gambanjeli
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 395
- 250
Kama ni vyama viwili tu vya upinzani (ACT na CDM) vilishiriki katika mkutano huu, vilipataje uhallali wa kuwakirisha vyama vingine vya upinzani?
Na bado huyo mzee mwenye mkongojo anauota urais, ha ha ha.Namiona mzee mmoja akiwa na mkongojo. Sasa sjui Magufuri anaeza akafura kwa lipi wakati anaeza kupiga hadi push ups!
Raisi Ali Hassan Mwinyi aliongea kitu kizito mno ambacho wazungu wanabidi wakielewe kuwa Huwezi chagua jirani yako awe Nani.Dunia Ni Kijiji kwa Sasa jirani Huwezi chagua awe Nani anayekubaliana na yote unayotaka.Wazungu wanatakiwa kukubali kuwa dunia Kama global village waweza kuwa na jirani asiyetaka ushoga wala usagaji you need to know to respect his beliefs.China wako vizuri kwa hili wanaheshimu beliefs za African Lakini wazungu they are so stupid they believe that the world is a global village but they don't respect beliefs of the neighborhood they want to force that a neighbor should believe what they believe!!!! Long live China
Mkuu Swalena, katika michango wangu humu, ni lini nimewahi kusema nimesoma wapi, au kiwango changu cha elimu hadi wewe kuniona ninajiona nina akili sana?.Ww jamaa ni mnafiki sana,ukizeeka utakuwa mchawi sana sababu unajiona una akili kuliko wengine.
Tabia zao WAKOLOMIJE anatofauti gani na mjuaji Mkuu wao kilakitu wanajua kama unabisha sasa hivi weka mada inayo zungumzia habari ya sayari ya Jupiter ataidandia na kujifanya anaijua kuliko mtu yeyote.Hawa ndivyo walivyo wameumbwa kuja kuivuruga nchi ndiyo maana baba wa Taifa alihusia ktk uongozi makabila fulani tuwaangalie sanaWw jamaa ni mnafiki sana,ukizeeka utakuwa mchawi sana sababu unajiona una akili kuliko wengine.
Mkuu Mpwaa, sikutegemea Prof. Lipumba na Mzee Memosa Cheyo, Mzee wa Mapesa awepo, bali ukweli tuu ndio uripotiwe kuwa wamekutana na baadhi tuu ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini, ukisema neno viongozi wa upinzani plain bila kuweka baadhi, unamaanisha wote, hivyo kwa mtu asiyejua akisoma ataelewa kuwa hawa ndio viongozi wa vyama vya upinzani Tanzania, wakati kiukweli Tanzania tuna vyama 19, vya siasa nchini vyenye usajili wa kudumu na chama kimoja chenye usajili wa muda, kati ya hivyo vyama 18 ni vya upinzani.Hao ndo viongoz wa upinzan ulitegemea lipumba na cheyo wawepo.
Mkuu Mackanackyyy, ni kweli ujumbe nimeupata, ila katika tasnia ya upashanaji habari, ni muhimu sana kufikisha ujumbe sahihi, wa ukweli kwa ufasaha ukitunia lugha sanifu. Hapa ujumbe nilioupata niliposoma headline nikajua Ubalozi umekutata na viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania, kumbe ni viongozi wa baadhi tuu ya vyama.Ujumbe si umeupata Mkuu Pascal Mayalla ?
Mkuu Bulicheka, ukimuondoa Baba wa Taifa aliyelikomboa taifa hili kutoka katika makucha ya wakoloni kwa kutupatia uhuru, huyu aliyepo ndio wapi atakayelipatia taifa letu ukombozi wa kiuchumi kwa kuigeuza Tanzania kutoka nchi masikini ya tatu kutoka mwisho, kuigeuza kuwa ni nchi tajiri, a doner country kwa kuifanya kuwa ni nchi ya kipato cha kati kupitia uchumi wa gesi na Tanzania ya viwanda.Tabia zao WAKOLOMIJE anatofauti gani na mjuaji Mkuu wao kilakitu wanajua. Hawa ndivyo walivyo wameumbwa kuja kuivuruga nchi ndiyo maana baba wa Taifa alihusia ktk uongozi makabila fulani tuwaangalie sana
Mkuu Kibori Nangai, sifa ya chama ni usajili, amekidhi sifa na vigezo, amesajiliwa, hivyo ni chama halali cha upinzani, kupata uenyekiti wa kijiji ni majaaliwa tuu. Vyama viko 19, japo havilingani, vingine vikubwa vingine vidogo, vingine ni active, vingine ni dormant, lakini vyama kama vyama vina haki sawa na hadhi sawa mbele ya sheria.Paschal Mayalla punguza ujuajii mfano chama cha Dovutya nacho ni chama cha upinzani hata mwenyekiti wa kijiji hakujawai kupat
Mkuu Bagamoyo, kwanza mimi siko kwenye hili kundi la ma spin doctors wa humu jf, pili sijaizungumzia kabisa ziara hii, bali nimezungumzia tuu headline ya bandiko hili.Paschal Mayalla,
Wewe ni mwandishi nguli vipi ziara hii ya Waziri wa Mashirikiano ya Maendeleo Kimataifa Bw.Peter Eriksson toka Sweden una i-spin kuwa ni mkutano wa wapinzani na maofisa ktk ubalozi Sweden tu!
Mkuu Bagamoyo, kwanza mimi siko kwenye hili kundi la ma spin doctors wa humu jf, pili sijaizungumzia kabisa ziara hii, bali nimezungumzia tuu headline ya bandiko hili.
ila pia nondo zako kwenye hili ni nondo za ukweli na darasa la ukweli, nazisoma na kutupia likes za kutosha. Thanks
P.
Jiwe... The man you cant stop dreaming about ..Jiwe atakuwa kafura huko aliko!!!
Before Jiwe hajalala na njaa wewe na familia yako mtakuwa mbaya sana...Safi kabisa kanyaga twende jiwe likasagwe sagwe
Mkuuu Mayalla wakikutana kuanzia chama kimoja cha upinzanii tunawaita ni wapinzanii mkuuu na wale waliokutananao ni wawakilishi wa vyama vya upinzani sio lazima wawepo wotee ndio tuone ni chama cha upinzanii.Mkuu Kibori Nangai, sifa ya chama ni usajili, amekidhi sifa na vigezo, amesajiliwa, hivyo ni chama halali cha upinzani, kupata uenyekiti wa kijiji ni majaaliwa tuu. Vyama viko 19, japo havilingani, vingine vikubwa vingine vidogo, vingine ni active, vingine ni dormant, lakini vyama kama vyama vina haki sawa na hadhi sawa mbele ya sheria.
P
Yes hata wakikutana ba chama kimo tuu, unaweza kusema "...Wamekutana na Wapinzani" bila kuweka neno Tanzania. Wakikutana na vyama viwili kama ilivyotokea hapo Chadema na ACT, unaweza kuandika " ... Wamekutana na Viongozi wa Vyama vya Upinzani" na ukawa right, lakini ukiweka neno Tanzania mwisho, inageuka a nationawide issue hivyo heading hiiMkuuu Mayalla wakikutana kuanzia chama kimoja cha upinzanii tunawaita ni wapinzanii mkuuu na wale waliokutananao ni wawakilishi wa vyama vya upinzani sio lazima wawepo wotee ndio tuone ni chama cha upinzanii.
SawaaaaYes hata wakikutana ba chama kimo tuu, unaweza kusema "...Wamekutana na Wapinzani" bila kuweka neno Tanzania. Wakikutana na vyama viwili kama ilivyotokea hapo Chadema na ACT, unaweza kuandika " ... Wamekutana na Viongozi wa Vyama vya Upinzani" na ukawa right, lakini ukiweka neno Tanzania mwisho, inageuka a nationawide issue hivyo heading hii
wakutana na viongozi wa Upinzani Tanzania
inamaanisha ni wote, hapo ilitakiwa kuwe neno baadhi na kusomeka
wakutana na baadhi ya viongozi wa Upinzani Tanzania
Kumaanisha sio wote, au upinzania wa Tanzania ndio hao tuu!.
P
Kwanza habari hapo kubwa ni Waziri wa...... Sweden akutana na .......Mkuu Mwanahabari Huru, kwanza asante kwa taarifa hii, ila headline yako ilipaswa kuwa
Ubalozi wa Sweden Nchini Tanzania wakutana na Baadhi ya viongozi wa Upinzani Tanzania... au
Ubalozi wa Sweden Nchini Tanzania wakutana na viongozi wa Vyama Viwili vya Upinzani Tanzania...
Kitendo cha kuandika
Ubalozi wa Sweden Nchini Tanzania wakutana na viongozi wa Upinzani Tanzania...Kinamaanisha hoa ndio viongozi wa upinzani Tanzania, kitu ambacho sii kweli, Tanzania tuna vyama 22 vya upinzani na vyote vina viongozi, hao ni viongozi wa vyama 2 vya upinzani.
Thanks.
P.