Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,053
- 4,595
Waandishi waliofungamana na upande fulani hawawezi kukuletea habari za kweli. Nenda Fox news uone wanavyompamba Trump japo anachemsha. Hapa kuna Salary Slip Mwanahabari huru na BAK hawa wameoga maji ya bendera ya chadema na kule lumumba kuna Jingalao na Lizabon na wengine wengi kazi yao kumsifu jiwe hata anavurugaHapa amefeli ameandika ndivyo sivyo, pale tunapo kosea au kuandika huku kuna mapungufu makubwa ktk habari husika huwa tunaelezana.
Viwango JamiiForums lazima viwe juu zaidi ya vyombo vingine vya habari ili JF iendelee kuwa juu.