Ubongo na akili za mtumba-used brain & intelligency

Mjanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2011
Posts
1,238
Reaction score
325
NI MARA NYINGI NIMEJIULIZA SWALI HILI:

JE INAWEZEKANA WAKATI WABONGO WANAUMBWA WALIPEWA UBONGO NA AKILI ZILIZOKWISHA KUTUMIKA KWINGINE???

HII INATOKANA NA UTENDAJI KAZI WETU NA PREFFERENCES ZETU,
UKIANZIA KWA VIONGOZI MPAKA KWA RAIA WA KAWAIDA!

MFANO: viongozi wetu wanapopewa nafasi ya kufanya manunuzi
ununua vifaa used ambavyo havidumu hata muda mfupi e.g. ununuzi
wa RADA, Ndege ya RAIS,

Raia nao watanunua magari used toka Japan, Nguo (mpaka zile za siri) mtumba, unapoingia kwenye mahusiano karibu kila mtu ni used.....

JAMANI MPAKA NACHOKA!

TOA MAONI YAKO-BONGO ZETU NAZO PIA NI USED????????:tonguez:
 
HTML:
......unapoingia kwenye mahusiano karibu kila mtu ni used.....
Aisee, una maana gani hapa, una maana wanaume au wanawake?....binafsi yangu tafadhali niombe radhi aisee!, si used mimi!
 
Mamaaa, mbavu zangu..
Ila Mkuu jamaa amejaribu kuongelea majority, msamehe bure..
:focus: Nadhani kutokujiamini kwetu pia kunachangia kuishi ki-used used muda wote.. Hatuamini kuwa vitu vipya vimewekwa kwa ajili yetu tuvitumie, hata kwenye mahusiano mara nyingine huwa tunaingia eti kisa wanaotuzunguka wote wana watu wao, hivyo kwa kuogopa kuonekana mtu wa ajabu tunajikuta tunaingia kwenye mahusiano yasiyokuwa na malengo.. Matokeo yake wakati wa kuoa/kuolewa inakuwa ngumu kumpata ambaye siyo used.

LOL
 
ndiyo mkuu, ndo maana nikasema "karibu wote" ina maana siyo wote-ukiwemo wewe na wengine pia! namaanisha jinsi zote!😛ound:
 
tunahitaji kitu gani ili tujiamini??? mind set zetu zitabadilika lini ili nasi tupate kuendelea!

Back
Top Bottom