kanga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,025
- 493
Wadau na wanajf naombeni msaada hasa kwa wataalamu wa magari katika matumizi,uimara na ubora kwa magari ya vokswageni kama bora,passat, polo ambayo kwayo yamekuwa yakitangazwa kwenye mitandao ya mauzo.
Nia yangu ni kutaka kununua gari dogo la matumizi ya home na mrs wangu, ikilinganisha na magri mengine kama swift,starlet ,toyota vitz na duet ni madhila gani naweza kukumbana nayo hasa katika issue ya spear na ufundi.?