Ubora wa tv za Star-X

Mimi Nina Star X inchi 43 naweza kupata kifaa cha kuifanya kuwa na Android...hapa bongo na kiko bei gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza kutumia kwenye star x inch 43 yenye HDMI..au kutatakiwa kuongeza mambo mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kifaa hicho kinaitwa TV Box, vipo vya aina nyingi ila common ni mXQ Pro Tv box. Kinauzwa kati ya 80,000 mpaka laki 1.

Ndio utaweza kukitumia kwa kuchomeka waya kwenye hdmi ports za TV yako. Hakuna la nyongeza maana kinakuja na nyaya zake, remote na mazaga mengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…