Ubovu mashine Airport: Kwanini Magufuli hakumtumbua Waziri husika?

BURUTA

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
613
791
Kama kweli Magufuli alitonywa mashine zile hazifanyi kazi kwanini hakumuajibisha waziri husika Prof Mbarawa?

Maana Waziri huyu alikuwa anajua au alipaswa kujua hilo.

Dhana inayoenea kwa kasi sada hivi kwamba JPM kimakusudi huunda matukio mbele ya camera ya kutaka misifa tu ni kweli tupu!
 
Siyo mara zote lazima atumbue. Hata onyo wakati mwingine linatosha. Hata hii aliyofanya ametuma message tosha.

Ndio maana mashine sasa inafanya kazi. Hii itasaidia kurekebisha uzembe kwenye airport nyingine hapa nchini. Sidhani kama kuna uongozi wa uwanja wowote utakaa ubweteke sasa hivi.
 
kwa hiyo ulitaja waziri husika aondolewe kisha useme rais dikteta!! acha upuuzi
 
Ngoja nitunge movie hivi....taarifa za ubovu wa machine zilikuwepo,vyombo vya dola walikuwa wanajua pamoja na wanasiasa,na pesa na mafundi walikuwa wanasubiriwa....mafundi wamefika....na pesa ikapatikana...
.may be walitaka ka promo kabla ya ukarabati
 
Kama kweli Magufuli alitonywa mashine zile hazifanyi kazi kwanini hakumuajibisha waziri husika Prof Mbarawa?

Maana Waziri huyu alikuwa anajua au alipaswa kujua hilo.

Dhana inayoenea kwa kasi sada hivi kwamba JPM kimakusudi huunda matukio mbele ya camera ya kutaka misifa tu ni kweli tupu!
mkuu hivi kama hao watonyaji wapo kama inavyo sadikika kwanini wasimtonye waziri husika? au ndo kuchongeana na kujipendekeza?
 
Ina maana huwa hawa report machine ikiharibika? Sidhani! Wakubwa wa pale uwanjani watu wa usalama wizarani wote hawajui kuwa machine mbovu? JPM hawezi kumtumbua mbarawa kwanz wizara kubwa sana pili ni wa Muungano! Atamvumilia hadi mwisho wa dahari! Akitumbua aanze kwa Kitwanga
 
Kama kweli Magufuli alitonywa mashine zile hazifanyi kazi kwanini hakumuajibisha waziri husika Prof Mbarawa?

Maana Waziri huyu alikuwa anajua au alipaswa kujua hilo.

Dhana inayoenea kwa kasi sada hivi kwamba JPM kimakusudi huunda matukio mbele ya camera ya kutaka misifa tu ni kweli tupu!

nyie si ndio mnaopiga kelele kupinga asitumbue? unafiki utawamaliza, hamna mnacho simamia kwa sasa mmebaki kulopoka tu.
 
Kama kweli Magufuli alitonywa mashine zile hazifanyi kazi kwanini hakumuajibisha waziri husika Prof Mbarawa?

Maana Waziri huyu alikuwa anajua au alipaswa kujua hilo.

Dhana inayoenea kwa kasi sada hivi kwamba JPM kimakusudi huunda matukio mbele ya camera ya kutaka misifa tu ni kweli tupu!
Kuna haja ya kuwa na msimamo.
JPM akitumbua ni shida,
JPM asipotumbua napo ni shida.
 
Kuna haja ya kuwa na msimamo.
JPM akitumbua ni shida,
JPM asipotumbua napo ni shida.
Watu wakipinga utumbuaji wake mnawapinga, wakiusapoti mnawapinga. Sisi ndio watanzania yaani tunaweza kumjua mwingine kuliko tunavyojijua.
 
~~~>Juzi serikali walitangaza kuwa sukari Tani 11,000 imeshawasili

Hapa Kilimanjaro kila mfanyabiashara wa Jumla amepatiwa mifuko mi5 ...

Huu ni #Usanii.
 
Back
Top Bottom