Ubaya hauna cheo na wema hauozi

TUMY

JF-Expert Member
Apr 22, 2009
705
93
Mambo mawili na makubwa hapa duniani kwetu wanadamu na yanakungoja kwa busara zako ili uchague. Kuna MAOVU na MEMA hayo yote ni kwa ajili yako ila kumbuka WEMA hauozi na UBAYA haulipi kwa hiyo kabla ya kutenda jambo KWANZA tafakari matokeo yake kwani ukipanda mbegu ya MAOVU na MAVUNO yake ni MAOVU pia. Mungu kakupa kila kitu akili unayo ufikirie na ndio maana Mungu alituumba wanadamu tofauti kabisa na Wanyama hivyo basi kumbuka mshahara wa dhambi ni MAUTI na Mtenda MEMA MUNGU humlipa kwa MEMA.
Note:
Ubaya hauna Cheo na Wema nao Hauozi, UKITENDA MEMA TARAJIA MEMA.
 
Maneno mazuri ya faraja,ni kweli ukitenda wema utalipwa wema maradufu,ukitenda mabaya hakuna jema utakalolipwa,zaidi ya mabaya hayo hayo.
 
Mambo mawili na makubwa hapa duniani kwetu wanadamu na yanakungoja kwa busara zako ili uchague. Kuna MAOVU na MEMA hayo yote ni kwa ajili yako ila kumbuka WEMA hauozi na UBAYA haulipi kwa hiyo kabla ya kutenda jambo KWANZA tafakari matokeo yake kwani ukipanda mbegu ya MAOVU na MAVUNO yake ni MAOVU pia. Mungu kakupa kila kitu akili unayo ufikirie na ndio maana Mungu alituumba wanadamu tofauti kabisa na Wanyama hivyo basi kumbuka mshahara wa dhambi ni MAUTI na Mtenda MEMA MUNGU humlipa kwa MEMA.
Note:
Ubaya hauna Cheo na Wema nao Hauozi, UKITENDA MEMA TARAJIA MEMA.
Maneno ya hekima sana. Ila watu wengi wanafikiri kwamba ukitenda mema, mema yatakurudia kesho au keshokutwa yake,ambavyo sivyo.Mema yatakurudia baada ya muda mrefu sana pengine kwa watoto au wajukuu zako. Hii nimeshaiona. Ndo maana watu wengi wanashindwa kutenda wema kwa sababu malipo ya mema hayarudi haraka. Katika forum hii natarajia kuwaletea kisa cha Tenda wema tarajia mema kichomtokea mtu mmoja dar.
 
Ur right HYGEIA, Am looking forward kwa kuja kusoma kisa hicho, umeanisha vema sana ni kweli watu wengi wanataraji wakitenda mema basi kesho yake avune matunda yake, umenifurahisha sana uliposema sio lazima mema uyavune wewe mtendaji hata watoto wako wanaweza kuja kuvuna mema uliyoyatenda wewe baba yao, ama mama yao. Much respect to you.
 
Thanks TUMY
 
Hii ni hadithi au?

Binadamu awe mwema siku zote mbona itakuwa kazi .....sasa shetani atabaki kufanya kazi gani duniani tukitenda mema siku zote.
 
ni kweli tupu.kuna jamaa mmoja ambae kazi yake kubwa huwa ni kuwatenda watu mabaya.amekuwa akiwapa wapa mimba watt wa watu kisha kuwakana.alimtesa sana mkewe kisha kumtelekeza.anakopa halipi ilimradi ni mtu mwovu tu.loh!yanayomkuta hutaamini.kweli malipo ni hapahapa duniani jamani.kafilisika hana kitu.sasa hivi kula kwenyewe ni taabu.amedhoofu kweli mpaka anatia huruma.watu wamemshauri aombe msamaha aliowakosea jamaa anakufa kiume.inasikitisha sana jaman.kweli mtendee mema kila unayemwona hata usiyemjua.never never commit evial
 
Hii ni hadithi au?

Binadamu awe mwema siku zote mbona itakuwa kazi .....sasa shetani atabaki kufanya kazi gani duniani tukitenda mema siku zote.

Sasa fazaa imagine Mungu amekukimbia halafu shetani nae kakukimbia. utakuwa ni mtu wa aina gani wewe ktk hii dunia?

Tenda wema zako, usisubiri asante!..na kweli mema hulipwa kwa mema hata miaka mingapi ipite, mibaraka hukujalia tele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom