Sasa One Plus 7 Pro ni sh. ngapi wakati mwanzo ulishauri used One Plus 6 kulingana na bei.
Wakati unaupgrade hadi Android 11 wenzako wanaweza kuhama Android 11 hadi 13. Na mwaka huu 14 inatoka
Nadhani kama haujali sana usalama wa simu then utanunua used lakini ninashauri pia kwenda na wakati. Binafsi sifurahii kununua simu ambayo sijatoa seal mwenyewe yaani kuna mtu mwingine kaitumia, duh