scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,732
- Thread starter
-
- #161
sijui lakini sasa mtoto akibakwa mdogo si lazima ataumia na mzazi si atajua?mama yangu asingeshindwa kujua binti yake siko sawa,maybeKuna sehemu ulipata tatizo ukiwa mdogo. Kuna wale wanabaka vitoto miaka 2 huwezi kuwa na kumbukumbu.
Kwani swali la kizushi, siku ya kwanza ulikojoa?
Kwa muda aliokaa hadi akawa mkubwa lazima ingebana tu. Sembuse ukikaa miezi 6 au mwaka bila ku do inapenya kwa maumivu ukija kufanya ndiyo miaka?Hapana
Nimewaza labda aliwahi kuingiliwa akiwa mdogo. Na hakuwahi kujua
sa hivi nshakuwa mzoefu kwakuwa ni mtu anayependa kutafta vitu vipya basi hilo sina shaka,Unajua staili ngapi
comment ya pili ameuliza na nimemjibu pia of course at first i was dissapointed to be asked such question but i had nothing to do rather than responding to her questionSamahani lakini mtoa mada nikikuliza dhumuni hasa la huu uzi ni ipi ntakuwa nimekukwaza???
Wazazi Hawa wanaomalizaga kesi kimyakimya kufichwa aibu ndio wakuambie!!??sijui lakini sasa mtoto akibakwa mdogo si lazima ataumia na mzazi si atajua?mama yangu asingeshindwa kujua binti yake siko sawa,maybe
Yes, mi damu haikutoka, ila nilipata maumivu Kama nachanwa na kisu....it took days Kwa kweli Hadi kufanya mchezo mbaya.Ni kweli kabisa lazima ingepita kwa shida hata kama damu hazitatoka.
sina mda wa kupoteza kujibizana na weweLipia tangazooooo .....
Ww ni broounamaanisha nini
sababu zinazonifanya nisiwaze hata kuchepuka ni hiziHapo hutokuja kuchepuka kamweeTuache tunywe juisi kwanza.
maybe hizo zote nimezifanya kama assumptions,na kwakuwa maisha yangu hayajakwama zaidi ya kuwa mazuri basi nineshaachana na hizo habariWazazi Hawa wanaomalizaga kesi kimyakimya kufichwa aibu ndio wakuambie!!??
sawaWw ni broo
Usiongee ukamaliza maneno yote.sababu zinazonifanya nisiwaze hata kuchepuka ni hizi
Mmewangu anajua ni nini mwanamke anataka na hata nikichepuka sijui hata ntakuwa natafta nini make ile sekta yupo vizuri pia nadhani kati ya watu waliolewa basi nami niseme niliolewa na mwanamme yaani kila nikitafta kasoro sioni nadhani kwa upendo ule nikichepuka hata Mungu atanihukumu
na kitu kingine na ile kushika dini inanisaidia na msimamo pia
naongea kwa wakati uliopo mamy,Mungu ndiye mlinda miji yetuUsiongee ukamaliza maneno yote.
hapana jamani kwanza kazi nyumbani zilikuwa nyingi mno na kwakuwa nilikuwa mtoto mwema kazi zote nilifanya(hii pia ilinisaidia nilienda kuishi kwa watu wakati wa masomo)ko kusema nilikuwa najipa raha kwakweli Mungu shahidi
Hapa kuna fumbo inaweza kuwa ndipo kuna chanzo cha utafiti wako. Ila isikuumize kichwa sana kama hukumbuki achana nayo maumbile yanatofautiana kati ya mtu na mtu.inawezekana kuna tatizo pia mkuu make mi baada ya kupitia makala mbalimbali niliamua kuachana nayo na kwa mara ya kwanza nimeileta humu,kuhusu kumbukumbu za utoto kwakweli sina mpaka naanza kujitambua kwetu ni zile familia watoto nane ko sijui huko nyuma ilikuaje
as long as niko kama wanawake wengine nshapotezeaHapa kuna fumbo inaweza kuwa ndipo kuna chanzo cha utafiti wako. Ila isikuumize kichwa sana kama hukumbuki achana nayo maumbile yanatofautiana kati ya mtu na mtu.
sio kwamba uke wangu hauko tight yaani huko tight kwakweli nadhani ni mdogo pia ani,ambacho watu hawajaelewa ni kwamba usipopata maumivu basi uke hauko tight hivyo ni vitu viwili tofautiUnajua hapa Kila mtu anajaribu kutafakari what happened. Utatuwia radhi tu sie na akina Demi Kwa kuwaza kama wachuja nafaka.
Naomba nihitimishe kwamba itakua uko wa kipekee, Kuna watu Wana vitu vya kipekee na Kwa upande wako ishu ya bikra au maumbile Yako ni ya kipekee.
Nadharia zingine kwamba ulibakwa ukiwa mtoto zinakosa nguvu Kwa sababu Kwa huo muda lazima oangerudi kubana. Mfano wake zetu wakijifungua, mwezi mmoja tu utasahau kwamba binadam alipita hapo.
Mwisho, ilimradi una amani na maisha Yako, sio Kila kitu lazima tupate majawabu kama binadam. Endelea kuifurahia maisha na mwenza wako.
hata mimi sielewiHivi hii ''ko'' ndiyo humaanisha 'so'? au ni msamiati mpya?
Naiona inaandikwa andikwa sana siku hizi.
-Kaveli-