Wa Iran wao hawajali hilo, watamlenga Mmarekani mmoja katikati ya Watanzania mia moja, alafu watashangilia kumuua huyo Mmarekani hata kama ataangamia yeye na Wabongo 50.Sasa ulitaka wahamishie ugomvi wao kwenye nchi yetu, waache wapiganie huko huko, huku watatuua na sisi tusiohusika
thamani ya mmarekani mmoja sawa na waafrika 1000, so lazima washangilieWa Iran wao hawajali hilo, watamlenga Mmarekani mmoja katikati ya Watanzania mia moja, alafu watashangilia kumuua huyo Mmarekani hata kama ataangamia yeye na Wabongo 50.
Duuh,thamani ya mmarekani mmoja sawa na waafrika 1000, so lazima washangilie
Kutuvurugia mambo yetu yapi? Ya kununua ndege?
Kwani wewe ni Mmarekani?
mambo yetu ya kubambakia watu kesi za money laundering.Kutuvurugia mambo yetu yapi? Ya kununua ndege?
nije kufanya nini kwenye nchi yenye tishio??Bwana mzee ungekua wewe Mkenya alafu ukasoma hii na ulikua na mpango wa kuja kutalii ungekuja tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
nije kufanya nini kwenye nchi yenye tishio??
ila watalii nao wanapaswa kujiongeza kuwa popote penye mali ya America kuna tisho la shambulio.
Kimsingi hii tahadhari imetolewa sehemu nyingi nasiyo Tanzania tu. Kenya ndiyo kabisaa... vikosi vya wana usalama vimeongezeka mara dufu mtaani. Hili la Tanzania ni cha mtoto tu.Mambo yameanza kufukuta japo nina wasiwasi na hawa jamaa kutumia hii sababu kutuvurugia mambo yetu kama Taifa.
======
Location: Tanzania
Event: Heightened Middle East Tensions
There is heightened tension in the Middle East that may result in security risks to U.S. citizens abroad.
The Embassy will continue to review the security situation and will provide additional information as needed.
Actions to Take:
- Keep a low profile.
- Be aware of your surroundings.
- Stay alert in locations frequented by tourists
- Review your personal security plans.
- Have travel documents up to date and easily accessible.
Assistance:
- See the State Department’s travel website for the Worldwide Caution.
- Enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive security messages and make it easier to locate you in an emergency.
- Contact the U.S. Embassy in Tanzania, located at 686 Old Bagamoyo Road, Dar es Salaam, via the Consular Section at drsacs@state.gov from Monday-Thursday, 7:30 a.m. to 5:00 p.m. and Fridays from 7:30 a.m. to 11:30 a.m. The after-hours emergency number for U.S. citizens is +255-22-229-4000.
- Follow us on Twitter and Facebook.
View attachment 1313937
Sent using Jamii Forums mobile app
Tahadhari siyo Bongo pekee. Nchi nyingi sehemu zenye maslahi ya mmarekani zimeimarishwa ulinzi. Hata zile nchi za Ulaya ambazo hazina chokochoko nyingi wameimarisha ulinzi na kuna tahadhari.Ajabu kabisa kuna mtu yuko Jf na hajui hili tangazo linatuathiri vp, yaan anashindwa kuelewa kua hata kwenye sector ya Utalii tu kutaathirika maana hakuna mgeni anataka aende mahala ambako kuna waswas wa kiusalama? Yaani fikiria namna Wamarekani tu waliokua wamepanga kuja Tz siku za karibuni watakavyo cancel booking zao kutokana na hili tangazo
Sent using Jamii Forums mobile app
yap hivyo ndivyo ilivyo.
Babu yako hakuwa mtumwa
Usishangilie mkuu,vita ikianza lazima bei ya pipa la mafuta ipande na hapo ndio sisi walala hoi tutakapoumia....
Dah! Kazi ipo!Wanaweza kutumia kama kisingizio cha kumuondoa jiwe madarakani!!!jiwe amewaulia watu wao na kuwatia ndani!!
Actually, they will be safer in Tanzania than the US!Ajabu kabisa kuna mtu yuko Jf na hajui hili tangazo linatuathiri vp, yaan anashindwa kuelewa kua hata kwenye sector ya Utalii tu kutaathirika maana hakuna mgeni anataka aende mahala ambako kuna waswas wa kiusalama? Yaani fikiria namna Wamarekani tu waliokua wamepanga kuja Tz siku za karibuni watakavyo cancel booking zao kutokana na hili tangazo
Sent using Jamii Forums mobile app