one wisow
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,216
- 1,795
Hakuna drone itakayo escape iranian missiles.ayatollah tutamnyoa uchebe kwa drone. ajifunze kwa osama kama ana akili sawasawa.
Ushaambiwa it's not yet confirmed. Try to understand dude.Wewe habari zako za uongo sana,kipindi kile Iran imeangusha ndege ya Ukraine ulikuja hapa na kusema kuwa Iran imeishusha F-35.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unaelewa maana ya sentensi 😁😁,ukiona neno Inasemekana maana yako haijawa confirmed,jaribu kuwa unasoma sentensi kwa makini na kuzielewaWewe habari zako za uongo sana,kipindi kile Iran imeangusha ndege ya Ukraine ulikuja hapa na kusema kuwa Iran imeishusha F-35.
Sent using Jamii Forums mobile app
unawajaza ujinga. hao pigo moja tu wala siyo takatifu huyo ayatollah utamkuta kajificha kwenye karavati, dont mess with america.
Unaowaita wapuuzi jana huko Afghanistan wametungua ndege ya USAF iliokua imebeba wanajeshi wa Trump kibao. Safari hii majeshi ya trump yataishi kwa taabu sana huko Western Asia.
Salaam za mapenzi kwao
All Is Well
US PAPER TIGER...
Osama DUNIA Nzima Ilikua Inamtambua Kama GAIDI Halaf Umfananishe na SADRaliuliwa Osama itakuwa muktadar?
Watakufa kama kwio maana c wanajifanya MIUNGU WATU Shenzi ZaoUnaowaita wapuuzi jana huko Afghanistan wametungua ndege ya USAF iliokua imebeba wanajeshi wa Trump kibao. Safari hii majeshi ya trump yataishi kwa taabu sana huko Western Asia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ujumbe zaidi ya kumuua jenerali wao na kutangaza?
US wako kimya nadhani watakuwa wanatafuta location ya Al sadr ili wammalize Kama jibu lao,
Huko afaghnistan nako ndege ya CIA imedondoka
Nyie na dini yenu hamna akili na ndo maana ni mashogaUnaowaita wapuuzi jana huko Afghanistan wametungua ndege ya USAF iliokua imebeba wanajeshi wa Trump kibao. Safari hii majeshi ya trump yataishi kwa taabu sana huko Western Asia.
Sent using Jamii Forums mobile app