Ubora wa tv za Star-X

Kama unataka tu ku mirror kioo cha simu yako si lazima kununua tv box unaweza tu ukanunua chromecast ama hizi miracast stick. Online kama 20,000 hivi ila huku kwetu wanaziuza hadi 60,000 zipo kama hivi.
 
Vip hawa kodtec mkuu
 
Naomba kujua tofauti ya Smart TV na ya kawaida
Kitu gani nita miss kwenye TV isiyokuwa Smart?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…