Ubalozi wa Marekani Iraq washambuliwa

Wenda kinacho fanya marekani kukataa kuondoka Iraq wakati huu ikawa sio masilai.
Wenda anaona akiondoka katika hali kama ya sasa itaonekana Iran kashinda na Wenda wapinzani wa Trump kwenye uchaguzi ujao wakatumia karata hiyo kumponda ya kwamba kaifanya marekani kuonekana dhaifu mbele ya Iran.
Ila narudia tena kitendo cha marekani kumuuwa yule kamanda wa kiirani kitawagharimu pakubwa sana.
 
Muandishi wa habari pendwa @rikboy ameripoti kuwa ubarozi wa marekani umeshambuliwa kimasihara
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom