Ubora na bei za tecno smartphones

Nenda mlimani city hk hakuna ubabaishaji wala uchakachuaji ingia Tigo shop wanauza cmu za techno kwa bei nzuri tu km hy P5 ni 180
 
Azizy Ally huo ni ushabiki kaka P5 inakusumbua??ur not criousy au unapoishi net inasumbua dat means ht ukitumia cmu aina gani haitakusaidia
 
Black swags hz dharau sasa,mbn tunataka kupretend as if hatujui shida?chunguza urefu wa vidole vyako utajua ni kwa jinsi gani tunatofautiana vipato...km unacho cha kumshauri kuhusu hoja yk hebu mjibu c kumkejeli,na km hajawahi kutumia smartphone kwanini asiulize???na kmbk hawez kununua cmu ambayo iko nje ya uwezo wake,tuweni makini pliz tunapoxhangia hoja
 
I need not know the virtures of a chinese phone when I can afford a Samsung.
...kaugonjwa ketu...
Mchina atakukumba tu, anakuja kwa majina yote unayotaka wewe kulingana na soko ..from Apple to Samsung to whatever.
 
MKUU kifaa cha mawasiliano ninachotumia ni Tecno F7 (Phantom +A ni nnzuri sana saivi kidogo zimeshuka bei unaipata mpya dukani sh 380000 huwezi juta ukiwa na simu kama hiyo
 
...kaugonjwa ketu...
Mchina atakukumba tu, anakuja kwa majina yote unayotaka wewe kulingana na soko ..from Apple to Samsung to whatever.

Sahihi kabisa. watu wanababaika na majina ya simu. Ukiangalia android zote karibia zinafanana. Ukiwa unatumia samsung na mwenzio techno kwenye playstore wote mnapata bidhaa sawa.
 

Bila ubishi mkuu. Samsung Ina heat sana hasa ukiswitch 3g. sometimes inabidi nitumie leso kuishika maana ni shidah!
 
Nenda mlimani city hk hakuna ubabaishaji wala uchakachuaji ingia Tigo shop wanauza cmu za techno kwa bei nzuri tu km hy P5 ni 180

Kwa Dar P5 kwa 180k ni ghali sana. Niko mkoani tena wilayani p5 nlinunua kwa 150k tena kitambo kidogo. H6 kwa sasa ndo 180k na usafiri bure mpaka mlangoni
 
Nnapoongelea Mlimani city nahic waishio Dar wanapajua,kwa hk ni bora sn kununua vitu hk sababu sehemu nyingi wanauza magumashi(snsn kariakoo)ndo mn nilinshauri aende hk..cjui umenisoma Patient 123?
 
Zinatofautiana kidogo sana hususan ktk grafx na pixel ram na internal storage bt ni poa sn nokia na i phones walibweteka sn wakidhan wao ndo kila kitu.
Tangu lini tecno ikawazidi Nokia na iphone?.Tangu lini tecno ya 3G ikashindanishwa ya 4G? na Samsung,Nokia au Iphone
 
Nilikuwa na lg ikafa mice, nilizunguka na fundi karioakoo maduka yote ya spears hatukufanikiwa. Sasa hivi nimehamhia techno, nina mwaka sijaona tatizo
 
Sjawahi fikria kumiliki tecno samsung nawakubali sana kuanzi camera [emoji328] ndio wanao watoa jasho apple kwenye ubora wa kamera
 
Sasa hiv wameleta kitu kinaitwa L9 plus aaaaah nzur sana
 
chaji ni majanga kwa smartphone zote hakuna smartphone inayokaa n'a chaji masaa 25 ukiwa online
Zipo, tafuta Simu zenye battery lion capacity hizi 3500 - 4000 - 4500 utauona utafouti... Japo battery nyingi zaidi smartphone huimili charge kutokana na jinsi unavyotumia mf: huwezi kukaa online muda wote Kwa kushinda ktk YouTube, instagram video viewing, games ukategemea Simu itakaa na charge muda wote... Hivyo Basi mtumiaji wa smartphone ambaye amewasha data muda wote Kwa ajili kupata notifications tu km, whatsapp, FB, na Kwa mawasiliano ya kawaida tu Basi huyu anaweza kukaa siku Nzima na bado battery ikasoma 50% ....na maisha yakaendelea...
 
L9plus ina capacity ya 5000 ipo pouwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…