Ubeberu wa Marekani balaa duniani

Ubeberu wa Marekani balaa duniani

The Nigerian terrorist group's connections with the rebels that Washington is fundingand arming in Syria open up some very serious questions.
Somebody has been routing large sums of cashand/or weapons to the Nigerian terroristBokoHaram. Most experts agree that the money itself is difficult to trace, but we do know a few things about their organization. You won't hear U.S. politicians or the corporate media going into detail about the group's leadership structure or alliances because doing so would open up some very uncomfortable questions, questions such as: are some of the weaponsand money that the U.S. is sending to the Syrian rebels being routed to the Nigerian terrorist group?
How would an honest look atBoko Haram's organization lead us to ask such an extreme question? Well, let's take a look at what we know:
1. The head of the U.S, Africa Command has gone on the record saying thatBokoHaram, al-Shabaaband al-Qaeda in north Africa are sharing money, explosivesand training.
2. In 2012Al-Shabab officially merged with al-Qaeda,and is still currently affiliated with the Syrian branch of al-Qaeda which is attempting to topple Assad.
3. The U.S. government has been backing the Syrian rebels for several years now,and in recent months Washington has been increasing its support bysending more advanced weaponry in spite of the fact
 
Waislamu kazi kutafuta mchawi wakati mchawi ni kitabu chao wanacho kiita kitukufu na mtume wao alie fikilia kibinadamu zaidi kuruhusu Jihadi.... mtume aliruhusu Jihadi na Jihad ndo inaleta shida duniani..... Boko haram, al shabab hata hapa Tz mchungaji kauwawa eti kisa wanataka wachinje wao.... mbona nguruwe hamtaki kusaidia kuchinja ... zanzibar mapadri wanamwagiwa tindikali na kupigwa risasi kisa waislam washamba ambao wametafsiri Jihad on their own way na mtume alikufa bila kujua Jihad italeta shida na kuacha ameibariki....

Ficha Upumbavu wako. Usije ukaaibika.

Kitabu Kilicho Amrisha MAUWAJI na VITA ni BIBILIA. Na Crusaders wa KIKRISTO wameuwa Mamilioni ya watu wasio na HATIA kwa jina la yesu.
Leo Hii mataifa Ya makafiri yamevamia Nchi za Kiislamu Na kuua Watu Ovyo.
Hii Vita Mmeanzisha Nyie msiokuwa Na Haya wala Imani Ya MUNGU MMOJA. halafu Mkija kwenye Media mjamba ovyo na kulaumu Waislamu.

Ni bora ya EBOLA kuliko Ukafiri.
 
Kutwa kumsingizia Mmarekan wakati wanachnjana wenyewe,harafu haohao wanaomba hifadhi marekani na nchi nyngne za ulaya wakishafika na kuwa raia wanaanza kuwageukia hao waliowapa hifadhi wanaanza kujilipua na wengne wanarudi nchi walizotoka kupigana jihad ndio maana Australia imeshtuka wameamua kufunga milango wanajua very sun nchi yao itakua jehanam,mchawi sio marekani au kafiri mchawi alishakufa na kuacha jihad nyuma
 
Evidence exposing who put ISIS in power, and how it was done.
The Islamic militant group ISIS, formerly known as Al-Qaeda in Iraq, and recently rebranded as the so called Islamic State, is the stuff of nightmares. They are ruthless, fanatical, killers, on a mission, and that mission is to wipe out anyone and everyone, from any religion or belief system and to impose Shari'ah law. The mass executions, beheadings and even crucifixions that they are committing as they work towards this goal are flaunted like
m
 
Kwahiyo tuseme kwa sababu tunaona wasagaji na mashoga wanaoana makanisani basi ndiyo kwamba ukristo unaruhusu ndoa hizo kisa tu zimefanyika kanisani?
 
Siasa zozote zinapotolewa na muislamu huwa ni za kihuni. Mmarekani ndo aliyewaamuru kuuwa wenzenu hovyo dunia nzima? Marekani ndo aliyewaamuru kupiga mawe? Marekani ndo aliyekuja tz na kuchoma makanisa baada ya mizaha ya WATOTO kisha mtoto wa kikristo akakojolea kuran? Mnaamini muislamu akikokolea hata bibilia kumi kuna mkristo ataenda kuchoma msikiti? Zungukeni sana na kutafuta mbuzi wa kafara lkn dini yenu na mafundisho yenu yote ndio ya kihuni. Tafadhari msipende kutupotezea muda wkt nyie mnakaa vijiweni mkitegemea majini yawaletee .......ovyoooo

Wewe ndio hujielewi coz huna dini, huna ibada huna mungu sauli kawaangamiza ndo maana rate ya wakiristo timamu kuingia uislamu inakuwa kubwa as day goes on .....eti yesu Mungu wakt luka 18:18 mwnywe anakana.."tena mtu mkubwa mmoja alimuuliza mwalimu mwema nifanye nini nipate kuurithi uzima wa milele yesu akajibu mbona unaniita mwema hakuna aliyemwema ila mmoja naye ndio Mungu"....eti mungu analia eloi eloi lamasabakhtani means mungu wangu mungu wangu mbona unaniacha !!!!!ss huyu mungu gani analia ?....

Tito 2 13 -14 paulo amuita yesu ndio mungu mkuu

Yesu anasema yeye sio mungu hii dini ya ujanja ujanja ndo maana viongozi wake weziwezi km KILAINI
LWEKATARE WAUPAKO GWAJIMA YAANI FULL USANII

Yesu kasali kwa kusujudu na akaisifia kuwa ndo ibada njema nyinyi mnakalia kuimba na kupiga makofi chuki tu zimewajaa
 
Bado Sana Kaka,marekani Si Ya Kuisha Leo Japokuwa Ipo Siku Itaisha,china Waje Kuifikia Marekani Tayari Vita Kuu Ya 3 Itakuwa Imepiganwa Na Hadi America Ishindwe Hiyo Vita Ndipo Mchina Atainuka,makampuni Yote Makubwa,na Viwanda Vingi Vilivyoko Uchina Ni Mali Ya Marekani,wamewekeza Kule Sana Na Nchi Nyingine Za Ulaya,kwa Hiyo US vs China,bado US iko juu sana,US ina kambi za kijeshi karibu kote duniani wakati china haina lolote kijeshi,uchumi wa US upo imara sana kulinganisha na wa china,maisha ya mtu mmoja mmoja yaani pato la kila mwaka la US na china ni kichekesho,mmarekani mwenye kipato cha nini kabisa kwa mwezi anapata $2,200 wakati china anapata $100 what a difference? mambo ni mengi ya kuandika,bajet ya kijeshi ya marekani kwa mwaka ni $2.5 trilion wakati china ni $45 bilion.

Dah yaani mpaka vita ya 3 ya dunia....ebu msikie EINSTEIN..
 
Attachments

  • 1418232328624.jpg
    1418232328624.jpg
    29.6 KB · Views: 224
kama unakiri hivyo kumbe waislamu ni adui wa mwenyezi mungu na jamii ndiyo maana hamuoni shida kichinja wenzenu kama kuku huku mkiapa allah akbar!!

rudia kusoma nilichoandika labda hujaelewa hata kidogo au unataka kubisha tu.
 
Kwahiyo tuseme kwa sababu tunaona wasagaji na mashoga wanaoana makanisani basi ndiyo kwamba ukristo unaruhusu ndoa hizo kisa tu zimefanyika kanisani?

jibu ni HAPANA na hicho ni kinyume na ukristo.
 
Siasa zozote zinapotolewa na muislamu huwa ni za kihuni. Mmarekani ndo aliyewaamuru kuuwa wenzenu hovyo dunia nzima? Marekani ndo aliyewaamuru kupiga mawe? Marekani ndo aliyekuja tz na kuchoma makanisa baada ya mizaha ya WATOTO kisha mtoto wa kikristo akakojolea kuran? Mnaamini muislamu akikokolea hata bibilia kumi kuna mkristo ataenda kuchoma msikiti? Zungukeni sana na kutafuta mbuzi wa kafara lkn dini yenu na mafundisho yenu yote ndio ya kihuni. Tafadhari msipende kutupotezea muda wkt nyie mnakaa vijiweni mkitegemea majini yawaletee .......ovyoooo
Mmmh!! Mkiristo naye kudhau uislam mm ni kushangaa sn, kwl km mkristo unafikiria au unapelekwa tu? Kw mm wala hauwezi niambia kitu. Yaani kumbe nao wanaona waislamu wamepotea? Dini haina kanuni wala sheria, mambo mengi ni kukaa watu wakatunga alafu mara yanaonekana yana upungufu lakini yanaaitw ya Mungu cjui Mungu gani. Mara haw wanaidhinisha ushoga, hawa wanalalamika kutooa na kuolew wala wanalalamikia talaka, wale yesu ni mungu wengine ni mwana w mungu wengine maria ndo mungu. Wajanja wao wanatajrika kw michango yao alafu wanawaabudu na kuwasamehe madhambi yao. Wanasma mashetani ukitaja jina la yesu wanakimbia chaajabu kanisani ndo nyumba yakukutania wenye mapepo na kila siku wapo swl nani anaogopewa na shetani au rafiki w shetani muslim au mkristo? Dini haina utambulsho w umoja kila mtu analake mfano slam tu. Ndani yake waabudu sanam na misalaba bila kuwa na mantiki, moja ya ibada ni kuimba na kucheza km wachawi au wasanii. Yesu aliabudu hivi?ni upi wimbo w yesu au wanafunzi wake?wapi yesu alisema dini yake ni kristo?hivi km uko serious unaweza kumuomba alau rais kw kumkatia kia kiuno? Usiseme kitu ktk uislam ila ukimsema muislam km yy sawa oz ni binadam km alivyo mwengine.angalia mfumo ulionao unavyovuja , hapo cjakugusa ww km mkristo.
 
W666 ipo tayari imeshaanza. Tuombe kwa bidii, 666 ni alama ya mnyama unabii mwishoe umetimizwa. Imeandikwa na Jonathan Annobil tar 10. 08 .2014 .Baraza la senate la marekani imepitisha bili ya Obama ya afya kwenye sheria. Utekelezaji utaanza hivi punde karibuni. Bili hii itahitaji wamarekani wote wawekewe utambulisho wa chip za frequency za radio ilikuweza kupata huduma za kiafya. Kifaa hiki kitawekwa kwenye kipaji cha uso au mkononi . Hii ni kwaajili ya kutimiza unabii katika kitabu cha ufunuo 13:15-18 ihusuyo alama ya mnyama. Bado unamashaka kuhusu nyakati za Mwisho? Unajua yakuwa gari maalum aliyotengenezewa Obama inaitwa BEAST yaani MNYAMA! Kuwa tayari Mwisho ni Karibu. Ufunuo 13 tayari imeanza kutimizwa mbele yetu. Wengi bado hawajui. 1. Kwanini chip au kadii imeshaanza kuwekwa sehemu ambapo biblia ilisema kuwa itawekwa? Kwanini ni kwenye mikono na kipaji cha uso na si sehemu zingine? 2. Kwanini inaunganiswa na account yako ya benki? Kumbuka biblia inasema hutaruhusiwa kuuza wala kununua bila kuwa na chapa ya mnyama 666. Na fikiria kwanini! Alama imeunganishwa na taarifa zako za kibenki. Kinachonivunja moyo zaidi ni kwamba watu wengi kanisani hawatahimili ikiwa Yesu atakuja sasa. Wengi hawajui kwamba Mwisho umekaribia. Usiniambia kuwa ni kukuwa kwa technolojia au maendeleo. Kama eneo lolote katika maisha yako haujafungamana na Mungu tubu na ubadilike. Ukikosa mbingu huwezi kupakosa jehanam.... fikiria kuhusu hilo. Jehanam siyo sehemu nzuri ....kibaya zaidi ni kwamba ni ya umilele . Yeyote mwenye sikio na asikie kile ambacho roho ya unabii inaliambia kanisa. Tafadhali Tuma Kwa Yeyote Umjuaye fanya kazi ya uinjilisti. Tafadhali TUMA UJUMBE HUU KWENYE NUMBER ZOTE ULIZONAZO. Umewahi kushangaa nini kingetokea kama ungeichukulia bibilia kama unavyoichukulia simu ya mkononi? Na kwa hakika hatuwezi kuishi bila kuwa nayo.asilimia 7% watatuma utuma ujumbe huu. Usiwe kati ya asilimia 93% ambao hawatatuma ujumbe huu. Shetani anasema, nashangaa jinsi ambavyo watu wanavyodai wanampenda Mungu na kutomtii yeye, wakisema wananichukia huku wananitii. Usitume baadae soma na utume sasa. Mwenyezi Mungu huwafanikisha wale wasomao na kutuma ujumbe huu. Amin.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kumbe mbona watu humu wanawaabudu wamarekani au tuseme serikali ya marekani na kuwaona miungu watu?.
hawa jamaa kabla hawajitimiza mambo yao watahakikisha amani inapotea na njia mojawapo ndo hiyo ya kuchonganisha imani kuu mbili.watajipenyeza ama wanajipenyeza kwa makundi ya itikadi kali kufikia lengo.watu wanapodai marekan wana mkono katika makundi kama isis sio kuwa wanabuni kuna ushahidi wa hilo.
 
Yesu alisema wayahudi ni wa sinagogi la shetani,na watatupwa motoni siku za mwisho.
ndo maana hata mpinga kristo inasemwa atakua ni myahudi.ni baada ya vita kupiganwa na wanadamu watakumbana na hali ngumu sana na ndo kutakua na hayo masharti ya kumfuata huyo jamaa ama usiruhusiwe kuuza ama kununua a.k.a economic sanction,na kila mtu anajua ni taifa la marekani ndo lina kawaida ya kuzuia mataifa mengine kutouza wala kununua.
ukiacha suala la kuwekewa chip mkononi bado marekani watakua na record ya fingerprint(mkono)ya kila binadamu na pia eye scan(iris) hizo record hukusanywa na NSA kupitia njia mbalimbali ikiwemo facebook.kwa record hizo wataweza kucontrol dunia yote.
 
III.WHO IS THE ANTICHRIST?¡ªPART II
A. The Antichrist will have great ability to make
war.
1.He will conquer three nations (Turkey, Egypt,
Israel) which will frighten seven other
nations into peacefully joining his new empire
¡ªDaniel 7:24; 8:9; Revelation 17:12,13,17.
B. After he builds his empire, armies, and
reputation, the Antichrist will focus his
attention on Israel.
1.He will offer his help to make peace with
Israel¡¯s surrounding nations.
2.Israel will eagerly enter a seven-year covenant
with the Antichrist
¡ªDaniel 9:26,27; 11:22.
3.The Antichrist will help the Jews rebuild the
Temple.
C. The Antichrist will there declare himself to be
god.
1. He will set an idol of himself in the Temple
¡ªII Thessalonians 2:9 .
All this point america ,it have controll on turkey,egypt and israel.
it managed to make 7 other arab gov to be on its side,saud,kuwait,bahrain,yemen, qatar,uae,jordan.
it is pretending to make peace between israel and its surrounding neighbour ,etc
 
Ficha Upumbavu wako. Usije ukaaibika.

Kitabu Kilicho Amrisha MAUWAJI na VITA ni BIBILIA. Na Crusaders wa KIKRISTO wameuwa Mamilioni ya watu wasio na HATIA kwa jina la yesu.
Leo Hii mataifa Ya makafiri yamevamia Nchi za Kiislamu Na kuua Watu Ovyo.
Hii Vita Mmeanzisha Nyie msiokuwa Na Haya wala Imani Ya MUNGU MMOJA. halafu Mkija kwenye Media mjamba ovyo na kulaumu Waislamu.

Ni bora ya EBOLA kuliko Ukafiri.
Yaani povu ulilo toa najua ningekuwa karibu ungechukua jambia na kunikata kichwa huku ukiimba allah akbar.... au takbir.... upuuzi mtupu. Mungu kampa mwanadamu uhai wewe ni nani mpaka uutoe.... nyambafu siwezi bishana na mburura.... u are too low....
 
Mara zote extremist hujaribu kuonyesha wao ni bora kuliko dini nyingine.... kama ni bora ni sawa endelea na uislam wako nasi tuache na ukafiri wetu.... kwa nini mnataka kutuua, why killing us.... endeleeni na mtume wenu nasi mtuache na sanamu zetu hukumu itaamua.... mnataka sana kutawala hii dunia but JESUS the name above all names wil not allow this.... niambie ni taifa gani la kiislam litakuja tawala dunia hii maana hata wapagani wachina wanakuna juu zaidi yenu.... israel pekee yatosha midle east.... kama hamuui mkristo shia anua suni and vice versa, unasemaje BOKO haram kuuwa waislam msikitini??? Nyie mko duniani kuleta shida tu, mkizidi tunawapeleka sayari nyingine, mars mwende mkaishi peke yenu mmalizane.... tuacheni na ukafiri wetu plz nanyi mlio na dini bora mtaingia ahera kwenye wake 72 wa kiarabu... nyambafu....
 
Back
Top Bottom