Researcher
Senior Member
- Dec 15, 2010
- 187
- 48
Tukianza ya Krismasi na Iddi tutakuwa tunakuza tatizo ambalo JF inapaswa kuwa chachu katika kulitokomeza, UDINI.
Tujaribu kuzingatia gharama ambazo nchi inalipa kuhudumia balozi zaidi ya 30 duniani. Tuzingatie pia kwamba audited reports za balozi nyingi huwa zina matatizo lukuki. Swali ni Je watanzania tumeridhia kuwatuma maofisa wetu na pesa zetu kwenda kuwaburudisha au kuwalisha watanzania wenzetu waliopo ughaibuni? (iwe ijumaa, jumapili au besdei pati za kila mmoja wao vyote vile)
Je ni nini majukumu ya hawa watumishi balozi zetu na ni kwa namna gani huwa utendaji wao unapimwa?
Well kama tuna ubalozi afrika ya kusini na still mahusiano ya kibishara baina ya nchi yetu na bondeni yanategemea ziara za rais wetu then something is still wrong there...
Ila kila nchi inakuwa na mission katika balozi zake sehemu mbali mbali (sizungumzii ujasusi au chin* na wizi wa teknolojia) ila sijui kama tuna kitu kama hicho.