AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,666
- 2,840
nimekuelewa chief,so haifai kuifuta futa ovyo sio?Mkuu ni nzuri sana kama utaiweka sehemu salama kama kuining'iniza ukutani ambapo haitakuwa inaguswa guswa kila mara
kwasababu shida yake ni kuwa zipo delight sana, yaani nyepesi kuharibika ikijigonga kidogo tu, au kuifuta na kitambaa kibichi, vumbi nk
kwa hiyo mkuu unataka kusema kuwa hizi tv sio kabisa maana nilitaka kuingia chaka nizinunue kama mbili hivihumu watu walikuwa wanazisifia zina quality nzuri ya picha, siku moja nilitembelea banda moja la game nikakuta wamezieka, tv zipo kwa chini kidogo, nikisimama tu tayari ule ubora wa picha unapotea inataka uiangalie straight, inamaana haitumii ips technology.
hivi vitu ambavyo hata ukivigoogle zinakuja result za Africa tu muwe mnakaa mbali navyo, vingi ni watu wanaenda China wananunua vitu na kubrand majina yao, havijulikani hata vimetengenezwa kiwanda gani.
kama Huna budget ya kutosha Tafuta TCL ni mchina anayeaminika na bei zao zinafanana na hao kina Boss na Star X.
mhh,Mhandisi Mzalendo inamana hizi tz ni kama maboksi tu?Ukiigusa kidogo tu inachora mstari au kupasuka kabsa....
Ni cheap product so it is expensive...
sisemi kwamba sio, ila hazina uhakika. unatake risk unaponunua.kwa hiyo mkuu unataka kusema kuwa hizi tv sio kabisa maana nilitaka kuingia chaka nizinunue kama mbili hivi
sante mkuu kwa angalizo hili muhimu.sisemi kwamba sio, ila hazina uhakika. unatake risk unaponunua.
Vipi hizi [HASHTAG]#haier[/HASHTAG] tv ?humu watu walikuwa wanazisifia zina quality nzuri ya picha, siku moja nilitembelea banda moja la game nikakuta wamezieka, tv zipo kwa chini kidogo, nikisimama tu tayari ule ubora wa picha unapotea inataka uiangalie straight, inamaana haitumii ips technology.
hivi vitu ambavyo hata ukivigoogle zinakuja result za Africa tu muwe mnakaa mbali navyo, vingi ni watu wanaenda China wananunua vitu na kubrand majina yao, havijulikani hata vimetengenezwa kiwanda gani.
kama Huna budget ya kutosha Tafuta TCL ni mchina anayeaminika na bei zao zinafanana na hao kina Boss na Star X.
Mimi natumia Star X 43" kwa miaka 2, iko vizuri na sijapata tatizo lolote! Na kabla ya hapo nilikuwa natumkia Sony Bravia 32" ambayo ilikufa Display baada ya miaka 5.kwa hiyo mkuu unataka kusema kuwa hizi tv sio kabisa maana nilitaka kuingia chaka nizinunue kama mbili hivi
Haier ni Kama TCL sio level za kina Samsung na LG lakini ni kampuni inayofahamika.Vipi hizi [HASHTAG]#haier[/HASHTAG] tv ?
TCL ni international brand aisee, usifananishe na mataka taka ya star-x hayo ama boss!humu watu walikuwa wanazisifia zina quality nzuri ya picha, siku moja nilitembelea banda moja la game nikakuta wamezieka, tv zipo kwa chini kidogo, nikisimama tu tayari ule ubora wa picha unapotea inataka uiangalie straight, inamaana haitumii ips technology.
hivi vitu ambavyo hata ukivigoogle zinakuja result za Africa tu muwe mnakaa mbali navyo, vingi ni watu wanaenda China wananunua vitu na kubrand majina yao, havijulikani hata vimetengenezwa kiwanda gani.
kama Huna budget ya kutosha Tafuta TCL ni mchina anayeaminika na bei zao zinafanana na hao kina Boss na Star X.
Haier ni Kama TCL sio level za kina Samsung na LG lakini ni kampuni inayofahamika.
Nilikuwa nasoma mtandaoni review Cnet na kwingineko TCL sasa inauza sana Marekani ikiwa ni Cheap Brand lakin ikija na tecnolojia ambazo kwa Sumsung na LG zingekuwa Ghari sana na wakawa wanaipna kama brand inayokuja kuwasumbua kampuni kama visio.TCL ni international brand aisee, usifananishe na mataka taka ya star-x hayo ama boss!
Sasa we ndio mfano wa watu ambao naweza wapa heko,,,umefatilia vyema sana sio sawa na wale waropokaji wasiojua vitu wanapayuka tu...Hio OS wanatumia inaitwa RokuNilikuwa nasoma mtandaoni review Cnet na kwingineko TCL sasa inauza sana Marekani ikiwa ni Cheap Brand lakin ikija na tecnolojia ambazo kwa Sumsung na LG zingekuwa Ghari sana na wakawa wanaipna kama brand inayokuja kuwasumbua kampuni kama visio.
Na kuna sehemu nimesoma pia hii ni kampuni ya kimarekani japo ina mizizi China.
Matoleo yake ya pekee yenye bei nafuu lakini yakiwa yana compete na Series kama U ya Samsung ni pamoja na P series (TCL) hivyo kwangu inaaminika zaidi
Na wanatumia OS yao moja hv jina nimesahau ambayo pia ipo well Reviewed
Kweli mkuu inaitwa ROKU wana innovate tecnolojia ya juu kabisa kwa cheap price nadhani watu wasome review ya TV yao ya P6 ambayo ambayo 55" imeuzwa kwa bei ya Usd 655-699Sasa we ndio mfano wa watu ambao naweza wapa heko,,,umefatilia vyema sana sio sawa na wale waropokaji wasiojua vitu wanapayuka tu...Hio OS wanatumia inaitwa Roku
Mkuu naomba experience yako Kama unazielewa vizuri tv aina ya boss, kuna ambayo nimeiona nchi 42" ya mwaka 2017 ina resolution yake ni 2160 yaani mara mbili ya 1080.Picha yake ilinivutia sana inatumia android.Sasa we ndio mfano wa watu ambao naweza wapa heko,,,umefatilia vyema sana sio sawa na wale waropokaji wasiojua vitu wanapayuka tu...Hio OS wanatumia inaitwa Roku
TCL smart tv zilizopo bongo ni za generation ya mwanzoni zile ambazo zinatumia OS ya linux. Hizi za Roku ni kama bado hazijaingia maduka yetu ya changanyikeni yale.Kweli mkuu inaitwa ROKU wana innovate tecnolojia ya juu kabisa kwa cheap price nadhani watu wasome review ya TV yao ya P6 ambayo ambayo 55" imeuzwa kwa bei ya Usd 655-699
Mwaka huu 2018 wanakuja na Series 6 ambayo pia imeshasemwa ita mantain cheap price..
View attachment 707708