Ubora wa CHADEMA na unafiki wa CCM

Achana na vilaza ndugu yangu.......yaani kama kuna kuishiwa style basi ccm wameishiwa mpaka wanatia aibu.....hakuna mtu mbaya ndani ya ccm kama nape na kiukweli nape anaiua ccm na nashangaa kwa nini hawajaligundua hilo mpaka sasa hivi.....anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kuyafanya......wawadanganye hao hao wajinga wenzao ila ukweli halisi wataupata 2015......nawaombea sana Mungu awajalie uhai na afya njema ili waende kuishuhudia hasira ya watanzania!

Big up my sweet!
 
hawa watu ni wa ajabu sana hv ccm wanadhani tanzania ni ike ya akina nyerere nape na akina kinana , wasira piken sana
 
Magwanda msitake kudanganya watu, tumeona kadi zote zilikuwa zikiwekwa kwenye mifuko. Ndio mlijitayarisha mje kudanganya watu namna hiyo? wadanganyesi ambao hawajaona mkutano live.

sema kwanza hizo kadi sio feki?
 
ile ilkuwa sio mipasho, zile nondo mama, mipasho bado siku yake.

Siku ya mipasho pale tunamsimamisha khadija kopa akishuka anapanda kaptein komba. Patakuwa hapatoshi.

Wale walikuja kuwapa nondo msiwe mnadanganya danganya watu.

nondo ipi waliyoongea au mipango isiyotekelezeka na makabrasha ya takwimu yasiyoelezea ni kwann tumefika hapo mi ningefirahi endapo ningesikia magamba mnaelezea hapo mmefikaje,mbona sijasikia kuhusu wale mapacha watatu imekuwaje au walisahau kusema, mwakyembe unayemsifia ndo aliyeficha baadh ya taarifa kwenye ripoti ya richmond akasahau kwamba zile hela walizopewa yeye na kamati yake ni za walipa kodi na wala siyo serikali iliyomteua badala ametumia hela za walipa kodi kwa kuleta ripoti nusu huku akilinda utawala wa kifisadi wa rais kikwete kwann asiwatendee haki wenye hela zao kwa kuwaambia ukweli kuhusu kilichotokea, je kutumia hela ya walipa kodi kwa maslahi ya kuilinda serikali ya kifisadi siyo ufisadi?
 
Kilomita zaidi ya 11,000 za lami wakati wa Kikwete tu.

Wanafunzi zaidi ya million 8 wanaosoma wakati wa Kikwete tu.

Vyuo vikuu wanafunzi zaidi ya 130,000 wakati wa Kikwete tu, kabla yake hawafiki hata 50,000.

Barabara za Dar, mkaoneshwa hapo hapo Jangwani ukitazama kulia ji highway la 8 lanes linajengwa, ukitazama kule ya Yanga jibarabara jipya linaenda mpaka Ubungo.

Treni za mjini kuanza mwaka huu huu, Mwakyembe.

Umeshajiuliza wazee "walioshirikiana" kwa miaka 24 waliokuwa madarakani walifanya nini?
 
kilomita zaidi ya 11,000 za lami wakati wa kikwete tu.

Wanafunzi zaidi ya million 8 wanaosoma wakati wa kikwete tu.

Vyuo vikuu wanafunzi zaidi ya 130,000 wakati wa kikwete tu, kabla yake hawafiki hata 50,000.

Barabara za dar, mkaoneshwa hapo hapo jangwani ukitazama kulia ji highway la 8 lanes linajengwa, ukitazama kule ya yanga jibarabara jipya linaenda mpaka ubungo.

Treni za mjini kuanza mwaka huu huu, mwakyembe.

Umeshajiuliza wazee "walioshirikiana" kwa miaka 24 waliokuwa madarakani walifanya nini?

nafikiri ulinukuu vibaya miaka hamsini ya uhuru barabara km 6500 lakini leo tunaambiwa km 11000+ je hayo ni ya kweli au ni mipango isiyotekelezeka au ndo kusema mna mipango mingi isiyotekelezeka, je ni wanafunzi wangapi wanafikia level ya chuo au umesahau kwamba elimu yetu ni pyramid shape wanaanza wengi lakini wanamaliza wachache, je hao wanaosoma wanasoma wakipata elimu bora au mnawapumbaza ili wajue mnawajali wakati mnazidi kuwadumaza shule zenyewe hazina walimu hao wenyewe waliopo kila siku wanalalamikia mishahara yao we unafikiri watapata wapi moyo wa kufundisha wakati mafisadi wanaachwa wakitembea na kudunda utafikiri hawakuhujumu uchumi, au ndo shule zisizokuwa na maktaba wala maabara, highway inajengwa au ndo iko kwenye mipango ya kujengwa? Kwanini tusiangalie wenzetu wanafanyaje cheki kenya wameshamaliza highway siku nyingi cheki ethiopia siyo chama chenu na serikali yenu kila siku inakuja na mipango wala hatusikii ripoti ya utakelezaji imefikia wap, kwann tusiwe wa wazi kwa watanzania kwa kuwaambia matatizo yao mmeyasababisha nyinyi
 
Kilomita zaidi ya 11,000 za lami wakati wa Kikwete tu.

Wanafunzi zaidi ya million 8 wanaosoma wakati wa Kikwete tu.

Vyuo vikuu wanafunzi zaidi ya 130,000 wakati wa Kikwete tu, kabla yake hawafiki hata 50,000.

Barabara za Dar, mkaoneshwa hapo hapo Jangwani ukitazama kulia ji highway la 8 lanes linajengwa, ukitazama kule ya Yanga jibarabara jipya linaenda mpaka Ubungo.

Treni za mjini kuanza mwaka huu huu, Mwakyembe.

Umeshajiuliza wazee "walioshirikiana" kwa miaka 24 waliokuwa madarakani walifanya nini?

Zomba kaka! Tusaidiane kuishinikiza ccm iondoke bro! Yaani hivi tunavyoongea licha ya maadui wale watatu, Ujinga, Umaskini, na Maradhi! Under ccm rule kaongezeka adui mwingine UFISADI! Hivi kweli huoni huyu mzee ccm kuwa unampa kalai la zege kulibeba hadi ghorofa ya7 hiyo kazi hawezi kuimudu kaka maana ameshazeeka! Na tuwape wengine wakishindwa tuwapige chini!
 
nafikiri ulinukuu vibaya miaka hamsini ya uhuru barabara km 6500 lakini leo tunaambiwa km 11000+ je hayo ni ya kweli au ni mipango isiyotekelezeka au ndo kusema mna mipango mingi isiyotekelezeka, je ni wanafunzi wangapi wanafikia level ya chuo au umesahau kwamba elimu yetu ni pyramid shape wanaanza wengi lakini wanamaliza wachache, je hao wanaosoma wanasoma wakipata elimu bora au mnawapumbaza ili wajue mnawajali wakati mnazidi kuwadumaza shule zenyewe hazina walimu hao wenyewe waliopo kila siku wanalalamikia mishahara yao we unafikiri watapata wapi moyo wa kufundisha wakati mafisadi wanaachwa wakitembea na kudunda utafikiri hawakuhujumu uchumi, au ndo shule zisizokuwa na maktaba wala maabara, highway inajengwa au ndo iko kwenye mipango ya kujengwa? Kwanini tusiangalie wenzetu wanafanyaje cheki kenya wameshamaliza highway siku nyingi cheki ethiopia siyo chama chenu na serikali yenu kila siku inakuja na mipango wala hatusikii ripoti ya utakelezaji imefikia wap, kwann tusiwe wa wazi kwa watanzania kwa kuwaambia matatizo yao mmeyasababisha nyinyi

Kilomita 6500 ni zote za lami zilikuwa hazifiki kilomita 4,000, wakati wa Kikwete tu kilomita 11,000 na zaidi za lami. Miradi ya barabara mingi kuliko yote kwa Afrika kwa wakati huu ni hapa kwetu.

Kwa Dar Es Salaam pekee, ma highway ndio hayo umetajiwa jana, daraja la kigambini ndio hilo. Kumbuka hayo yote yameshaanza sio kuwa yanakuja.

Wale wazee wa Mbowe "walioshirikiana" walikuwa madarakani miaka 24 walikuwa wanafanya nini? Mmoja kachukuwa jumba lla NHC kafanya Bar maarufu ndio mwanawe anaendesha kuuza pombe, mwingine kaacha nchi haina hata senti mbovu ya kigeni benki mpaka Mwinyi (Ruksa) ikambidi aulize kati ya "mikuki miwili" nichaguwe upi?
 
Back
Top Bottom