Ubora wa simu za Tecno dhidi ya Infinix....

Ubora wa simu za Tecno dhidi ya Infinix....

Kwa hio bei mkuu ,unapata samsung galaxy 6 edge mbona ya mtumba ambayo ni sawa na mpya
 
Narudi tena nikiwa na narrower options, naomba nisaidiwe kufanya uchaguzi sahihi na ikiwezekana na sababu ili kwa bajeti yangu hii ndogo nisijichanganye. Nimefanya reseach kidogo nimekuta simu 3 za brands tofauti ila specifications karibu sawa..

Ninachotaka kutoka kwenu ni uchaguzi (possibly with reasons) ni ipi nzuri zaidi nikanunue kati ya hizi:

1. INFINIX HOT S4
2. SAMSUNG GALAXY A10
3. TECNO POUVOIR 2 PRO

Msinichoke jamani , natamani kizuri, sema uwezo mdogo.
chukia samsung halafu bwana wee.

hivi hata huoni aibu kuidhurumu nafsi yako!
 
Ila watumiaji wa Samsung wanatudharau sana watumiaji wa tecno sijui kwanini
mtu kaomba ushauri kati ya tecno na infinix nyie mnaanza kumwambia ni bora anunue Samsung!!!!!
embu wakuu tujaribu kuheshimu mawazo na maamuzi ya mtu,hatuwezi kuwa uniform wote,so far tukiamua wote kuhamia Samsung tutaambiwa tena tuhamie iPhone!!!
Natumia tecno spark series na kwa 95% ninapata applications ambazo mwenye Samsung anapata.
Huna simu apo baba!!!!
 
Back
Top Bottom