Uchaguzi 2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

Mwanasheria Emmanuel Mwasonga amemuwekea pingamizi mgombea ubunge jimbo la Njombe mjini bwana Deodatus. Mwanyika ambae amepitishwa na chama chake kugombea ubunge huku mwezi wa 7 alipatikana na hatia ya utakatishaji pesa na uhujumu uchumi.

Najiuliza hadi CCM wanampitisha Mwanyika hawakujua kama ni mtu ambae hafai kugombea kulingana na sheria za Tanzania?
 
wanaenda kumrudishia hela zake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…