Ubora wa magari ya Volkswagen kwa matumizi ya Tanzania

kanga

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,025
493
Wadau na wanajf naombeni msaada hasa kwa wataalamu wa magari katika matumizi,uimara na ubora kwa magari ya vokswageni kama bora,passat, polo ambayo kwayo yamekuwa yakitangazwa kwenye mitandao ya mauzo.

Nia yangu ni kutaka kununua gari dogo la matumizi ya home na mrs wangu, ikilinganisha na magri mengine kama swift,starlet ,toyota vitz na duet ni madhila gani naweza kukumbana nayo hasa katika issue ya spear na ufundi.?
 
Angalia kipato chako cha mwèzi mana hayo yanakula mafuta hapo ndo panatakiwa uwe makin usije ukanunua alafu pesa ya mafuta ikakata0mkuu
 
ni gari nzuri sana,a really germany technology,utaenjoy sana,vipuri vyake wala havisumbui,ukipata amarok,tuareg au tuaren ni bomba zaidi
 
Wadau na wanajf naombeni msaada hasa kwa wataalamu wa magari katika matumizi,uimara na ubora kwa magari ya vokswageni kama bora,passat, polo ambayo kwayo yamekuwa yakitangazwa kwenye mitandao ya mauzo.Nia yangu ni kutaka kununua gari dogo la matumizi ya home na mrs wangu, ikilinganisha na magri mengine kama swift,starlet ,toyota vitz na duet ni madhila gani naweza kukumbana nayo hasa katika issue ya spear na ufundi.?
#Hapa kuna wataalamu waliobobea wa siasa siyo mambo ya magari!
Hapa umebugi meen! Nenda kule kungine kwa magari!
Au unasahau kama samaki!
 
mjomba wako mutuz ashakupa pande la kufisadi somewhere,hapa tunaongea siasa sio magari
 
Mkuu sio mabaya ila spea zake zipo juu kidogo lakini ni bora kuliko spea za toyota ambapo kupata genuine ni issue,kwani hapo utapata spea halisi.
 
Ukiweza kupata beetle new model nakuhakikishia utakaa nayo miaka 20-30! Miongoni mwa magari bora kabisa duniani ila bei imechangamka bro m 25 kwenda juu!
 
mjomba wako mutuz ashakupa pande la kufisadi somewhere,hapa tunaongea siasa sio magari

Hata wanasiasa pia niwatumiaji wazuri wa magari. Kuna mada zingine ni mutambuka siyo kufikiri kama samaki men
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom