us)?

Flashing back:

In August 2001, hundreds of villagers, particularly community leaders and some prominent locals were targeted for illegal arrests in which several local leaders including the late Chacha Zakayo Wangwe (who at the time was elected Member of the Tarime District Council) were harassed and threatened leaving one guy, Augustine Nestory Sasi, being sentenced to 30 year in prison without even any due process of the law (this was before Tundu Lissu & company got him out after appealing to the High Court of Tanzania).

On top of that, for years now, the giant mine has been taking villagers' lands for its mining operations [and this is done by force] by simply dumping millions of tons of waste rock/debris onto village lands without even the pretense of seeking villagers' consent or payment of compensation as required by law.

Even more disturbing, the company has been also releasing waste water full of hazardous chemical substances from Barrick's tailings dam onto villagers' lands deliberately! This is happening at Matongo & Ghokona Villages where hundreds of hectares of farmlands have been flooded with the cyanide-laced swamps released from the tailings dam.

Not only that, the company has been also releasing this cyanide-laced water into the Tigite River, which in turn, empties into Mara River [please bear in mind that most of rural poor use the very same water from these two rivers for cooking, drinking, washing, and gardening].

I mean, we’re talking about human beings here (not animals) who have constantly been exposed into arguably one of the most potentially harmful chemical substances of its form. We're talking about defenseless people who have long been ignored by their own government!

And that’s why we want our status to be that of autonomous.

Thanks,

TCAG.

P.S. I'll continue to keep you posted as soon as I receive some new additional information...
 
Maskini wakulya Mungu kawapa neema tele lakini mnateswa na wakuja tena wazungu.
Mnyamongo yule niliokuwa nikimsikia kabakijina sasa,Naomba serikali iwaonee huruma wajameni maana sawasawa na mtu ufuge mbuzi alafu mtu akuzuie usile hata kamkia.
poleni sana wakina MALEMBERA,ombeni Mungu labda sera kali inaweza kuwafikilia maana hakika mlikuwa mkitoka nyamongo breki ya kwanza ni Matutu au Makaranga,nimesikitishwa sana jinsi JAMAA anavyo wasulubu.
 
Mkanya,

Umenikumbusha mbali sana, 87 hiyo!!!!!!!!, lakini hayo hayawezekani kwa sasa, one thing we can do now, ni kuwa na Mtizamo mwingine kabisa wa kisiasa, kwa kuwa viongozi wa kisiasa ndiyo waamuzi wa serikali nakwa kuwa CCM wametutenda hivi hakika tutapambana mpaka kieleweke.

Watanzania wenzetu tuungeni Mkono kuleta mageuzi ya kifra na hata kisiasa ndani ya taifa letu hili lenye neema, yote yatawezekana kama tu tutaamua na kuacha theory,
 
Watanzania wenzetu tuungeni Mkono kuleta mageuzi ya kifra na hata kisiasa ndani ya taifa letu hili lenye neema, yote yatawezekana kama tu tutaamua na kuacha theory

Isaymwita, kwani wewe naye ni Mtarime? Kama jibu ni ndiyo, kweli kazi mnayo! You know, hiyo cyanide inayoongelewa hapo is a very highly toxic chemical. Kuna documentary moja inaitwa "The New Gold Rush in the USA" ukipata chance itafute ndo utajua ubaya wa hiyo chemical.

In short, Toxicological studies (ATSDR, 1993) have indicated that hort-term exposure to high levels of cyanide can harm the nervous, respiratory and cardiovascular systems of animals/humans.

Plus huo mto Mara si unamwaga maji Ziwa Victoria? Hao Sato na sangara inabidi mu-waepuke kabisa!
 
Isaymwita, kwani wewe naye ni Mtarime? Kama jibu ni ndiyo, kweli kazi mnayo! You know, hiyo cyanide inayoongelwa hapo is a very highly toxic chemical. Kuna documentary moja inaitwa "The New Gold Rush in the USA" ukipata chance itafute ndo utajua ubaya wa hiyo chemical.

In short, Toxicological studies (ATSDR, 1993) have indicated that short-term exposure to high levels of cyanide can harm the nervous, respiratory and cardiovascular systems of animals/humans.

Plus huo mto Mara si unamwaga maji Ziwa Victoria? Hao Sato na sangara inabidi mu-waepuke kabisa!

Mungu wangu hii,unayo sema ni kweli Bwn.BTZ?
au some Conspiracy tu..........
 
Right now, I'm feeling pretty good ndugu wananchi! And as a matter of fact, this probably is by far the best goose-bumps I have ever had! I'm not sure if I should laugh or cry [frame it whatever you want]. But saying, "Ich Bin Mtarime," is what I really feel doing today.

In case you missed it, below are some excerpts from seven pages letter-which is due to be sent to to: President Kikwete, Premier Pinda, Speaker Sitta, and Chief Justice Agostino Ramadhani sometimes later in october [this year] by the group called Tarime Citizens Action Group (TCAG).

WE WANT OUR STATUS TO BE THAT OF AUTONOMOUS
...The kind of autonomous status we want extends only to the power to set up our own system of education; Public service [water services/postal service/waste management/power utility]; and of course, supreme control of our God-given natural resources, gold.

Aside from protecting our own self-interest, we face, of course, another threat from the mining industry [Barrick Gold Corp] which makes our demand for autonomous status even more urgent than ever.

Killing/assassination has long been Barrick's strategy and its government backers [Regional Commissioner, District commissioner, Tarime police station] in dealing with the locals who have always opposed the giant mine.

These killings have been going on (unchecked) for almost 7 years now, which leave the questions: where is the central government? Does it even make any sense for the citizens of Tarime to continue to plead allegiance to the flag of the United Republic of Tanzania (when the very same government is in bed with those who are spearheading the killings against us)?

Flashing back:

In August 2001, hundreds of villagers, particularly community leaders and some prominent locals were targeted for illegal arrests in which several local leaders including the late Chacha Zakayo Wangwe (who at the time was elected Member of the Tarime District Council) were harassed and threatened leaving one guy, Augustine Nestory Sasi, being sentenced to 30 year in prison without even any due process of the law (this was before Tundu Lissu & company got him out after appealing to the High Court of Tanzania).

On top of that, for years now, the giant mine has been taking villagers' lands for its mining operations [and this is done by force] by simply dumping millions of tons of waste rock/debris onto village lands without even the pretense of seeking villagers' consent or payment of compensation as required by law.

Even more disturbing, the company has been also releasing waste water full of hazardous chemical substances from Barrick's tailings dam onto villagers' lands deliberately! This is happening at Matongo & Ghokona Villages where hundreds of hectares of farmlands have been flooded with the cyanide-laced swamps released from the tailings dam.

Not only that, the company has been also releasing this cyanide-laced water into the Tigite River, which in turn, empties into Mara River [please bear in mind that most of rural poor use the very same water from these two rivers for cooking, drinking, washing, and gardening].

I mean, we’re talking about human beings here (not animals) who have constantly been exposed into arguably one of the most potentially harmful chemical substances of its form. We're talking about defenseless people who have long been ignored by their own government!

And that’s why we want our status to be that of autonomous.

Thanks,

TCAG.

P.S. I'll continue to keep you posted as soon as I receive some new additional information...

Ni sawa kabisa, afadhali Wilaya za Tanzania ziendeshwe kama majimbo sababu ya bureaucracy, everything central government have to make decision. Go Tarime
 
Isaymwita, kwani wewe naye ni Mtarime? Kama jibu ni ndiyo, kweli kazi mnayo! You know, hiyo cyanide inayoongelewa hapo is a very highly toxic chemical. Kuna documentary moja inaitwa "The New Gold Rush in the USA" ukipata chance itafute ndo utajua ubaya wa hiyo chemical.

In short, Toxicological studies (ATSDR, 1993) have indicated that hort-term exposure to high levels of cyanide can harm the nervous, respiratory and cardiovascular systems of animals/humans.

Plus huo mto Mara si unamwaga maji Ziwa Victoria? Hao Sato na sangara inabidi mu-waepuke kabisa!

Mbongo

Ina maana unataka nipandishe Mori? haya naomba uwambie hawa mafisadi wanautuuza kila kukicha, sisi kwa sasa ni mbuzi tulioko gulioni, hakuna haja ya kujitetea, wanatarime tumejaribu kulitetea taifa hili hata kwa jitoa maisha yetu lakini ninyi ndugu zetu mnaishia maneno, majigambo, ila sikia iko siku Mtacheka sana, si mnakumbuka mziki wetu?

Sisi hatukati tamaa, tu washindi watarajiwa, iko siku Hawa CCM na wawekezaji wao watasema koti la baba liko wapi.

Mungu ibariki Tanzania

Mungu inusuru Mara, maana hapa ndipo kisima cha wapiganaji wa Taifa hili
 
Mkuu, nakubaliana 110% kwa yote uliyoyaandika hapo juu maana:-

1. Kama sio Mara kutupatia Nyerere, sijui Tanzania tungekuwa tumepitia historia ipi? Ya Ukabila kama ilivyo kwa majira zetu wa Kenya au ya vita vya mauaji ya kimbari kama ilivyo kwa majiani zetu wa Rwanda, Burundi na Zaire ya zamani... au...?

2. Kama sio Mara kutupatia wakuu wa majeshi watatu wasio na uchu na madaraka (Meja jenerali David Musuguri, Jenerali Mwita Kiaro, na Jenerali George Waitara), sijui Tanzania ingekuwa imepitia mapinduzi mangapi ya kijeshi?

3. Kama Tarime isingetupatia mpiganaji Chacha Wangwe, sijui kama Kisyeri Chambiri (CCM) angekujaachia jimbo la Tarime?

4. Kama sio Mara sijiu kama Tarime bado ingekuwa sehemu ya Tanzania (maana Kenyatta, na Moi wote walikuwa wanaimezea mate)?

5. Kama sio Mara, sijui kama Kagera bado ingekuwa mali ya Tanzania? Pehaps Amini angekwisha ichukua siku nyingi.

6. Kama sio mara Tanzania isingekuwa Tanzania
 
Bongo,

Sasa umekitibua kichwa changu kabisa!!!!!!, umenikumbusha kule Kagera 79, nimekumbuka vile vifaru, ......Umenikumbusha Mkuu wangu, nimeanza kukumbuka tulivyokuwa tukikamatwa kwenda kulitetea Taifa hili, nimekumbuka ... nimekumbuka,

Tulifanywa Kafara kwa ajili ya Taifa hili ,UKWELI ULIKUWA SILAHA YETU, umenikumbusha, sitaki....sitaki., OOOOHHH!!! My God, lakini sikati tamaa, wakati wa ukombozi wa Taifa hili Uko karibu,

Tutatumia kura yetu vizuri kulitetea Taifa hili, haijalishi hata kama mwl Nyerere aliliweka lehani, ni Ngumu ila siku moja litakomboka tu. Itachukua Muda kuyafanya haya lakini siku zaja tutafanikiwa.

Hebu niambieni ni kiongozi gani anayetoka MARA aliye Fisadi? sasa CCM wamewatenga wazee wetu, hawatakiwi kabisa!!!!!,ndani ya chama hicho tunajua, tunaelewa.
 
Hongera WaPemba tochi yenu ya Uhuru kwa WaTanzania wote imeanza kumurika tofauti na Mwenge ambao hauna kasoro na mienge ya kutafutia maembe.
WaPemba kama wanavyosemwa kuwa ndio waasisi wa upiganiaji haki kwa kuipinga dhulma na kuionyesha Dunia kuwa Tanzania kuna ugandamizaji wa chini kwa chini, yuko wapi yule ambae hapa alijitokeza na kusema WaZanzibari sasa wana mdomo nilimjibu kuwa si WaZanzibari peke yao bali WaTanzania wote na dunia nzima na ndio hivyo.
WaPemba walionekana wabaya.hawasikii ,lakini kila siku zikizidi ukweli huchomoza, dalili za wapemba kuiona serikali haiwatendei haki na kuianika katika ofisi za Kimataifa Serikali ya Muungano,kumbe hata mikoani yapo mambo yamejificha na sasa woga umeanza kuwaondoka ,hongerani Watarime lazima mafisadi wajue kuwa Tanzania ile ya Piga tajama imepitwa na wakati.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom