Ubikira Wangu

Ubikira Wangu

asa umeliwa na mwanaume mmoja huyo huyo akakuowa kweli we unaona hiyo ni sawa kingine hujiulizi kwann hukuwa na bikra? mi nafikiri ulikuwa na mahusiano na watu waishio huko baharini...
Tobaaaaa
 
Leo nimeamua kujiripua aseee!Ni hivi sijawahi kuona bikira wala kusikia maumivu yake.

Tiririka nami.
Mimi ni msichana mzuri tu niliyelelewa kwenye maadili, sio maadili tu nadhani pia ni aina ya mtoto aliyestaarabika, Ukiachana na kustaarabika nilikuwa na akili pia darasani(kwa wale walosoma vijijini kipindi hiko kijijini mnafaulu wawili watatu basi nikajiunga secondary)

Kiufupi ni kwamba sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka namaliza masomo ya A level (changamoto zilikuwepo ukizingatia kule kwetu wanapenda rangi nyeupe lakini nilitaka nisome nimtoe mama yangu kwenye umaskini uliokithiri niliamini elimu tu ndo ingemaliza shida zote.(ningekuwa na wenge basi hata baada ya kumaliza sekondari ningeolewa make waoaji walikuwa wengi na hapa ndo huwa nasema kuna watu Mungu alishawachagua tangu wakiwa tumboni mwa mama zao.

Baada ya kumaliza form six sasa hapo kidogo niliamua kumkubali mtu alieleta nia ya kunioa sikuwa serious nilitimiza wajibu tu ila mi nilikuwa nawaza shule, ikumbukwe zamani mtu alikuwa akinitongoza namuona kama adui yangu asiyetaka nisome shule basi tukaenda hivyo hivyo akataka aanze process za kunioa nkamuwekea vikwazo mpaka akashindwa mwenyewe.

Nikaingia chuo sasa mambo ya mahusiano yalizaliwa huko kwa kuwa ni mtu wa dini nkamwambia Mungu basi kama kweli ndiye niruhusu nianze naye mahusiano basi nikakubali yale mazoea na ushawishi wake nkakubali kumpa tunda.

Sasa kiini cha mada ndo hiki, maandalizi ya kutoa tunda kwa hyu mwanamme yakaanza nikaandaa na pedi make nilishagoogle huko opera na nilikuwa mwoga hatari mara story za unaumia mara unafanyeje
siku yenyewe ilipofika mkunyenge uliingia bila shida yaani sikuona cha damu wala tone wala maumivu mmh, akauliza we si ulisema hujawahi kutana na mwanamme nkasema ndio akawa dissapointed hata mimi nilipata shida make sio kitu nilichokitegemea, lakini baada ya siku mbili akasema usiwe na shida naye hakuwa na mambo mengi nadhani pia kwakuwa nilikuwa mtu anayejiheshimu labda alisema ni kweli, mahusiano yetu yaliendelea kwa kipindi cha miaka saba mpaka tukaja kuoana.

Baada ya kusoma soma habari nkakubali kwamba uenda ilipotea kutokana na kazi ngumu na pia nilikuwa naendesha baiskeli, kwa hiyo jamani sijui mambo ya bikra.

Ndoa yangu imekuwa nzuri sana na yenye amani nami nilikuwa sijui hata staili lakini nilipambana nikawa fundi babayeyo naona hachomoi, nami sitakuja kuchepuka kamwe.

Samahani kwa uandishi mbovu kama swali nitajibu ila natumia app ya zamani ko naweza hata nisionekane app mpya imenishinda.
We bana wewe.....
 
Nadhani hii ni kwa wanaume zaidi ndo tutakaoelewa,kwamba siyo kila bikra lazima ziwepo ishara za damu”

Binafsi hata mimi imenisaidia kuujua ukweli ni jambo liliwahi kunikuta.
ahsante mkuu mi bila kuwa mtu wa kujisomea vitu mtandaoni basi hii kitu ingeniathiri kisaikolojia maana ilinichukua mda kuamini kwamba nilipata hali ile ksa hiyo baada ya kuwa nimepitia makala mbalimbali basi nikajipa matumaini kwamba huenda ilikuwa vile
 
Huyu mwenzetu iliingia bila kugoma.
Kuna bikra kweli damu haitoki.
ndo maana mnatakiwa kujifunza vitu vipya,maana hata mi siku ile nilitamani hivyo kwanza nshafanya maandalizi na pedi nilinunua kabisa
 
Hiii kitu imewahi leta utata kidogo, Kuna dada alinambia ni bikira hajawahi kabisa kufanya, Cha ajabu ilipita yote bila pingamizi, Hadi mwenyewe akawa anashangaaa!
Japo baadaye alikiri kuwa alikuwa anajichezea na vidole eti!
Yote Kwa yote ukwelii wa bikira zenu mnaujua wenyewe
 
Ha haaa sikuwa nawaza hivyo but hilo linawezekana pia. Mimi niliwaza labda aliwahi kuingiliwa utotoni akatolewa bikra na sehemu zikatanuka. Maana kasema iliteleza bila kukwama
kumbuka mtu umeshajiandaa nadhani unaweza kuimagine hali iliyokuwepo mi nachokumbuka mzigo uliingia akapump mara moja akashindwa,nadhani ni yale mategemeo ya bikra,nikizungumzia kwa uzoefu wa sasa maumbile yangu yako sawa yaani yanatight,maumbile kutight hayahusiani na maumivu
 
Bikira huweza kutolewa na baiskeli au kazi ngumu...

Hebu sema kiti cha baiskeli kinafaidi sana...
ninachojiuliza inamaana ikikutoa hizo damu hazionekani?maana mara ya kwanza kuona damu ni period ambazo sijatia shaka maana ni regular
 
Hiii kitu imewahi leta utata kidogo, Kuna dada alinambia ni bikira hajawahi kabisa kufanya, Cha ajabu ilipita yote bila pingamizi, Hadi mwenyewe akawa anashangaaa!
Japo baadaye alikiri kuwa alikuwa anajichezea na vidole eti!
Yote Kwa yote ukwelii wa bikira zenu mnaujua wenyewe
mi kwakweli sexual drives sikuwa nazo kusema eti madole hapana
 
Back
Top Bottom