kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
mchna ni mchna tu hata sku moja huwez kusema ni imara hata sku moja. Ni unafuu wa bei na mbwembwe za muonekano wa bidhaa za kchna tu vnawavutia weng wanachkua lakn hamna kila kitu hapo
Alieleta mada labda hakueleweka au mchangiaji atakua anauza bidhaa hizo lakin ukweli sim hizo za techno hata kama ni nzuri vip hazina spare. Nimekwenda mpaka kwenye maduka yao hawana spare. mtu kanitumia sim yake tokea iringa matikeo yake nimepata aibu.
chaji ni majanga kwa smartphone zote hakuna smartphone inayokaa n'a chaji masaa 25 ukiwa online
Si kweli
mchina ni mchna tu hata angekuwa na jina gan....
Alieleta mada labda hakueleweka au mchangiaji atakua anauza bidhaa hizo lakin ukweli sim hizo za techno hata kama ni nzuri vip hazina spare. Nimekwenda mpaka kwenye maduka yao hawana spare. mtu kanitumia sim yake tokea iringa matikeo yake nimepata aibu.
Nipe no zao za sim

Nyie semeni weeee, ila tecno ndo mpango mzima. Achana na hii kitu M3. Sijawahi juta..