Uboreshaji Daftati la Wapiga Kula

Uboreshaji Daftati la Wapiga Kula

ELNIN0

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Posts
4,205
Reaction score
1,576
Hi Jf
Tupeane updates ni wapi sehemu ya vituo vya uandikishaji updates za daftari la wapiga kura
Binafsi nataka kujua Sinza ni sehemu gani, na wengine pia watakuwa wanataka kujua sehemu gani zingine.

Hakuna gazeti lililotoa habari hizi - so Jf tusaidiane wakuu, hili ni jambo muhimu sana ktka hatma ya taifa letu.
 
angalia usipende kula
 
ukimchagua mtu si anaenda kula au kura?
 
Shule nyingi zinatumika kama vituo vya kuboresha daftari la wapiga kura; nenda kwenye shule iliyokaribu na unapoishi bila shaka utakuta bango linaloelekeza kituo kilipo.
 
Belesi - thanks - nitapita sehemu hiyo kucheki.
 
Back
Top Bottom