Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
mhdatastar university kitabaki kuwa best ndani na nje ya Africa
mimi nashangaa maana swali dogo wana anya duhNadhani mtoa mada alitaka kujua "ukuu" wa UDSM kitafiti na kiuvumbuzi sasa naona wachangiaji wengi tumeamua "kurusha mawe".
Anyway ningekua najua ningemjibu, ila kwa sasa wacha nishuhudie mashambulizi makali kuelekea kwa mtoa mada.
Hawo waliofanya ugunduzi ni product ya udsm sijui mnajadili nini hapa ila kama unataka kujua zaidi karibu kwenye maonyesho ya idara zote za ud...ni vingi mno kila mwaka kuandika apa muda huo umeniishiam'memuelewa mleta maada au mnaropoka kwa miemko yenu,dogo anataka kujua UDSM imefanya ugunduzi wa maana kama ilivyofanya SUA na MAKERERE
Badala ya kujibu hoja mnatokwa povu
Nadhani hujahudhuria maonyesho ... mwaka huu nimeona new software's kwa ajili ya traffic dpt,health officials zilizokua developed na college of COICT, ....research ndio za kumwaga kila week zinatoka...ni nyingi mno kucatch public attention maana imekua kawaida udsm....tatizo ni kuwa serikali mara nyingi haiziangalii...Wachangiaji wanao Anya wanaonesha dhahiri hata hapo udsm mlikuwa mnaenda op ( out of point)
Just a simple way only to answer the question.
Kumjibu mtoa mada kwa dharau mnaharibu jina n repution ya Chuo.
Lakini PIA inaonesha Chuo chetu cha udsm imebaki Ni jina tu
Hii inaonesha kwa miaka ya hivi karibuni Chuo hakina jambo la kujisifia aidha kwa tafiti au ugunduzi.
Nashauri mada kama hii ijibiwe vyema ili kuvutia vijana wanaotarajia kujiunga na Chuo hiki.
Mimi (BA- PSM) SUA, CPSP (T), (MSC.PSM) MU
Udsm hiyo chini ya Muhimbili kwa upande wa medicine... Inaazima hadi malecturerKabla sija kuambia ukubwa wa UDSM,naomba nikutahadharishe kuwa kutokana na "URGUMENT" unaweza tiliwamashaka kama kweli umeingia hapokwa sifa sitahiki hapo maana hicho ni chuo cha "GREAT THINKER"
Sasa nakuja kwenye hoja zako:
1.Tunaposema Chuo kikubwa hatumaanishi ukubwa wa eneo,bali ni taaluma inayotolewa kwa kuzingatia wataalamu waliopo chuoni hapoukilinganisha na vyuo vingine.
2.UDSM ndiyo chuo kikuu cha kwanza nchini tangu Tanzania ipate Uhuru.
3.UDSM ndiyo chuo kilichozalisha vyuo vingine vidogovidogo na sasa ni vikubwa kabisa kama vile, SUA,MUHIMBILI,ARDHI, MUCE,DUCE japo bado viko chini yake.
4.UDSM ni chuo bora chenye wataalamu wakutosha ambao vyuo vingi nchini na nje pia wamezalishwa hapo
5.UDSM ni chuo chenye ubora wa kitaifa na kimataifa in its programmes and research qualities
6.UDSM is a University with big reputation
HAYO NI MACHACHE TU
Sasa kama hujui kuandika barua utaombaje kazi?Naweza nikawa sijui kuandika barua ila naweza kukuandikia mkataba wa kiwanda chako tu ni utofauti tu ndo maana kuna secretary na lawyer.....na hapo kama sijui ni kupenda tu nasio kushindikana maana mziki wa semester sita mpaka nane hauwezi kuulinganisha na page moja ya paragraph tano.
Nitampa secretary idea yeye ataniandikia barua hiyo ndio profession yao, niko mwaka wa pili chuo sijawahi kukutana na course yakuandika barua kwa level ya degree,,, hawategemei sisi kufanya kazi hizo wapo wataalamu wake.Sasa kama hujui kuandika barua utaombaje kazi?
Kama Kazi hamna sio kosa la udsm, kupigwa kwenye interview sio sababu ya udsm pia, nashindwa kutofautisha unachosema na ule umbea wa waliokosa chance yakusoma udsm wakitaka kujitetea kwanini hawastahili kuwa udsm, ila nikupe fact tu kwa kozi nnayosoma hakuna ambaye yupo mtaani kwa kukosa ajira.Kazi zenyewe hamna, mkiitwa kwenye interview hovyoo, mnapigwa na graduates wa taasisi hizo mnazozibeza halafu bado mnajivunia majina ya vyuo, yanawasaidia nini? Una mwaka wa 5 huu hujapata hata tempo then unambeza mtu wa taasisi fulani ambaye yupo kazi ya tatu hii sasa anabadili tu na ukishindana naye humuwezi (Si ana experience). Kama chuo chako bora sana vumbua kazi.