Ubora wa CHADEMA na unafiki wa CCM

Katika kile kinachoonekana kuwa ni danganya toto CCM katika mkutano wao wa hadhara hii leo wametumia kadi feki za CHADEMA ili kuwahadaa watanzania kuwa wanachama wa CHADEMA wamerudisha kadi.Ukichunguza kadi hizi hazina stika za kiingilio wala stika ya ada ya mwaka.vilevile hazina mhuri wa CHADEMA,vilevile hazina picha ya mwanachama na chakushangaza zaidi kadi zote zinaonekana ni mpya sana.chunguza picha hii utagundua mengi zaidi.
 
Attachments

  • kadi feki.jpg
    kadi feki.jpg
    10.3 KB · Views: 93
Kila mwenye hekima alitegemea hilo! Uhame cdm uende magamba karne hii kweli uwe vizuri upstairs?
 
Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. ccm walisahau kua kadi za CDM zinauzwa, walidhani zinagawiwa bure kama zao, Kama unavyojua Nape asivyotumia akili ktk mambo mengi anayoropoka,
 
Achana na vilaza ndugu yangu.......yaani kama kuna kuishiwa style basi ccm wameishiwa mpaka wanatia aibu.....hakuna mtu mbaya ndani ya ccm kama nape na kiukweli nape anaiua ccm na nashangaa kwa nini hawajaligundua hilo mpaka sasa hivi.....anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kuyafanya......wawadanganye hao hao wajinga wenzao ila ukweli halisi wataupata 2015......nawaombea sana Mungu awajalie uhai na afya njema ili waende kuishuhudia hasira ya watanzania!
 
Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. ccm walisahau kua kadi za CDM zinauzwa, walidhani zinagawiwa bure kama zao, Kama unavyojua Nape asivyotumia akili ktk mambo mengi anayoropoka,

Siku hadi siku nape anafanya mambo kama mtu aliyechanganyikiwa!.....amekosa akili ya darasani hata ya kuzaliwa pia hana?
 
Mwenyekiti wa CCM ni muongo aliyekubuhu unategemea katibu mwenezi wake na mawaziri wake watakuwaje,aibu kesho magazeti yatatoa picha ukurusa wa mbele kuwaumbua watasemaje sasa kama sio kumdhalilisha mwenyekiti wao Mh Jakaya KIkwete ambaye walikuwa wanampaka kwa mgongo wa chupa kila wakati Mh Jakaya Kikwete kumbe wanamuumbua mbele ya jamii CCM hovyoooooo kabisa

Mkuu yaani ni aibu ya mwaka Nape amejidhihilisha jinsi alivyo kilaza.
 
Magwanda msitake kudanganya watu, tumeona kadi zote zilikuwa zikiwekwa kwenye mifuko. Ndio mlijitayarisha mje kudanganya watu namna hiyo? wadanganyesi ambao hawajaona mkutano live.
 
Magwanda msitake kudanganya watu, tumeona kadi zote zilikuwa zikiwekwa kwenye mifuko. Ndio mlijitayarisha mje kudanganya watu namna hiyo? wadanganyesi ambao hawajaona mkutano live.
zomba unamaanisha magwanda au magamba?
 
Last edited by a moderator:
Siku hadi siku nape anafanya mambo kama mtu aliyechanganyikiwa!.....amekosa akili ya darasani hata ya kuzaliwa pia hana?

Usiseme kama mtu aliyechanganyikiwa, nape tayari alishachanganyikiwa siku nyingi, bahati mbaya wanaCCM pamoja na mwenyekiti wao bado hawajalijua hilo.
 
Wajinga tu, cdm hawana lolote.
Unanikumbusha kaya moja iliyokuwa na njaa, mama wa watoto saba aliichika chungu jikoni akiwa ameweka mawe na kufunika, watoto walisubiri chakula kiive mwishowe usingizi uliwashika wakalala. Mama aliipua mawe yake na kuwalaza watoto siku ikapita. Ndivyo wajinga kama wewe mnavyofanyiwa na CCM na bado mnaipokengeza na kuitetea kwa nguvu kama mazuzu!
 
Magwanda msitake kudanganya watu, tumeona kadi zote zilikuwa zikiwekwa kwenye mifuko. Ndio mlijitayarisha mje kudanganya watu namna hiyo? wadanganyesi ambao hawajaona mkutano live.

Acha kujitia uchizi wewe,mlifikiri mtazificha hapa ni mwisho aibu yenu wezi wkubwa.
 
Yaani kweli akili za watu zinafanana sana, wakati naangalia kile kipindi itv akili zangu zikawa zinatamani sana kama nngekuwepo nngeokota hata kadi moja niangalie ukweli wake, nkampigia rafiki yangu m1 mwanachadema aliyekwenda huko asogee karibu achukue hata kadi moja akanambia ameshaondoka, basi nkajua lengo langu halikutimia
Sasa nashukuru sana kwa kulileta hili na uongo wa magamba uonekane hadharani, ntafurahi zaidi kama kesho gazeti moja tu likachafua hali ya hewa kwa kuweka hii pale mbele
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom