#Hapa kuna wataalamu waliobobea wa siasa siyo mambo ya magari!Wadau na wanajf naombeni msaada hasa kwa wataalamu wa magari katika matumizi,uimara na ubora kwa magari ya vokswageni kama bora,passat, polo ambayo kwayo yamekuwa yakitangazwa kwenye mitandao ya mauzo.Nia yangu ni kutaka kununua gari dogo la matumizi ya home na mrs wangu, ikilinganisha na magri mengine kama swift,starlet ,toyota vitz na duet ni madhila gani naweza kukumbana nayo hasa katika issue ya spear na ufundi.?
Asanteeni gari nzuri sana,a really germany technology,utaenjoy sana,vipuri vyake wala havisumbui,ukipata amarok,tuareg au tuaren ni bomba zaidi