Ila watumiaji wa Samsung wanatudharau sana watumiaji wa tecno sijui kwanini
mtu kaomba ushauri kati ya tecno na infinix nyie mnaanza kumwambia ni bora anunue Samsung!!!!!
embu wakuu tujaribu kuheshimu mawazo na maamuzi ya mtu,hatuwezi kuwa uniform wote,so far tukiamua wote kuhamia Samsung tutaambiwa tena tuhamie iPhone!!!
Natumia tecno spark series na kwa 95% ninapata applications ambazo mwenye Samsung anapata.
Ivi huyo ni me au keChukua infinix kaka ni moto balaa ,wameziboresha mno kuanzia display na inaukubwa wakutosha
Nb.kwakulingana na pesa yako
Haina chochote cha ziada hyo A10 ...
Inafanana tu na hzo infinix hot 7, spark3,,.
Bora uchukue infinix S4..
Watalamu watakuja kukwambia sijui chip yake exyno sijui snapdragon ila hayo mambo kwa mtumiaji wa kawaida wa simu huwez ona tofauti yoyote ile....
Infinix ina umbo zuri napia inakaa na charge Muda mrefu tatizo ya izi simu za bei nafuu kadri inavyo kaa Muda ndivyo ubora unazidi kupungua unaweza kushindwa kupokea simu ya maana na unaiona inaita.
SureHaina chochote cha ziada hyo A10 ...
Inafanana tu na hzo infinix hot 7, spark3,,.
Bora uchukue infinix S4..
Watalamu watakuja kukwambia sijui chip yake exyno sijui snapdragon ila hayo mambo kwa mtumiaji wa kawaida wa simu huwez ona tofauti yoyote ile....
Betri ni 3400mAh acha fixMkuu kwa hiyo bei yako nakushauri uende dukani ukanunue Samsung Galaxy A10, ni simu mpya kabisa ya mwaka huu, ina screen inch 6.4, battery 4000mAh, camera mbili, memory ram3gb, rom 32gb n.k
Me natumia A50 ni ndugu yake.
Mwenyew nilikua mudau sana wa izo simu but hasira ilinikamata nilaachana nazo nakula good time saiv na Samsung na LG kwa mkorea utanitoa roho iyo mi iPhone ata siitaki malaya wote wa mjini iPhone mpka kelo.Umenikumbusha mbali sana Hahahaha
Ongeza laki mbili hapo nenda kachukue Samsung mpya nzuri tu..... Achana na mabrand ya kitapeli hayoNianze kwa kudeclare interest kuwa mimi ni mtumiaji wa siku nyingi wa simu za TECNO. Ifahamike kuwa uchaguzi huu unatokana tu na uwezo wa kifedha na hivyo sikaribishi hoja ya ubora wa simu nyingine nje ya hizi mbili nilizotaja hapo juu.
Nia ya kuleta uzi huu hapa ni kutaka kupata mawazo kutoka kwa wazoefu wa Brand zote mbili ili niweze kufanya uchaguzi wa SMARTPHONE mpya ninayotarajia kununua. Itapendeza zaidi kama mtanipendekezea na aina inayoweza kunifaa kwa bei isoyozidi Tshs. 300,000/=
ASANTENI SANA!




tecno wezi kinoma wametoa Phantom 9 inauzwa kama laki 7 plus ajabu simu lina micro usb not usb c, no fast Charge, alafu wanasema hiyo ndio flagship device.
wamewahadaa watumiaji kwakuwela Amoled Display na On Screen Finger print, wakat hiyo laki 7 aisee ukiitupa pale aliexpress ni balaa, au unawexa itupa kwa Samsung S8, au LG G8Tecno, Infinix na itel zote kampuni moja, ni simu za ovyo kabisa, sikushaur kuchukua hzo calculator, simu gani ukibofya kurespond mpak ijifikirie, ongezea hela kachukue samsung a10,
samsung wameboresha sana tena bei nafuu, simu ya samsung a10 kwa specification zake kama ingekuwa zaman ungeipta kwa 600k, samsung ametoa matoleo ya Aseries kukabiliana na Xiaomi pamoja na Oppo brand zinazomtishia amani na zinakuja kwa speed ya mbwa mwizi, xiaomi na redmi zpo kwenye top 5 ya kampuni bora za simu, tecno na infinix hazpo hata kwenye top100, ni simu mbovu mno hata kule zinapotengenezwa haziuzwi, ni dump for Africa
Daah umepiga mule mule,natumia CX yan kimeo hatar kama niko wasap au app yoyote halaf nataka kurud home page au nikapigiwa simu,mtihan sana kupokea yan lazma simu ijifikirie zaid ya sekunde 10 ndio itarespond mamamae kweli mchina😬Ngoja waje wazee wa tecnotecno wezi kinoma wametoa Phantom 9 inauzwa kama laki 7 plus ajabu simu lina micro usb not usb c, no fast Charge, alafu wanasema hiyo ndio flagship device.
Inatumia processor ndogo P35wamewahadaa watumiaji kwakuwela Amoled Display na On Screen Finger print, wakat hiyo laki 7 aisee ukiitupa pale aliexpress ni balaa, au unawexa itupa kwa Samsung S8, au LG G8
Dada sijui kaka nunua tu tecno au Infinix kama utapenda lakini ni nzuri miezi 6 ya kwanza baada ya hapo, material yake ya mwonekano yanaharibika inachubuka, kamera inaanza kufifia, kifuatacho nikuganda ganda.
Pili simu za tecno na infinix zina touch nzito vibaya mno, ukiweka na protector ndio kabisaa hata kama mpya. Huamini chukua tecno yeyote na Samsung anza kubonyeza apps uone ipi touch sensor ipo smooth.
Ongeza hapo kwenye laki 3, kiasi cha sh elf 60 ununue Galaxy A20. Nmependekeza hii maana ina kioo bora cha amoled apposed to A10
Mkuu kivipi ushindwe kupokea simu?Kitu gani kinasababisha?Infinix ina umbo zuri napia inakaa na charge Muda mrefu tatizo ya izi simu za bei nafuu kadri inavyo kaa Muda ndivyo ubora unazidi kupungua unaweza kushindwa kupokea simu ya maana na unaiona inaita.