Wadau nimekutana na bidha za Achi Board, ambapo kampuni yenyewe iko maeneo ya Tegeta, Dar. Hivyo naomba mnijuze juu ya hizi bidhaa za Achi. Kwa yeyote mwenye uzoefu ama kutumia au kuona zimetumika naomba anisaidie yafuatayo.
Je ni kweli
1. hizo board hazipitishi maji?
2. haziungui na moto?
3. zinadumu kwa muda mrefu (lifespan)?
Nauliza haya kwa sababu nipo kwenye uhitaji wa ceiling board hivyo nimependa kujua hayo machache. Natanguliza shukrani zangu kwenu.