The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 38,224
- 83,754
Sio kutumwa mkuu huo ndio ukweli bidhaa nyingi za Mo hazina quality kuanzia taste ya bidhaa mpk packaging ni rahisi kukuta lebo ya bidhaa ya Mo inaning'inia au ukaona kabisa gundi zile za fundi baiskeli imepakwa kwny lebo and the likes of that binafsi huwa namuangalia Mo km tajiri anaeangalia upande mmoja tu wa profit maximization lkn huwa haangalii quality ya bidhaa yke kuna mambo mengi sn kuhusu u-low quality wa Mo kuanzia bidhaa zke mpk viwanda vynyw vinavyotengeneza hzo bidhaa yn mazingira tu ya viwanda vyake ni machafu mno magari yake ni chakavu ata likiwa lina muonekano wa upya bdo litakuwa ni second hand ukiangalia mishahara anayolipa wafanyakazi ndo utacheka utakuta anatoa tangazo la ajira anakwambia anahtaj mtu mwny bachelor af mshahara 200k hapo nimeingizia tu ili ujue ubabaishaji wa Mo co tu kwny bidhaa bali ni muendelezo wa mambo mengi ktk career yke kwa kifupi Bakhressa amemuacha mbali sn Mo na hilo linathibitishwa na Mo mwnyw kwa njia ya copy and paste.Mmetumwa nyie si bure, kuweni waungwana