Tecno P3
Tecno mashine nyingine mkuu,hutajilaumu
nami ni mmojawapo wenye uhitaji, bei yake ikoje mkuu?
Spare za techno zinapatikana wap haswa vioo vya kugusa? (sreen touch) nina wk ya pili natafuta kioo sipati. Niko dsm
mchina ni mchna tu hata angekuwa na jina gan....
nami ni mmojawapo wenye uhitaji, bei yake ikoje mkuu?