Ubeberu wa Marekani balaa duniani

Idd Ninga

Verified Member
Nov 18, 2012
4,750
2,000
Mnamo mwaka 2004 gazeti la AN NUUR la tarehe 27 mwezi machi 2004 lilikuja na kichwa cha habari katika kurasa ya kwanza kilosomeka "UBEBERU WA MAREKANI BALAA DUNIANI: bangi,kokeini yafanywa mradi kuendesha ugaidi".

Habari hiyo iliandika kwa kirefu kuhusu mjadala ulofanyika ndani ya ukumbi wa STARLIGHT Dar es salamu na kuhudhuruwa na watu mbalimbali wakiwemo wanachuo,viongozi wa dini na wale wa serikali.

Katika mjadala huo Profesa Mamdani raia wa Uganda aishiye Marekani alielezea njama nyingi zinazofanya na Marekani.

Muhadhara huo ulikuwa na mada isimayo "GOOD MUSLIM,BAD MUSLIM:AMERICA,THE COLD WAR AND THE ROOT OF TERROR"
Wengi katika mjadala huo walipinga suala la Marekani kuja na mkakati wa kuwatambua waislamu wazuri na wabaya kwani katika mtazamo wa ukweli muislamu mzuri ni kwa mujibu wa muamerika ni yule anaekubali kuwa kibaraka wa muamerika.

Akitoa mfano wa hilo profesa mamduni alisema kuwa wakati wa vita vya Iran na Iraq,wairaq walionekana kuwa wazuri kwa kuwa walikubali yale wayatakayo wamerakani lakini leo muiraq kawa adui namba moja wamarekani.

Mpaka leo aliekuwa kibaraka wa muamerika Sadamu Husein alishanyongwa na kufia mbali,hiyo ndiyo Marekani.

Profesa Mamdani aliendelea kusema kuwa shirika la kijasusi la CIA lilihusika katika kuwapeleka Mamluki wauaji nchini Congo ambao walimuua waziri mkuu Patrice Lumumba na kuwapa nyenzo wauaji mbalimbali kama wale wa Nikaragua,Angola,Afghanistan na kwingineko.

Profesa Mamdani aliendelea kusema kuwa baada ya vita vya Vietnam,Marekani iliamua kutumia vibaraka zaidi kuliko wao huku ikiendelea kulaumiwa kwa wao (WAMAREKANI) kuunda mtandao wa Al qaida na leo wanapigana na mtandao walouunda wao wenyewe.

Akifafanu zaidi profesa Mamdani alisema kuwa CIA walisimamia ulimwaji wa bangi na kokeini kwa ajili wa mujahahidina walokuwa wakipambana na Mrusi alipovamia Afghanistan.

Habari hiyo ilikuwa ni ndefu na ninaomba kuishia hapa.
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
16,851
2,000
Siasa zozote zinapotolewa na muislamu huwa ni za kihuni. Mmarekani ndo aliyewaamuru kuuwa wenzenu hovyo dunia nzima? Marekani ndo aliyewaamuru kupiga mawe? Marekani ndo aliyekuja tz na kuchoma makanisa baada ya mizaha ya WATOTO kisha mtoto wa kikristo akakojolea kuran? Mnaamini muislamu akikokolea hata bibilia kumi kuna mkristo ataenda kuchoma msikiti? Zungukeni sana na kutafuta mbuzi wa kafara lkn dini yenu na mafundisho yenu yote ndio ya kihuni. Tafadhari msipende kutupotezea muda wkt nyie mnakaa vijiweni mkitegemea majini yawaletee .......ovyoooo
 
maoni hayapigwi rungu na wala akili yako hailazimishwi kufikiria mbali zaidi ya ulivyofikiri labda ndo mwisho wa akili yako.
Haupingwi na yeyote kuhusu maoni yako kwani ndio maono na maoni yako na kumuona mwenzako muhuni siyo jambo la ajabu kwani ni wengi tu waliitwa wahuni.
Fikiria zaidi ya uwazavyo na jifunze ukweli usioutambua.
Unao UHURU WA MAONI.
 
chuma cha reli

JF-Expert Member
Jul 2, 2012
2,554
2,000
Pia nmewahi kusikia Wayahudi wanausika sana kwenye kuiharibu hii dunia...ebu mwenye taarifa zaidi atujuze....
 
Ally Kombo

Verified Member
Nov 11, 2010
11,431
1,225
Siasa zozote zinapotolewa na muislamu huwa ni za kihuni. Mmarekani ndo aliyewaamuru kuuwa wenzenu hovyo dunia nzima? Marekani ndo aliyewaamuru kupiga mawe? Marekani ndo aliyekuja tz na kuchoma makanisa baada ya mizaha ya WATOTO kisha mtoto wa kikristo akakojolea kuran? Mnaamini muislamu akikokolea hata bibilia kumi kuna mkristo ataenda kuchoma msikiti? Zungukeni sana na kutafuta mbuzi wa kafara lkn dini yenu na mafundisho yenu yote ndio ya kihuni. Tafadhari msipende kutupotezea muda wkt nyie mnakaa vijiweni mkitegemea majini yawaletee .......ovyoooo
Bado una nepi na unasubiri nyonyo !
 
Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,145
2,000
Siasa zozote zinapotolewa na muislamu huwa ni za kihuni. Mmarekani ndo aliyewaamuru kuuwa wenzenu hovyo dunia nzima? Marekani ndo aliyewaamuru kupiga mawe? Marekani ndo aliyekuja tz na kuchoma makanisa baada ya mizaha ya WATOTO kisha mtoto wa kikristo akakojolea kuran? Mnaamini muislamu akikokolea hata bibilia kumi kuna mkristo ataenda kuchoma msikiti? Zungukeni sana na kutafuta mbuzi wa kafara lkn dini yenu na mafundisho yenu yote ndio ya kihuni. Tafadhari msipende kutupotezea muda wkt nyie mnakaa vijiweni mkitegemea majini yawaletee .......ovyoooo
ha ha ha eti machinjio ya nyama yasimamiwe na wao katika uchinjaji
 
mingo hustler

Member
Dec 8, 2014
11
0
Siasa zozote zinapotolewa na muislamu huwa ni za kihuni. Mmarekani ndo aliyewaamuru kuuwa wenzenu hovyo dunia nzima? Marekani ndo aliyewaamuru kupiga mawe? Marekani ndo aliyekuja tz na kuchoma makanisa baada ya mizaha ya WATOTO kisha mtoto wa kikristo akakojolea kuran? Mnaamini muislamu akikokolea hata bibilia kumi kuna mkristo ataenda kuchoma msikiti? Zungukeni sana na kutafuta mbuzi wa kafara lkn dini yenu na mafundisho yenu yote ndio ya kihuni. Tafadhari msipende kutupotezea muda wkt nyie mnakaa vijiweni mkitegemea majini yawaletee .......ovyoooo
think big wewe!!....zijue mbinu anazotumia....fikiria kuhusu ideollogical technique!
 
wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,788
2,000
Marekani kwisha kazi. Sasa mbabe ni mchina.
Bado Sana Kaka,marekani Si Ya Kuisha Leo Japokuwa Ipo Siku Itaisha,china Waje Kuifikia Marekani Tayari Vita Kuu Ya 3 Itakuwa Imepiganwa Na Hadi America Ishindwe Hiyo Vita Ndipo Mchina Atainuka,makampuni Yote Makubwa,na Viwanda Vingi Vilivyoko Uchina Ni Mali Ya Marekani,wamewekeza Kule Sana Na Nchi Nyingine Za Ulaya,kwa Hiyo US vs China,bado US iko juu sana,US ina kambi za kijeshi karibu kote duniani wakati china haina lolote kijeshi,uchumi wa US upo imara sana kulinganisha na wa china,maisha ya mtu mmoja mmoja yaani pato la kila mwaka la US na china ni kichekesho,mmarekani mwenye kipato cha nini kabisa kwa mwezi anapata $2,200 wakati china anapata $100 what a difference? mambo ni mengi ya kuandika,bajet ya kijeshi ya marekani kwa mwaka ni $2.5 trilion wakati china ni $45 bilion.
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,834
2,000
Siasa zozote zinapotolewa na muislamu huwa ni za kihuni. Mmarekani ndo aliyewaamuru kuuwa wenzenu hovyo dunia nzima? Marekani ndo aliyewaamuru kupiga mawe? Marekani ndo aliyekuja tz na kuchoma makanisa baada ya mizaha ya WATOTO kisha mtoto wa kikristo akakojolea kuran? Mnaamini muislamu akikokolea hata bibilia kumi kuna mkristo ataenda kuchoma msikiti? Zungukeni sana na kutafuta mbuzi wa kafara lkn dini yenu na mafundisho yenu yote ndio ya kihuni. Tafadhari msipende kutupotezea muda wkt nyie mnakaa vijiweni mkitegemea majini yawaletee .......ovyoooo
marekani ndo anaongoza kwa mauaji na uhalibifu hapa duniani
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,834
2,000
Bado Sana Kaka,marekani Si Ya Kuisha Leo Japokuwa Ipo Siku Itaisha,china Waje Kuifikia Marekani Tayari Vita Kuu Ya 3 Itakuwa Imepiganwa Na Hadi America Ishindwe Hiyo Vita Ndipo Mchina Atainuka,makampuni Yote Makubwa,na Viwanda Vingi Vilivyoko Uchina Ni Mali Ya Marekani,wamewekeza Kule Sana Na Nchi Nyingine Za Ulaya,kwa Hiyo US vs China,bado US iko juu sana,US ina kambi za kijeshi karibu kote duniani wakati china haina lolote kijeshi,uchumi wa US upo imara sana kulinganisha na wa china,maisha ya mtu mmoja mmoja yaani pato la kila mwaka la US na china ni kichekesho,mmarekani mwenye kipato cha nini kabisa kwa mwezi anapata $2,200 wakati china anapata $100 what a difference? mambo ni mengi ya kuandika,bajet ya kijeshi ya marekani kwa mwaka ni $2.5 trilion wakati china ni $45 bilion.
Uwe unacheki figure kabla hujapost bana,maana kudanganya watu wazima na akili zetu siyo kabisa.bajeti ya ulinzi ya marekani haifiki hata trilion moja.
hata ya china umechapia.
pia ujue tangu wiki iliyopita china wameipita marekani kwa uchumi mkubwa,GDP PPP.
 
Copenhagen DN

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,054
2,000
Mimi hawa watu huwashangaa sana wanauana wenyewe kwa wenyewe hadi msikitin wanalipuana na anayejitoa muhanga anasema alaakbar kabla ajajilipua. Ndio maana marekan mnamkera anashindwa kuelewa yeye ndio adui yenu ama nyinyi kwa nyinyi ndio maadui inamfanya atumie drones kuwadondoshea v2 vzito vyenye ncha kali vikigusa ardhi tu vinalipuka ili kuwaweka sawa na kumsaidia ala ambaye is totally confused
 
SoNotorious

JF-Expert Member
Sep 11, 2011
2,422
1,195
............................. nguzo kuu ya uislamu ni unafiki na ulalamishi, wenyewe wanaita TAQIYYAH a special type of lying for the sake of islam.
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,834
2,000
ni ngumu sana kuwaelewa waislamu! Vikundi vya wahuni wa kiislamu wanaua watu wasio na hatia lakini waislamu hawajawahi kuwalaani hata siku lakini wanang'ang'ania kuwa marekani ndiyo muasisi!
kama upeo wako mdogo ivo hilo jina hulitendei haki.
wanaodai marekani muasisi wa ugaidi ni wamarekani hao hao.zipo document za kujaza semi kama unataka nikuwekee hapa
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,834
2,000
............................. nguzo kuu ya uislamu ni unafiki na ulalamishi, wenyewe wanaita TAQIYYAH a special type of lying for the sake of islam.
msikie paulo,"kwa wagalatia nilikua kama mgalatia ili niwapate wagalatia.kwa wayahudi nilijifanya myahudi ili niwapate wayahudi"
 
Montoya

Member
Oct 20, 2014
86
0
Pia nmewahi kusikia Wayahudi wanausika sana kwenye kuiharibu hii dunia...ebu mwenye taarifa zaidi atujuze....
Mkuu wayaudi wamechangia vitu vingi sana kwenye ustawi wa binadam na jamii kwa ujumla,kuna watu wanawachukia kutokana na mafundisho yao lakn hao wanaowabeza hawana chochote cha maana walichochangia katika maendeleo ya binadam kwa ujumla
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom