Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza wafuturisha

mluga

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
676
215
Jamani hivi tunakwenda wapi? hili zoezi la kuwa kila siku viongozi wa serikali wanafurutisha, je hiyo kasma imetoka wapi na sasa hata balozi zimeanza huu mchezo. Hivi ikifika shughuli za madhehebu pengine je serikali itawafanyia sherehe watu hao?

Hili swala tulitazame kwa macho mawili litatuletea matatizo mbele, kama balozi ni muumini wa kiislamu, awaalike kwake nyumbani kwa hela yake, na wala aitumie pesa ya walipa kodi. Kuna hatari hata wakuu wa mikoa na wilaya wataanza nao.

Tunataka kupelekwa kubaya, JK aliingilie hili haraka iwezekanavyo
 
Attachments

  • Futari-Ubalozi London.jpg
    Futari-Ubalozi London.jpg
    50.3 KB · Views: 90
  • Futari-Naibu  Balozi London.jpg
    Futari-Naibu Balozi London.jpg
    22.2 KB · Views: 78
Huwa kuna fedha za viburudisho na kukirimu wageni, so mojawapo ya kazi yake ndiyo hiyo. Personally sioni tatizo esp waalikwa wengi ni waTZ.
Wewe nadhani unataka tu kuuingiza mambo ya kidini kwa vitu visivyo na misingi hiyo, wageni wenyewe waliokuwepo hapo hata nyumbani kwako unaweza kuwahost na usipungukiwe kitu, uchoyo umekuzidiiiiiiiiiiii
 
Kasambala............. there is something bad happening

Ushasikia kuna hata dinner ya pasaka kienyeji tu??

KUna udini unajengwa na watu wanatafuta pa kuswaga pesa za nchi iliyopiga goti kwa shida

Ni mambo ya kupiga vita mapema kwani ni rahisi sana kuwa customs pia mianya na kuchepua fedha za walipa kodi!!! Issue si misosi ila ni katabia kaliko anzishwa na regime iliyojaa udini!!!
 
Huu umekuwa mzaha sasa. Sijawahi kusikia hata siku moja Rais, Makamu wa Rais au ubalozi umefanya Christmas party wakati wa Nyerere au Mkapa. Ni Waislamu wameanzisha jadi hii, na obviously ni pesa za kodi zinaenda kulipia hafla hizi.
 
chakula si mavi ya baadae au?? Inaonekana we hata wageni kwako huwa hawanywi hata maji!! Acha kumaidi misosi dogo utachekwa!? Unakula leo kesho unakunya imetoka hiyo.

hivi ina maana we huoni siku hizi kila kona watu wanafuturishana, alianza Jk , mara tukaanza kuona wengine wanafuatia, list bado inaendelea....... hii ni pesa ya kutoka mifukoni mwao ama ni kodi ya wananchi?
 
Regardless of where the money comes from it is absolutely stupid. Ni ujinga sana, i do not know what kind of image they are trying to portray, and what kind of message they are trying to send. Haya mambo yanatakiwa kuwa binafsi, yafanyike misikitini, na majumbani mwa watu.
 
taratibu nchi inatumbukizwa kwenye dhana za kidini,alianza mkweree wanafata wafuasi wake,badala ya kupambana na matatizo tuliyo nayo lukuki wanahangaikia daku,waislam na kauwezo kadogo bana!
 
Jamani hivi tunakwenda wapi? hili zoezi la kuwa kila siku viongozi wa serikali wanafurutisha, je hiyo kasmna imetoka wapi na sasa hata balozi zimeanza huu mchezo. Hivi ikifika shughuli za madhehebu pengine je serikali itawafanyia sherehe watu hao?

Hili swala tulitazame mwa macho mawili litatuletea matatizo mbele, kama balozi ni muumini wa kiislamu, awaalike kwake nyumbani kwa hela yake, na wala aitumie pesa ya walipa kodi. Kuna hatari hata wakuu wa mikoa na wilaya wataanza nao.

Tunataka kupelekwa kubaya, JK aliingilie hili haraka iwezekanavyo

Ebu ondoa UPUUZI wako hapa, na UJINGA wako. Acha Udini wako, huo ni UJINGA mkubwa uliokuwa nao.
 
Kesi ya .... Unampelekea ...what are you expecting? Yy ndie kinara wa kufuturisha. Utasikia tu leo sijui madiwani yaani ikulu inaitwa mgahawa Wa magogoni. Inabidi tukubali kwani ndio chaguo la 61% ya wadanganyika.
 
taratibu nchi inatumbukizwa kwenye dhana za kidini,alianza mkweree wanafata wafuasi wake,badala ya kupambana na matatizo tuliyo nayo lukuki wanahangaikia daku,waislam na kauwezo kadogo bana!

Hivi Udini na Chuki yenu lini mtaiacha? Chuki ndizo zinasokusumbueni. Huu ni Ujinga mliokuwa nao.
 
Ebu ondoa UPUUZI wako hapa, na UJINGA wako. Acha Udini wako, huo ni UJINGA mkubwa uliokuwa nao.

Jaribu kuelimika, hapa tunazungumzia mustakabadhi wa taifa kwa siku za usoni, leo hii unaliona ni jepesi lakini litakuja kuwa na madhara makubwa mno. Sikatai raisi kufanya, yeye ni nafasi ya kupata kujumuika na wananchi wake kujua kinachoendelea, lakini ikianza na kila kiongozi, watu watatumia mwanya huo kuiba pesa, na kumbuka serikali ya Tanzania ni secular state, so je madhehebu mengine mtayafanyia hizo sherehe?

Hivi mbona tunataka kuifanya nchi yetu kuwa ya FIESTA na ya minuso tu?
 
Nani kakwambia TZ ni secular state? Hawa ni viongozi wa nchi na wanaamini dini zao, na ni haki yao kufanya hivyo. Obama kashafuturisha Waislamu Ikulu Marekani. Bush Kafuturisha Waislamu Marekani tena Ikulu. Na hao ndiyo wanaoujua hiyo maana ya Secular State kuliko wewe MTZ. Sasa unapinga nini? soma ili ujue faida za kujumuika na jamii pamoja ktk chakula. Nenda kasome ili uelimike.
 
Mr. right umeshindwa kuelewa, na kama kawaida umekurupuka na kuhamia kwenye conclusion.................

wewe u mjinga zaidi ya ujinga

_)(*&^%$#@#$%^&*(zako)

Sasa unapinga nini? angalia hizo nchi zenye Secular State, kama Marekani, angalia viongozi wao wanafanya hivyo hivyo, hadi balozi wa Marekani TZ keshawahi kufuturisha WTZ. Sasa unapinga nini?
 
Naamini kuna kasma inayotengwa kwa ajili hiyo, kwa sababu hata Halmashauri mojawapo ya Manispaa pale Dar es salaam ilifuturisha viongozi na watendaji kwa gharama inayofikia shs. Milioni 10 Ijumaa ya juzi 19/08/2011.
 
Wiki iliyopita, mama tunu naye aliwafuturisha sijui wake wa viongozi.

Sijui kama gharama za walinzi zinajumuishwa kwenye mikoba yao.
 
Back
Top Bottom