Ubalozi wa Marekani ulitoa tahadhari kwa raia wake kupanda Ethiopia airline (08/03/2019)

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Hii ni habari iliyowatahadharisha raia wa Marekani kutokapanda ndege za Ethiopia au kutopitia Bole International airport

Nimeisoma kwenye Embassy page ya USA,

Kwamba kwasababu ya maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika mjini Addis Ababa,

R.I.P

======

US warned its citizens to avoid airport over protests

The US Embassy in Ethiopia on Friday warned American citizens to avoid Bole International Airport, citing planned protests.

The embassy said there were plans to stage a protest in Meskel Square in Addis Ababa and the Oromia Region on Sunday.


“US Government travelers have been advised not to arrive or depart Bole International Airport on Sunday, March 10. US Embassy personnel are also temporarily prohibited from travelling to Oromia,” a warning on their website said.


The embassy later updated their alert on Saturday, saying US Government travellers could arrive or depart from Bole International Airport yesterday.

Authorities are still investigating what caused the Nairobi-bound Ethiopian Airlines Boeing 737 to crash.


The site of the crash is a town is located 48km southeast of Addis Ababa along its Route Four highway.


The town was formerly known as Debre-Zeit, in Amharic, but since the late 1990s it has been officially known by the Oromo name of Bishoftu.


The statement said the embassy was aware of calls for a protest to be held at Meskel Square and added it was not known whether the protest had been or would be approved by Ethiopian authorities.


“US Embassy personnel are advised to avoid Meskel Square and limit movement around Addis Ababa on Sunday, March 10.”

It was not clear if the protest was linked to the crash.


Officials said the plane was still climbing and had only been airborne for a couple of minutes. The airline said there were 149 passengers and eight crew members on board.


US embassy in Ethiopia had warned against using Bole airport : The Standard
 
Sijakuelewa mkuu lengo la Hoja yako nikilinganisha Heading na habari ya ndani huku naona misuguano tu
Heading nimekosea kwamba USA walitahadharisha raia wake wasitumie Bole International airport
 
Bundle inasumbua ?, tuwe na kawaida ya kusoma Makala nzima ya link/source. Matokeo yake ndiyo hayo tunafungua uzi au kutoa comment kwa kusoma heading au twitter halafu tunakuja gundua heading au twitter haikujitosheleza kufungua uzi au kutoa comment sahihi.

Twitter, at its most basic, is a series of short online announcements or ‘tweets’. Want to know more? Then read on for our lowdown on this popular social network.
 
What I suspect this ihas been a concidence. Ukisngalia ilani hiyo ya ubalozi ilitolewa Ijumaa na Jumamosi tena wakatoa nyingine iliyoruhusu wapite Bole.

Tahadhari hiyo ililenga usalama wakati wa maandamano.
 
Kama lilikuwa ni shambulizi, inawezekana neno 'maandamano' na traffic waliyoidaka wamarekani ilikuwa ni code tu waliyoitumia wahusika kuwapoteza watu wa intelligence.

Kwa vyovyote vile, warnings zao huwa siyo za kupuuza.
Yeah, uko Sahihi kabisa
IMG-20190310-WA0039.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni propaganda za kuinusuru Boeng isipate lawama kwa kutwngeneza Lindege libovu, dalili zote zinaonyesha ni matatizo ya mfumo wa ndege yenyewe.....hizo nyingine ni porojo tu
 
Kumbe ni kwa sababu ya maandamano....Sasa na hiyo ajali mbona havina ujusiano mkuu
Vinaweza kuwa na Uhusiano kwa sababu sio rahisi kung'amua Maslai na Nia ya Waandamanaji na kwangu mimi naweza kusema hili ni Shambulio la kulipa Kisasi kwa Serikali ya Waziri Mkuu Ndg.Abia .
Fuatilia jamaa anaitwa @Abbaacsa , utaelewa nachomaanisha.......
 
Aiseee,pamoja na kwamba hao jamaa huwa tunawaita majina ya ajabu ajabu (km;mabeberu) lakini hao jamaa US WANA AKILI KUBWA SANA.

Na tukiendelea kuwabishia kuhusu hali ya demokrasia nchini mwetu,ipo siku tutalia.
 
Vinaweza kuwa na Uhusiano kwa sababu sio rahisi kung'amua Maslai na Nia ya Waandamanaji na kwangu mimi naweza kusema hili ni Shambulio la kulipa Kisasi kwa Serikali ya Waziri Mkuu Ndg.Abia .
Fuatilia jamaa anaitwa @Abbaacsa , utaelewa nachomaanisha.......
Ahaa Sawa mkuu
 
Nachoshangaaga hawa watu wanatuambiaga turuhusu maandamano ila kwenye maandamano huwaga wao hawataki kuwepo kabisa kwa maana ni kiashiria cha hatari.
 
Back
Top Bottom