Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,598
- 5,188
Utaitambuaje orginal
kwani mkuu hamna nokia original zenye vitu hivyo....au hata nokia tochi ni nokia fake???yaani ununue tecno 30,000/= ina radio,bluetooth,intanet,memorycard n.k halafu iwe original mmh! zipo original na fake pia
kuna kitu inaitwa Tecno Phantom A. Hiyo kitu usipime. inafanana na samsung galaxy kila kitu.....good quality android phones in cheap prices
Mi natumia tecno n3 chuoni huku wanashangaa sana eti inapiga mzigo jama samsung hadi inazidi maana ni android kila uchafu wa android mi ninao magame n.k
Mimi natumia p3 nayo ni kali kiasi chake
hadi inazidi kivipi na una i compare na samsung gani?? Maana watu wanajisemea tuuu mara ooh hii kama galaxy s3 wakat hyo tecno ina 2.3 na galaxy ana 4.2 asa sjui çnaendana vp?? Huwez ku access app zote mfano bbm mayb.. Mwenzako ana access unajiita mpo sawa.. Kamera kakutupa mbaliiii ndo usiseme
Hapa tunadanganyana tu wakuu labda mambo ya s4 labda hatuyajui u can't compare this with tecno maana kuna vitu vingi tu tofauti mfano RAM 1.6 camera 13megapics,Air gesture,smart stay just to mention few so huwezi compareSi sawa..ila anapata apps karibu zote zinazopatikana kwenye S4,so kwa mtu mwenye uwezo mdogo wa kifedha can go for it.
Mkuu kuna member kasema....fake ni ile simu iliyotengenezwa na kiwanda kingine halafu hiyo simu ikabatizwa jina la kiwanda halisi. Kuna nyingine ni kiwanda hicho hicho bt bidhaa ikawa duni(material na techolojia) duni...!!
Hope utajua wapi pa kulalia!!