jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo saiv natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vby, juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.nipeni ushauri wenzangu
I am a man, asante kwa ushauri anyway,yote hayo najua lakin time sasa
Ubora wa bidhaa za Azam uko chini sana.
pole sana,wahi hospital kabla situation ocome worse..jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo saiv natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vby, juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.nipeni ushauri wenzangu
kumbe azam wamesambaa hadi montana?Mi nishawahi kununua juisi yao ya machungwa mbona nilikoma!
Juisi ilikuwa na ladha ya ajabu ajabu ambayo hata siwezi kuielezea vizuri.
Chungu si chungu, harufu mbaya kama vile walitumia machungwa yaliyooza, nzito utadhani uji, hovyo kabisa.
Ubora wa bidhaa za Azam uko chini sana.
wasijekuwa wamekupoison?i mean hauna bifu na mtu katika family yako?jamani jioni hii nimejinunulia juice ya azam mango ile ya box ya litre 1,lakini cha ajabu test yake imekua ya ajabu sana,imenivuruga sana tumbo saiv natapika kila baada ya dakika kama 5 na ni serious sana na tumbo linauma vby, juice haija expire na nimezoea karibu kila siku kunywa.nipeni ushauri wenzangu
kumbe azam wamesambaa hadi montana?
Mi nishawahi kununua juisi yao ya machungwa mbona nilikoma!
Juisi ilikuwa na ladha ya ajabu ajabu ambayo hata siwezi kuielezea vizuri.
Chungu si chungu, harufu mbaya kama vile walitumia machungwa yaliyooza, nzito utadhani uji, hovyo kabisa.
Ubora wa bidhaa za Azam uko chini sana.