Ubalozi wa Sweden Nchini Tanzania wakutana na viongozi wa Upinzani Tanzania kwa Mazungumzo na kuangalia hali ya kisiasa nchini

Kama ni vyama viwili tu vya upinzani (ACT na CDM) vilishiriki katika mkutano huu, vilipataje uhallali wa kuwakirisha vyama vingine vya upinzani?
 
The Nordic Model of Social Democracy: A Conversation with Swedish Prime Minister Stefan Löfven



The Nordic countries with their small open economies, well-developed welfare states and organized labor markets, have given rise to the concept of the Nordic model. In recent years the Nordic model has attracted positive global attention, since the Nordic countries have demonstrated good results in terms of growth, employment, gender equality, competitiveness, living conditions and egalitarianism when compared to other countries.

External change in the form of increased global competition, climate, migration and European integration, interacting with internal change associated with an aging population and rising expectations with regard to welfare services, will be a test of the models resilience.

The Swedish Prime Minister Stefan Löfven will introduce the features of the Nordic Model and discuss the future development of the model.

Stefan Löfven is Sweden’s Prime Minister since October 3, 2014. He heads a coalition government consisting of the Swedish Social Democratic Party and the Green Party. Mr. Löfven is chair of the Swedish Social Democratic Party since 2012. Between 2005 and 2012 he was an alternate member of the Executive Committee of the Social Democratic Party. Between 2006 and 2012, he chaired the Metalworkers' union IF Metall, and was also an alternate board member of the European Metalworkers' Federation between 2002 and 2007. Mr. Löfven has also served as deputy chair of the Swedish Trade Council in 2004-2012, and as a board member of the Olof Palme International Centre in 2002-2006. He was employed at Hägglunds in Örnsköldsvik from 1979 to 1995, during which he had various trade union assignments.

Source: NYU School of Law
 
USA sio jirani, yeye anajiona ni mtawala wa dunia, kwa hivyo akiongea anaongea kama mtawala wa dunia na ndio maana kila mara utasikia fulani kawekewa vikwazo nchi furani na lazima uvifuatwe vinginevyo ur in trouble.
Raisi Ali Hassan Mwinyi aliongea kitu kizito mno ambacho wazungu wanabidi wakielewe kuwa Huwezi chagua jirani yako awe Nani.Dunia Ni Kijiji kwa Sasa jirani Huwezi chagua awe Nani anayekubaliana na yote unayotaka.Wazungu wanatakiwa kukubali kuwa dunia Kama global village waweza kuwa na jirani asiyetaka ushoga wala usagaji you need to know to respect his beliefs.China wako vizuri kwa hili wanaheshimu beliefs za African Lakini wazungu they are so stupid they believe that the world is a global village but they don't respect beliefs of the neighborhood they want to force that a neighbor should believe what they believe!!!! Long live China
 
Tunaye Balozi wetu huko anayeyafahamu vizuri sana haya masaibu yetu ya Demokrasia na Haki za Binaadam. Je, Waziri kabla ya safari yake alipata kubadilishana mawazo na mwakilishi wetu huyo?

Kama huyo Balozi alishindwa kushawishi haya maswala yasiwe ajenda katika safari hii...je, Balozi wetu anafanya kazi yake ipasavyo?
Kwanza kaleta wawekezaji wangapi hadi sasa!
 
Ww jamaa ni mnafiki sana,ukizeeka utakuwa mchawi sana sababu unajiona una akili kuliko wengine.
Mkuu Swalena, katika michango wangu humu, ni lini nimewahi kusema nimesoma wapi, au kiwango changu cha elimu hadi wewe kuniona ninajiona nina akili sana?.

Bandiko hili limepandishwa na mwana fani mwenzangu, nimemkosoa kwenye headline yake kwanza kwa kumuonyesha kosa ni lipi
pili kosa hilo linamadhara gani na tatu nikamalizia kwa kumwelekeza the right thing to do, sasa kosa langu hapa ni lipi hadi unione ninajifanya nina akili sana?.
P
 
Ww jamaa ni mnafiki sana,ukizeeka utakuwa mchawi sana sababu unajiona una akili kuliko wengine.
Tabia zao WAKOLOMIJE anatofauti gani na mjuaji Mkuu wao kilakitu wanajua kama unabisha sasa hivi weka mada inayo zungumzia habari ya sayari ya Jupiter ataidandia na kujifanya anaijua kuliko mtu yeyote.Hawa ndivyo walivyo wameumbwa kuja kuivuruga nchi ndiyo maana baba wa Taifa alihusia ktk uongozi makabila fulani tuwaangalie sana
 
Hao ndo viongoz wa upinzan ulitegemea lipumba na cheyo wawepo.
Mkuu Mpwaa, sikutegemea Prof. Lipumba na Mzee Memosa Cheyo, Mzee wa Mapesa awepo, bali ukweli tuu ndio uripotiwe kuwa wamekutana na baadhi tuu ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini, ukisema neno viongozi wa upinzani plain bila kuweka baadhi, unamaanisha wote, hivyo kwa mtu asiyejua akisoma ataelewa kuwa hawa ndio viongozi wa vyama vya upinzani Tanzania, wakati kiukweli Tanzania tuna vyama 19, vya siasa nchini vyenye usajili wa kudumu na chama kimoja chenye usajili wa muda, kati ya hivyo vyama 18 ni vya upinzani.
P.
 
Ujumbe si umeupata Mkuu Pascal Mayalla ?
Mkuu Mackanackyyy, ni kweli ujumbe nimeupata, ila katika tasnia ya upashanaji habari, ni muhimu sana kufikisha ujumbe sahihi, wa ukweli kwa ufasaha ukitunia lugha sanifu. Hapa ujumbe nilioupata niliposoma headline nikajua Ubalozi umekutata na viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania, kumbe ni viongozi wa baadhi tuu ya vyama.
P.
 
Tabia zao WAKOLOMIJE anatofauti gani na mjuaji Mkuu wao kilakitu wanajua. Hawa ndivyo walivyo wameumbwa kuja kuivuruga nchi ndiyo maana baba wa Taifa alihusia ktk uongozi makabila fulani tuwaangalie sana
Mkuu Bulicheka, ukimuondoa Baba wa Taifa aliyelikomboa taifa hili kutoka katika makucha ya wakoloni kwa kutupatia uhuru, huyu aliyepo ndio wapi atakayelipatia taifa letu ukombozi wa kiuchumi kwa kuigeuza Tanzania kutoka nchi masikini ya tatu kutoka mwisho, kuigeuza kuwa ni nchi tajiri, a doner country kwa kuifanya kuwa ni nchi ya kipato cha kati kupitia uchumi wa gesi na Tanzania ya viwanda.

Hili la wameumbwa kuja kuivuruga nchi, ni lakawaida, siku zote nabii huwa hakubaliki nyumbani mpaka akiishaondoka, hata Yesu alikataliwa, akasulubishwa na kuuwawa kwa kifo cha msalabani, lakini kwa kupigwa kwake, sisi tuliponywa, hivyo endeleeni kumsulubisha humu mitandaoni, lakini Tanzania inaponywa. Midege mikubwa angani, barabara za ghorofa za juu kwa juu, SGR, Stigler, Tanzania ya viwanda, nchi ya uchumi wa kati, huku wengine wakipiga kelele jinsi vyuma vilivyo kazwa na kumhusu nabii wetu huyu, wachapa kazi wanaendelea kucha kazi kazi na matokeo yanaonekana.
P
 
Paschal Mayalla punguza ujuajii mfano chama cha Dovutya nacho ni chama cha upinzani hata mwenyekiti wa kijiji hakujawai kupat
Mkuu Kibori Nangai, sifa ya chama ni usajili, amekidhi sifa na vigezo, amesajiliwa, hivyo ni chama halali cha upinzani, kupata uenyekiti wa kijiji ni majaaliwa tuu. Vyama viko 19, japo havilingani, vingine vikubwa vingine vidogo, vingine ni active, vingine ni dormant, lakini vyama kama vyama vina haki sawa na hadhi sawa mbele ya sheria.
P
 
Paschal Mayalla,
Wewe ni mwandishi nguli vipi ziara hii ya Waziri wa Mashirikiano ya Maendeleo Kimataifa Bw.Peter Eriksson toka Sweden una i-spin kuwa ni mkutano wa wapinzani na maofisa ktk ubalozi Sweden tu!
Mkuu Bagamoyo, kwanza mimi siko kwenye hili kundi la ma spin doctors wa humu jf, pili sijaizungumzia kabisa ziara hii, bali nimezungumzia tuu headline ya bandiko hili.
ila pia nondo zako kwenye hili ni nondo za ukweli na darasa la ukweli, nazisoma na kutupia likes za kutosha. Thanks
P.
 
Mkuu Bagamoyo, kwanza mimi siko kwenye hili kundi la ma spin doctors wa humu jf, pili sijaizungumzia kabisa ziara hii, bali nimezungumzia tuu headline ya bandiko hili.
ila pia nondo zako kwenye hili ni nondo za ukweli na darasa la ukweli, nazisoma na kutupia likes za kutosha. Thanks
P.

Nakubaliana na msisitizo wako kuwa headline ilingane na habari inayoletwa humu JF.
 
Mkuu Kibori Nangai, sifa ya chama ni usajili, amekidhi sifa na vigezo, amesajiliwa, hivyo ni chama halali cha upinzani, kupata uenyekiti wa kijiji ni majaaliwa tuu. Vyama viko 19, japo havilingani, vingine vikubwa vingine vidogo, vingine ni active, vingine ni dormant, lakini vyama kama vyama vina haki sawa na hadhi sawa mbele ya sheria.
P
Mkuuu Mayalla wakikutana kuanzia chama kimoja cha upinzanii tunawaita ni wapinzanii mkuuu na wale waliokutananao ni wawakilishi wa vyama vya upinzani sio lazima wawepo wotee ndio tuone ni chama cha upinzanii.
 
Mkuuu Mayalla wakikutana kuanzia chama kimoja cha upinzanii tunawaita ni wapinzanii mkuuu na wale waliokutananao ni wawakilishi wa vyama vya upinzani sio lazima wawepo wotee ndio tuone ni chama cha upinzanii.
Yes hata wakikutana ba chama kimo tuu, unaweza kusema "...Wamekutana na Wapinzani" bila kuweka neno Tanzania. Wakikutana na vyama viwili kama ilivyotokea hapo Chadema na ACT, unaweza kuandika " ... Wamekutana na Viongozi wa Vyama vya Upinzani" na ukawa right, lakini ukiweka neno Tanzania mwisho, inageuka a nationawide issue hivyo heading hii
wakutana na viongozi wa Upinzani Tanzania
inamaanisha ni wote, hapo ilitakiwa kuwe neno baadhi na kusomeka
wakutana na baadhi ya viongozi wa Upinzani Tanzania
Kumaanisha sio wote, au upinzania wa Tanzania ndio hao tuu!.
P
 
Yes hata wakikutana ba chama kimo tuu, unaweza kusema "...Wamekutana na Wapinzani" bila kuweka neno Tanzania. Wakikutana na vyama viwili kama ilivyotokea hapo Chadema na ACT, unaweza kuandika " ... Wamekutana na Viongozi wa Vyama vya Upinzani" na ukawa right, lakini ukiweka neno Tanzania mwisho, inageuka a nationawide issue hivyo heading hii
wakutana na viongozi wa Upinzani Tanzania
inamaanisha ni wote, hapo ilitakiwa kuwe neno baadhi na kusomeka
wakutana na baadhi ya viongozi wa Upinzani Tanzania
Kumaanisha sio wote, au upinzania wa Tanzania ndio hao tuu!.
P
Sawaaaa
 
Mkuu Mwanahabari Huru, kwanza asante kwa taarifa hii, ila headline yako ilipaswa kuwa
Ubalozi wa Sweden Nchini Tanzania wakutana na Baadhi ya viongozi wa Upinzani Tanzania... au
Ubalozi wa Sweden Nchini Tanzania wakutana na viongozi wa Vyama Viwili vya Upinzani Tanzania...

Kitendo cha kuandika
Ubalozi wa Sweden Nchini Tanzania wakutana na viongozi wa Upinzani Tanzania...Kinamaanisha hoa ndio viongozi wa upinzani Tanzania, kitu ambacho sii kweli, Tanzania tuna vyama 22 vya upinzani na vyote vina viongozi, hao ni viongozi wa vyama 2 vya upinzani.

Thanks.
P.
Kwanza habari hapo kubwa ni Waziri wa...... Sweden akutana na .......
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom