Ubeberu wa Marekani balaa duniani

Ubeberu wa Marekani balaa duniani

A senior aide to Russian President Vladimir Putin has accused Israel’s spy agency, Mossad, of training ISIL terrorists operating in Iraq and Syria, Press TV reports.
Alexander Prokhanov told Press TV that Mossad is also likely to have transferred some of its spying experiences to the ISIL leadership, adding that Israel’s military advisors could be assisting the Takfiri terrorists.
Prokhanov said ISIL is a byproduct of US policies in the Middle East.
“ISIL is a tool at the hands of the United States. They t.
 
Siasa zozote zinapotolewa na muislamu huwa ni za kihuni. Mmarekani ndo aliyewaamuru kuuwa wenzenu hovyo dunia nzima? Marekani ndo aliyewaamuru kupiga mawe? Marekani ndo aliyekuja tz na kuchoma makanisa baada ya mizaha ya WATOTO kisha mtoto wa kikristo akakojolea kuran? Mnaamini muislamu akikokolea hata bibilia kumi kuna mkristo ataenda kuchoma msikiti? Zungukeni sana na kutafuta mbuzi wa kafara lkn dini yenu na mafundisho yenu yote ndio ya kihuni. Tafadhari msipende kutupotezea muda wkt nyie mnakaa vijiweni mkitegemea majini yawaletee .......ovyoooo

umejitaidi kutoa povu ila hakuna point hata moja
 
Waislam wana ugomvi gani na USA?

Ungekuwa una kipaji japo kiduchu tu cha Kufikiri basi Usingeuliza Hili swali.
Tatizo wewe unakesha Kwenye Nyuzi za Ngono Sasa kufanya hivyo tu peke yake kunaleta Athari kwenye Ubongo!

Kuna TAIFA LILIOUWA waislamu wengi Kuliko AMERICA?

Sasa Mtu km Hujui hata Kilichopo kwenye Dunia Unayoishi kipi Utaelewa?
 
............................. nguzo kuu ya uislamu ni unafiki na ulalamishi, wenyewe wanaita TAQIYYAH a special type of lying for the sake of islam.

we ulijifunzia wapi hicho usemacho au ndo kukurupuka kuliopitiliza na kukaririsha uongo ambao hata mtoto mdogo hawezi kukubali.
Uislamu unaamini kama MNAFIKI ni adui namba moja wa jamii,sasa we mbona unaongea uongo ambao pia ktk zile alama za mtu mnafiki moja wako ni UONGO kama huo uliosema,kama hutaki kukubali sawa tu kwani haiwezekani kutumia pumzi ya mwenzako kuishi.
Acha kuzungumza usichokijua kuhusu uislamu.
Uislamu unakwambia kuwa alama za mtu mnafki ni tatu na mnafiki ni adui wa mwenyezi mungu.
Utakaririshwa mpaka basi,hebu rudi darasani ukajifunze ndipo uje kuongea.
 
kama upeo wako mdogo ivo hilo jina hulitendei haki.
wanaodai marekani muasisi wa ugaidi ni wamarekani hao hao.zipo document za kujaza semi kama unataka nikuwekee hapa

wewe ni mmarekani? mbona waislamu wa tanzania, kenya, somalia, nigeria etc hawajaandamana kupinga mauaji yanayofanywa na waislamu wa al shaabab, al qaeda, boko haramu? Wanachinja na kulipua watu wasio na hatia hadi misikitini kwa jina la Allah huku wakiapa allah akbaru! kama wanatumwa na marekani mbona hamukemei? unaniambia nyaraka za nini wakati tunawashuhudia hata huku mkichoma makanisa! mnatumwa na usa? acheni unafiki wenu!
 
we ulijifunzia wapi hicho usemacho au ndo kukurupuka kuliopitiliza na kukaririsha uongo ambao hata mtoto mdogo hawezi kukubali.
Uislamu unaamini kama MNAFIKI ni adui namba moja wa jamii,sasa we mbona unaongea uongo ambao pia ktk zile alama za mtu mnafiki moja wako ni UONGO kama huo uliosema,kama hutaki kukubali sawa tu kwani haiwezekani kutumia pumzi ya mwenzako kuishi.
Acha kuzungumza usichokijua kuhusu uislamu.
Uislamu unakwambia kuwa alama za mtu mnafki ni tatu na mnafiki ni adui wa mwenyezi mungu.
Utakaririshwa mpaka basi,hebu rudi darasani ukajifunze ndipo uje kuongea.

kama unakiri hivyo kumbe waislamu ni adui wa mwenyezi mungu na jamii ndiyo maana hamuoni shida kichinja wenzenu kama kuku huku mkiapa allah akbar!!
 
Waislamu kazi kutafuta mchawi wakati mchawi ni kitabu chao wanacho kiita kitukufu na mtume wao alie fikilia kibinadamu zaidi kuruhusu Jihadi.... mtume aliruhusu Jihadi na Jihad ndo inaleta shida duniani..... Boko haram, al shabab hata hapa Tz mchungaji kauwawa eti kisa wanataka wachinje wao.... mbona nguruwe hamtaki kusaidia kuchinja ... zanzibar mapadri wanamwagiwa tindikali na kupigwa risasi kisa waislam washamba ambao wametafsiri Jihad on their own way na mtume alikufa bila kujua Jihad italeta shida na kuacha ameibariki....
 
wachangiaji weng hawajui kinachoto-care ulimwenguni kuucu AMERICA ni mbaya xana na aduwi wa UISLAMU ULIMWENGUNI KOTE.
 
wewe ni mmarekani? mbona waislamu wa tanzania, kenya, somalia, nigeria etc hawajaandamana kupinga mauaji yanayofanywa na waislamu wa al shaabab, al qaeda, boko haramu? Wanachinja na kulipua watu wasio na hatia hadi misikitini kwa jina la Allah huku wakiapa allah akbaru! kama wanatumwa na marekani mbona hamukemei? unaniambia nyaraka za nini wakati tunawashuhudia hata huku mkichoma makanisa! mnatumwa na usa? acheni unafiki wenu!
mbona wakristo hamjaandamana then?
 
kama unakiri hivyo kumbe waislamu ni adui wa mwenyezi mungu na jamii ndiyo maana hamuoni shida kichinja wenzenu kama kuku huku mkiapa allah akbar!!

mbona hata nyie mnachinjana bana?.
anyway huyo anaechinja anahukumiwa kama yeye na si dini yake
 
Waislamu kazi kutafuta mchawi wakati mchawi ni kitabu chao wanacho kiita kitukufu na mtume wao alie fikilia kibinadamu zaidi kuruhusu Jihadi.... mtume aliruhusu Jihadi na Jihad ndo inaleta shida duniani..... Boko haram, al shabab hata hapa Tz mchungaji kauwawa eti kisa wanataka wachinje wao.... mbona nguruwe hamtaki kusaidia kuchinja ... zanzibar mapadri wanamwagiwa tindikali na kupigwa risasi kisa waislam washamba ambao wametafsiri Jihad on their own way na mtume alikufa bila kujua Jihad italeta shida na kuacha ameibariki....

Ulichoandika hakifanani na Tanzania kwanza. Hii mijadala ya kidini na ukosoaji wa imani za watu wengine unaitafuna Tanzania. Hizi post za namna hii ni za kupiga ban
 
wewe ni mmarekani? mbona waislamu wa tanzania, kenya, somalia, nigeria etc hawajaandamana kupinga mauaji yanayofanywa na waislamu wa al shaabab, al qaeda, boko haramu? Wanachinja na kulipua watu wasio na hatia hadi misikitini kwa jina la Allah huku wakiapa allah akbaru! kama wanatumwa na marekani mbona hamukemei? unaniambia nyaraka za nini wakati tunawashuhudia hata huku mkichoma makanisa! mnatumwa na usa? acheni unafiki wenu!

haya nimekueekea full source waislam wakiandamana kupinga isis.
weka na wewe ya wakristo
 
Ulichoandika hakifanani na Tanzania kwanza. Hii mijadala ya kidini na ukosoaji wa imani za watu wengine unaitafuna Tanzania. Hizi post za namna hii ni za kupiga ban
Mkuu hakuna kitu kibaya kama kujitambua ur weakness and strength. .... ukiendelea kuficha weaknesses kwenye taifa lenye mchanganyiko kama letu ni shida kubwa hasa inapo tokea mleta mada anatafuta justifications za kiongo....
 
United Nations observers on the ground between the Israeli-occupied Golan Heights and Syria have confirmed that Israel is supporting the Syrian rebels in their war to overthrow the Assad regime in Damascus and has been doing so for at least a year and a half.
This report should help people finally understand that Israel is behind the terrorism, carnage, and madness that has been inflicted on the people of Syria for the past few years. This is the Syrian chapter of the Zionist “War of Terror” that began with the false-flag terrorism of 9-11.
Now that we know who is really behind the madness in Syria, shouldn’t we do everything we can to stop it?
The Jerusalem Post reports:
 
Back
Top Bottom