Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,556
- 2,331
Hizo simu zikifika tz hakuna Kodi zaidi ?Redmi 9T inauzwa kwa bei hiyo AliExpress na inatumia chipset ya Qualcomm Snapdragon 662 sio Mediatek. Ukitaka kuipata AliExpress andika Redmi 9T halafu sort by : Order, utaiona Redmi 9T kwa 267000/=
Ila kama una mpango wa kununua Redmi Note 11 sio mbaya, endelea tu kama ulivyopanga
Hakujna kodi.Hizo simu zikifika tz hakuna Kodi zaidi ?
Ndio 10c redmi ni midrange flagship nadhani itakufaa ndo nayotumia hapa iko vizuri kuanzia charge mpaka cameraChief mpaka sasa unasema hakuna Simu bora zaidi ya Redmi 10C kwa bajeti chini ya 350,000/=
Redmi 10C ni upper entry level smartphone inayotumia SoC ya midrange smartphonesNdio 10c redmi ni midrange flagship nadhani itakufaa ndo nayotumia hapa iko vizuri kuanzia charge mpaka camera
Soc yake ni Snapdragon 680 Kwa bei ya TSH 350000 kupata simu hii ni ngumu Sana hivyo inaifanya kuwa pekee yenye bei ya chini
Waliongeza VAT ndio maana wanauza ghali.Redmi 10C tigo washapandipsha bei ni 375,000
Mitaani bado 340000/= unaipataRedmi 10C tigo washapandipsha bei ni 375,000
Faida ya kununua tigo labda tuseme ni zile GB 5.5 za kila mwezi ambazo tuseme ni sawa na 11,000 kwa mwezi.Mitaani bado 340000/= unaipata
Huyo jamaa naona anaziuza ig (ilala_mobile)KAMA MTU UNATAKA SIMU MID RANGE BORA UNUNUE ONEPLUS 6. BEI YAKE NI KAMA 400K ~ 350K HIVI (USED). URUDI HAPA KUJA KUNISHUKURU
One Plus 6 haikai na chaji halafu bado ni Android 8.1, kumbuka hii ni 2023. Kama ni laki nne kwa Bongo bora ujinunulie "Xiaomi Redmi 10" plain upate simu iliyobalance specifications kwa standard ya 2023. Display yake ni IPS LCD ingawa gsmarena amethibitisha kuwa bado ina mwanga wa kutosha na unaweza kuitumia juani. Pia ina kamera ambayo haina mpinzani kwa bei yake. AnTuTu score yake ni kama ya One Plus 6 na bado inakaa na chaji, unapata mpya full and sealed boxKAMA MTU UNATAKA SIMU MID RANGE BORA UNUNUE ONEPLUS 6. BEI YAKE NI KAMA 400K ~ 350K HIVI (USED). URUDI HAPA KUJA KUNISHUKURU
Mkuu Redmi 10 na Redmi note 10 5g ipi ni best? Hasa zaidi kwenye camera?One Plus 6 haikai na chaji halafu bado ni Android 8.1, kumbuka hii ni 2023. Kama ni laki nne kwa Bongo bora ujinunulie "Xiaomi Redmi 10" plain upate simu iliyobalance specifications kwa standard ya 2023. Display yake ni IPS LCD ingawa gsmarena amethibitisha kuwa bado ina mwanga wa kutosha na unaweza kuitumia juani. Pia ina kamera ambayo haina mpinzani kwa bei yake. AnTuTu score yake ni kama ya One Plus 6 na bado inakaa na chaji, unapata mpya full and sealed box
Wazee wa AliExpress kwa chini ya laki tatu na nusu unajipatia "Xiaomi Redmi Note 10 5G" ya 4GB RAM 128GB ROM na "Xiaomi Poco M5" ya 4GB/64GB na Xiaomi Redmi Note 11 ya 4GB/64GB kwa around 367,000/=. Hizi simu zinauzwa bei hii kwenye store kubwa zenye positive reviews nyingi, rating ya above 4.5 na order nyingi sana mfano store ya Goldway huko AliExpress
Kwa laki nne unajipatia Realme 8 safi kabisa huko AliExpress. Binafsi sishauri kununua simu used
Kama shida ni simu used kuna Sony Xperia XZ3 kwa around 300K ambayo Ina Android 9 au hata LG G8, otherwise nunua simu mpya ambayo ni bora yenye standard nzuri ya Sasa na inayotunza chaji.
Funga Gcam 8.7Mkuu Redmi 10 na Redmi note 10 5g ipi ni best? Hasa zaidi kwenye camera?
It's upgradable to android 11 bro and huwezi ukafananisha prime Oneplus devices na kina xiaomi bwana bro. Mimi nina oneplus 6 nilinunua kwa bro angu ambaye na yeye alinunua kwa jamaa yake but bado iko moto mno. & Kuhusu chaji it doesn't have the best battery but ina survive more than 10 hours kwa matumizi yangu na nikiichomeka nikaingia msalani natoka imejaa 20% it's not that big of a deal to me.One Plus 6 haikai na chaji halafu bado ni Android 8.1, kumbuka hii ni 2023. Kama ni laki nne kwa Bongo bora ujinunulie "Xiaomi Redmi 10" plain upate simu iliyobalance specifications kwa standard ya 2023. Display yake ni IPS LCD ingawa gsmarena amethibitisha kuwa bado ina mwanga wa kutosha na unaweza kuitumia juani. Pia ina kamera ambayo haina mpinzani kwa bei yake. AnTuTu score yake ni kama ya One Plus 6 na bado inakaa na chaji, unapata mpya full and sealed box
Wazee wa AliExpress kwa chini ya laki tatu na nusu unajipatia "Xiaomi Redmi Note 10 5G" ya 4GB RAM 128GB ROM na "Xiaomi Poco M5" ya 4GB/64GB na Xiaomi Redmi Note 11 ya 4GB/64GB kwa around 367,000/=. Hizi simu zinauzwa bei hii kwenye store kubwa zenye positive reviews nyingi, rating ya above 4.5 na order nyingi sana mfano store ya Goldway huko AliExpress
Kwa laki nne unajipatia Realme 8 safi kabisa huko AliExpress. Binafsi sishauri kununua simu used
Kama shida ni simu used kuna Sony Xperia XZ3 kwa around 300K ambayo Ina Android 9 au hata LG G8, otherwise nunua simu mpya ambayo ni bora yenye standard nzuri ya Sasa na inayotunza chaji.
Sasa One Plus 7 Pro ni sh. ngapi wakati mwanzo ulishauri used One Plus 6 kulingana na bei.It's upgradable to android 11 bro and huwezi ukafananisha prime Oneplus devices na kina xiaomi bwana bro. Mimi nina oneplus 6 nilinunua kwa bro angu ambaye na yeye alinunua kwa jamaa yake but bado iko moto mno. & Kuhusu chaji it doesn't have the best battery but ina survive more than 10 hours kwa matumizi yangu na nikiichomeka nikaingia msalani natoka imejaa 20% it's not that big of a deal to me.
Mtu yoyote anaetafuta simu akanunue Oneplus 6 - 7pro aje anishukuru baadae . View attachment 2515380
Hapo umeuliza maswali mawiliMkuu Redmi 10 na Redmi note 10 5g ipi ni best? Hasa zaidi kwenye camera?
Mkuu natumia hio 8A imekuwa na tatizo la kutosoma simcard Kwa week sasa, imeniandikia no service sijui shida nini mana mafundi wameshindwaBei kiasi gani mkuu?