Ubora wa simu za Tecno dhidi ya Infinix....

Ubora wa simu za Tecno dhidi ya Infinix....

Musundi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
1,584
Reaction score
2,613
Nianze kwa kudeclare interest kuwa mimi ni mtumiaji wa siku nyingi wa simu za TECNO. Ifahamike kuwa uchaguzi huu unatokana tu na uwezo wa kifedha na hivyo sikaribishi hoja ya ubora wa simu nyingine nje ya hizi mbili nilizotaja hapo juu.

Nia ya kuleta uzi huu hapa ni kutaka kupata mawazo kutoka kwa wazoefu wa Brand zote mbili ili niweze kufanya uchaguzi wa SMARTPHONE mpya ninayotarajia kununua. Itapendeza zaidi kama mtanipendekezea na aina inayoweza kunifaa kwa bei isoyozidi Tshs. 300,000/=
ASANTENI SANA!
 
Japo hukutaka nje ya hizi brand lakini kwa ela hiyo unapata samsung a10 mpya na chenj inabaki ya kifurushi cha week
 
Kanunue Samsung galaxy A10 ni around 290,000 K/Koo nadhani hata Jumia.
 
Kwnye lile jukwaa la Wauza smart phone kuna jamaa yupo pale China plaz samsung A10 ni 280000/= ukienda kibongobongo hata 260K unachukua.
 
Ina kipi cha ziada kuizidi infinix?
Kwnye lile jukwaa la Wauza smart phone kuna jamaa yupo pale China plaz samsung A10 ni 280000/= ukienda kibongobongo hata 260K unachukua.
 
Infinix ni tecno
Ila advantage ni kuwa unaonekana tofauti maana tecno imekuwa sare sare sana, kila mtu tecno.
 
Watumiaji wa Samsung hapa watajinadi kweli...
 
Unatoka ship A unaingia Ship b
GBWA-20190612212316.jpeg
 
Ila watumiaji wa Samsung wanatudharau sana watumiaji wa tecno sijui kwanini😬😬
mtu kaomba ushauri kati ya tecno na infinix nyie mnaanza kumwambia ni bora anunue Samsung!!!!!
embu wakuu tujaribu kuheshimu mawazo na maamuzi ya mtu,hatuwezi kuwa uniform wote,so far tukiamua wote kuhamia Samsung tutaambiwa tena tuhamie iPhone!!!
Natumia tecno spark series na kwa 95% ninapata applications ambazo mwenye Samsung anapata.
 
Back
Top Bottom