Ubalozi wa Marekani Iraq washambuliwa

Mastermind Of Soleimani’s Murder Killed In Ghazni Plane Crash: Report
Head of US intelligence operations against Iraq, Iran and Afghanistan, Michael D' Andrea killed in Ghazni plane crash
EPWUGb2W4AA9T_O.jpg

KARACHI: In a startling revelation, a report published in the Veterans Today website and circulated by Iran’s media claims that Michael D’ Andrea, the head of US intelligence operations against Iraq, Iran and Afghanistan, has been killed in Taliban’s shoot-down of a US military plane in Ghazni.
The report claimed that the plane, allegedly shot down yesterday in Ghazni’s Deh Yaak district, was the mobile CIA command for Michael D’ Andrea, and now, America’s most advanced spy platform and mobile command centre with all equipment and documents are in Taliban’s hand.

NB-hii taarifa bado inahitaji multiple verification
 
Naona jino kwa jino

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema watakufa kama kuku na wafe tu maana hakuna namna.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sadri tayari kashasanda haungi mkono tena hao waandamanaji wanaotaka Majeshi ya Marekani kuondoka Iraq.View attachment 1338318View attachment 1338319

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha,wanjiru bana...Ni hivi Yale maandamano ya kupinga marekani yamefanyika siku moja tu,yaani ijumaa,
Iraq Kuna maandamano ya kupinga serikali haya yaliungwa mkono na Al sadr mpaka juzi ndipo alipoamua kuwatoa wafuasi wake na kusitisha kuyaunga mkono,
Sijui umeelewa au bado?
 
All sadr anawalaumu hao protester ambao wameweka makambi,tents pale square kuwa wamekiuka malengo ya maandamano na hivyo kujitoa,maana maandamano hayo yanatumika na marekani badala ya kusimamia madai yao ya mwanzo.
Mwandishi wa rudaw amejaribu ku confuse habari ili ionekane Al sadr kajitoa maandamano Yale ya million man match ambayo yalifanyika ijumaa na hayakuendelea tena
 
Kwanini asitishe huku Majeshi ya Marekani yakiwa bado hayajaondoka hapo Iraq?

Kuna Mdau mmoja alikwambia kuwa Majeshi ya Marekani hayawezi kuondoka Middle East kwa maandamano mkapaza shingo eti Al- Sadri ameshaingia kuyaunga mkono lazima waondoke,leo hii mnakana matamshi yenu.

Bado hujaelewa.
Nasema maandamano ya ijumaa yaliitishwa na Al sadr na aliyaita one milioni man match,haya Ni maandamano ya kutakatisha marekani iondoke Iraq na yalifanyika ijumaa iliyopita Basi,
Kuna maandamano mengine Yana karibu miezi miwili ya kupinga Hali ngumu na yakitaka serikali ijiuzulu,haya pia yaliungwa mkono na Al sadr na ndo majuzi kajitoa kuyasupport,juu yameanza kutumika na mabeberu,
Sasa we wanjiru yanakuchanganya.
Pia ujue sababu ya maandamano hayo,waziri mkuu alijiuzulu na Sasa Ni caretaker.
 
Kuna Mdau mmoja alikwambia kuwa Majeshi ya Marekani hayawezi kuondoka Middle East kwa maandamano mkapaza shingo eti Al- Sadri ameshaingia kuyaunga mkono lazima waondoke,leo hii mnakana matamshi yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Actually marekani ya Trump hawezi ondoka Iraq labda mpaka apate significant loss,na hiyo ndo wanamuotea uchaguzi ukikaribia,lakini Trump nae Ni mjanja fununu zinadai Kuna mazungumzo ya chini chini kuwa anaweza kuondoka kwa kistaarabu iwapo militias wataacha kushambulia,
Lakini wakati huo huo,marekani Jana imestisha kuiuzia silaha na spare za ndege Iraq.
Askari wa marekani wanashinda kambini,hakuna kutembea mtaani,movements zote Ni kwa helcopter au ndege basi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom