HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,373
- 94,567
All is well
Electronic Warfare inabeba watu zaidi ya Kumi?punguzeni mahabaUngemalizia na kuuwa wote takriban 83 walikuwepo ndani ya ndege!
😂😂😂😂😂😂 UMEONA TU COMMENT YANGU MOJA?
US Anaenda Kuondoka Mashariki Yakati Kwa Udhalili MKUBWA Sanaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
US wako kimya nadhani watakuwa wanatafuta location ya Al sadr ili wammalize Kama jibu lao,
Huko afaghnistan nako ndege ya CIA imedondoka
ayatollah tutamnyoa uchebe kwa drone. ajifunze kwa osama kama ana akili sawasawa.
Hali bado kutengemaa kwenye ubalozi wa USA huko Iraq jana inasemekana ukumbi wa chakula ulishambuliwa kwa rocket.
=====
Rocket attack strikes US Embassy in Baghdad
A rocket attack targeting the US embassy in Baghdad resulted in one rocket striking a dining hall on the compound on Sunday, reports said.
Three rockets were fired at the embassy, a senior Iraqi official told AFP, with one rocket hitting the dining hall and two others landing nearby.
A US official also confirmed to CNN that a rocket hit the dining facility.
The US embassy did not immediately comment. It was not clear if anyone had been injured in the strike.
The head Republican on the House Foreign Affairs committee called the acts “unacceptable.”
“Violent acts against our diplomatic facilities are simply unacceptable,” Rep. Michael McCaul wrote on Twitter.
“We must ensure the safety of American diplomats, troops and other Americans in Iraq.”
Iraqi Prime Minister Adel Abdel Mahdi and Speaker of Parliament Mohammed Halbusi both condemned the incident, according to AFP.
Tensions in the region have been high after a series of strikes, including one the killed head of the Iranian Quds Force Qasem Soleimani
Source: New York Post
Sent using Jamii Forums mobile app
aliuliwa Osama itakuwa muktadar?Wakimuua Sadr basi wajue ulimwengu wa Shia utadeal na wanajeshi wao kama kuku
Wewe habari zako za uongo sana,kipindi kile Iran imeangusha ndege ya Ukraine ulikuja hapa na kusema kuwa Iran imeishusha F-35.Habari sio confirmed,kwamba Dark prince alikuwemo katika ajali hiyo,mkurugenzi wa CIA Iran desk,