Ignas lyamuya
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 777
- 856
Hope december Mungu akipenda nta introduce kitu changu katika market since nimemaliza fanya reserch yake for six month so stay tune
Alafu kingine boss sijasema kwa nia mbaya ila ukweli umuweka mtu wazi najua atapata wasaha wakupitia mawazo ya uzi huu na atajua wapi pakurekebisha
Sina tatizo na bidhaa za Mo ila mimi ni mtu ninaependa vitu vizuri skuzote hivyo sioni aibu kusema kuwa kitu fulani nikibaya na ukweli ni kua BIDHAA HII NI MBAYA kwa mtu aliekunywa Azam ukwaju anaweza toa comment zake na ukweli ni kuwa Azam amewekeza sana na yuko na watu makini katika maswala ya food production
Kwa watu wanaolewa Marketing watakuelewa mkuu ni haki yako kama customer kuichambua bidhaa kifupi watu wa Marketing wanamuangusha sana MO sio siri hakuna creativity kama huna creativity dunia ya sasa hutapata kitu