NGAYANIMO
Member
- Feb 17, 2026
- 36
- 55
CHID BENZ FT. NGWEA - WAKATI NDIO HUU
VERSE.. 1. "CHID BENZ"
Vidole vyangu kwenye mic 🎤 Sauti ndani ya Beat /
Niko mbele ya Umati wenye wengi mashabiki/
Me na Amini nimezaliwa kushinda
Nimezaliwa jasiri hata Simba nitamwinda /
Wengine udhani ya kama naimba Uongo/
Kisa navyo flow Eti siimbi kwa Usongo/
Na Amini mwalimu ila sifundishi kwa gogo/
Hata style kwa Nguvu sio lazima avae Usongo/
Naomba msipotee/
Maneno myapokee/
Myape na hii nafasi sio Vizuri yapotee/
Mh.!!
Msiyachezee/
Na mwezio muelezee/
Tena mshushe kidogo ILi Vizuri
Yamwendee/
Uwezi Amua kwa kushikwa masikio/
Uwezi pigwa mkwala na Ukuanza toka mbio/
Fanya unachofanya kile unachosikia kufanya/
Fanya kisa mtu Fulani Amekuambia Fanya/
Jipe Moyo utakuja kuwa Bora/
Utafika unapohitaji plus Nguvu ya Mola/
CHORUS..
(Chid Benzi & Ngwea.)
Chid benz.
"Ni muda kwake MC/
Kote kila sehemu /
Kuonyesha mapenzi Yake na msimamo wake Kwenye Game/"
Yeah..!! yeah..!!
Ngwea.
"Nasema wakati ndo huu
Masela na mademu Rusha mikono juu"

VERSE..2 " CHID BENZ"
"MC" nimetoka mbali nipo kwenye Safari/
Nisharuka mito, majangwa mabonde na Bahari/
Nimeteswa na Baridi, kuchomwa na jua Kali/
Na sasa nipo kamili Tayari kwa vita Kali/
Kaa mbali..!!
Usimtizame kwa macho/
Usinipandishe Tabia Usi charge nilichonacho/
Naweza kujaribu Basi Sogea Acha choko choko /
Usije kama mfuasi moja moja Tu moko moko /
Mtateseka vyoko nipunguze hizi nyoko nyoko/
Pisi kama Yule lazima Nikaze Vocal/
Yeah Mamu Aah...!!
Na Hasira zaidi ya nyuki/
Narusha maneno makali kwa Kasi ya mkuki/
Ndo Mimi mtu mubaya msi Act eti amnikumbiki /
Nishawakimbiza Sana na mtatoka Sana nduki/
Najua mnakubali ila mnajifanya hamtaki /
Wala sijali !!,wala nyuma sintobaki .!!/
Na Amini baruti haiwezi shinda kwa fataki /
Au shilling kumi iwe juu zaidi ya laki..

VERSE. 3 . " NGWEA"
"Na hi ni kwa wote wanaojifanya hii Game kaa ya Kwao/
Mbele ya Umati wanadiriki hata kutukana wazawa/
Aah..!!
Najua labda anataka kuleta Uzawa/
Me WA Dom , we
Wa Dar, Sikatai Hiyo ni Sawa/
Ila Dunia Yenyewe ilianza na Adam Na Hawa/
Hata "CCM" walioanzisha ni "Nyerere" na "Kawawa"/
Hawakuwa wabinafsi/
Wakaachia nafasi/
Mpaka Leo si mnajua Nani.? Anaongoza kikosi /
Na wakati ndo huu..!!
Yeah..!!
Na chid benzino/
Na wachawi wote na hakikisha naenda nao jino kwa jino/
Na.!
kama majani ndie aliyetengeneza mume Bwege/
Sinto mrahumu nature kwa kuimba Nenda mpenzi na Chege/
Ya Nini.? Nikaze Vocal mpaka nitoke nje ya Beat/
Na bado nijigambe Niko fit , mshkaji Vipi.?
Msisahau wanaotuweka hapa si wote mashabiki/
Nakataa, Amekataa hata Promo upewe Vipi.?
End.
“Ngwea alikua ni mtu ambaye anaelewa kitu anachokifanya katika muziki wake na najua hakuna shabiki ambaye alikua anazichukia kazi zake klutokana na uwezo wake wa kusimama katika mashairi,”
Anglia Katika VERSE no.3 jamaa alivyopita Katika hii Ngoma
Kuna machache nimeng'amua Mimi kama Ukwaju wa kitambo na Jaya ni machache .
1. Alitoa ushauri kwa wasanii wote ambao Ujigamba kwenye interviews nyingi kwenye Radio & tV stations angali uwezo wao ni mdogo wanapopewa 🎤 "mic" kwenye stage hasa hasa wasanii WA Hip hop.
"Nikaze Vocal mpaka nitoke nje ya Beat/

Lakini wasanii wengi hasa WA Hip hop nikizungumzia wasanii kama nikk WA pili & Joe Makin" Weusi Company" ukimtoa lord eyez , bonta na G mako walikuwa wamekwisha potea kwenye Ramani ya Muziki na waliweza kung'aa kwenye chart " Top 20 " mbalimbali za Radio 📻 kwa kupewa Promo na Radio presenters hasa " clouds FM Radio" maana Wana ndugu yao kutokea Arusha ni preenter pale Adam mchovu..
Ilipelekea hata Tuzo za Kilimanjaro " Kilimanjaro Music Awards"
Hadi kupelekea Tuzo hizo kukosa mvuto " kila mwaka walipewa wao kwenye upande wa Hip hop.
Lakini NGWEA akazungumzia inshu ya Usawa na Ubinafsi na akitutaka tuwe wamoja tuachane na matabaka & ukabila.
" Najua labda anataka kuleta Uzawa/
Me WA Dony , Ye Wa Daz , Sikatai Hiyo ni Sawa/

Albert Mangwea alifariki Mei 28 2013. nchini Afrika Kusini.
Mangwea alifia ughaibuni. Maisha ugenini ni magumu maana habari huwa hazitangazwi sana. Mbali na taratibu za kisheria, kinachongojewa kutufariji huwa viongozi wa dini na Serikali.
Kiukweli Ngwea ni kati ya wasanii ambao walikua wanakubalika katika jamii, binafsi namuombea apumzike kwa amani,
Turudi kwa Rashid A.k.a CHID BENZ
Licha ya mengi yaliyotokea na yanayoendelea kumhusu, hakuna ubishi Chid Benzi ametengeneza muziki mzuri na kushiki kuinua wasanii wengi kupitia kolabo nyingi alizofanya miaka ya nyuma.
Haikuwa kazi rahisi kwa Chid Benzi kutoka kuwa msaidizi wa Professor Jay jukwaani hadi kuishika Bongo Fleva kwa wakati wake na kuwakilisha ilala .
Hii hii ilitoka mwaka 2007 katika studio za 41 records producer akiwa "lamar" project za mwanzo kabisa professor jay kufanya na producer lamar baada ya kutoka Bongo Record hizi ni nyakati Ambazo producer Lamar aliwateka wasanii wengi WA Hip hop na kumkimbia P funk majani akiwemo Professior jay nyimbo inaitwa " MSILIE" kabla ya Lamar kufungua studio Yake inaitwa " fishcrab"
Producer Lamar alisema yeye na Producer P Funk Majani ni mtu na binamu yake lakini Majani alikuwa hana imani nae kwenye upande wa utayarishaji wa muziki japo alimuonesha kwamba anaweza kuandaa muziki.
Producer Dunga ndiye alimpa imani P Funk Majani mpaka kuanza kumkubali na kumuamini Lamar ameiva kuwa mtayarishaji wa muziki
Ndio maana producer Lamar alipotoka Bongo Record aliamia 41 records kwa producer Dunga kutoka Kenya.
Lamar ana zaidi ya miaka 10 kwenye utayarishaji wa muziki Bongofleva ambapo ametengeneza hits kibao huku P Funk Majani akiwa na zaidi ya miaka 20 katika utayarishaji wa muziki Bongofleva.
" Msilie" ni nyimbo ilifungulia njia CHID Benz na kupelekea kufanya kazi zingine na producer Lamar nyimbo kama " CHANGUO LANGU",
King Kong , NK.
Ukwaju wa kitambo
0767542202