Ubora wa tv za Star-X

Mimi nahitaji tu TV box ya kawaida ambayo naweza kupata app kama azam na kuistall baadhi ya app nichek,ila sijajua iliyo bora na rahisi kupata ni IPI,pia nipe ubora wa Mi box
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea mkuu, kuna mambo mengi ya kuangalia.
-viewing angle
Tv inapokaa sebuleni kila mtu anakaa sehemu yake kuna wanaoiangalia tv straight na kuna wanaokaa kwa pembeni, kioo kizuri mahala popote unapokaa unaona kwa quality ile ile. Brand za ajabu ajabu mara nyingi hazima quality kama hii.


Hapa ndio unakutana na technology kama ips.

2. Technology iliotumika kutengeneza vioo
Kuna oled, Qled, led, lcd, plasma etc


3. Contrast ratio
Utofauti baina ya tv kuonyesha rangi nyeupe na nyeusi.

4. Resolution etc

Hivyo unaweza kuta tv ni oled ila imepitwa resolution na lcd na still hio tv ya oled ikaonyesha picha vizuri.
 
Mimi nahitaji tu TV box ya kawaida ambayo naweza kupata app kama azam na kuistall baadhi ya app nichek,ila sijajua iliyo bora na rahisi kupata ni IPI,pia nipe ubora wa Mi box

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama budget inabana unaweza chukua hio mxq bei yake ni chini ya laki na online chini ya 50,000 unaipata.

Mi box ni nzuri zaidi maana utapata android tv na voice feature. Utaweza tu kuicomand tv na sauti. Pia specs zake ni nzuri utapata overall good experience.
 
Hii imenikosha mkuu ...vipi kwa uzoefu wako aina gani zinaweza kuwa nzuri na mtu akakaa angle yoyote na kufaidi muonekano
 
Hapa dar-es salaam zinapatikana hizi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko vzur katika upembuxi wa mashne sahihi umenfunza kitu kka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa km cyofundi wa electronc utakua hujitendei haki! Unajua mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…