Ubalozi wa Kenya wahitaji maelezo

mgodi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,780
1,845
Ubarozi wa Kenya nchini Tz, umetaka maelezo kuhusu raia wao aliyekufa kwny vurugu za Arusha. Polis tz yahaha kutafuta maelezo yatakayo watosheleza wakenya... Chanzo taarifa ya habari Passion FM, leo trh 11/01/2011 saa 21:00.
 
nashauri kichwa cha habari kisomeke "serikali ya kenya kupitia ubalozi wake daar wataka maelezo"
au "serikali ya kenya yataka maelezo"
 
Wanalo hilo na taarifa zao za ki intelijensia! Intelijensia my foot! Watu wanataka haki nyiye mnaleta story za intelijensia si mngefanya uintelejensia wenu huko ili kagoda wafikishwe kwa pilato! What about dowan mpaka leo mmiliki hamumjui? Au hamtaki kumtaja kwa sababu za ki intelijensia? mkwere alisema ana list ya ma drug dealers wakubwa hapa tz mmefikia wapi? Mna intelijensia ya kuua watu ila kumkamata mwenzenu aliyeua pamoja na komba hola hajapatikana! mna ma kashfa kibao na intelijensia yenu! Watu tunataka kuandamana badala ya kutulinda mnaanza kutuua, sisi wananchi ndo tunawalipa mishahara yenu na mafao yenu kwa kodi zetu halaf mnatuletea marisasi! mnafikiri mkwere ana hela ya kuwalipa nyinyi ni sisi ndo watoa kodi, from now on I will calling you wazee wa intelijensia! Ime backfire waambieni wakenya mmemua mtu wao kwa sababu zipi!
 
kwenye mambo ya msingi tunavyoibiwa kwenye mikataba hewa hawapati taarifa za ki intelegensia,sasa hili wanalo hadi kieleweke na tv wanazipiga mikwara zisitoe news.
 
IGP na Nahodha nasikia wamejifisha, wanaogopa kusema ukweli. Membe naye ameamua awakusanye Mbalozi wote akawaziba midomo kwa gundi ya maneno eti... tatizo la Arusha msiwe na haraka nalo, tunatafuta taarifa sahihi na tutawapeni maelezo sahihi ya kuzungumza nchini kwenu... Tuanendelea kuchakachua maelezo ya Polisi ili tupate chanzo cha tatizo na tutawahamisheni. Be patient please!!

Uongo una mwisho!!
 
Sahihisho. ... wamejificha.... tunaendelea... tutawafahamisheni. Lugha hii ngumu kweli. For English, I am pafekti!
 
Kauli ya wakenya ijibiwe kutoka serikalini,Kwani wahusika wa mambo yote ya Arusha sio watu wa ngazi za chini...Hii intelijensia ni uchafu ambao hauta sahaulika vizazi vyoote...Kweli ccm wameleta maneno mapya ya kutosha kufungua darasa..mara dadavua,chakachua,inteligensia,dowans,richmonds ...mazagazaga tuuuu nasikia kutapika haki ya mtume..!!
 
Hii phrase, "Taarifa za Kiintelijensia" tuikuze hadi iwe mzaha polisi wapate taabu kuitumia kama neno kuchakachua lilivyokua.
 
Ubarozi wa Kenya nchini Tz, umetaka maelezo kuhusu raia wao aliyekufa kwny vurugu za Arusha. Polis tz yahaha kutafuta maelezo yatakayo watosheleza wakenya... Chanzo taarifa ya habari Passion FM, leo trh 11/01/2011 saa 21:00.

Then what? Hawakuja kununua kitunguu hawa?
 
Lakini kuna Mtanzania aliyeuwawa huko Kenya wakati wa vurugu zile, halafu muuaji akaachiliwa huru. Je Serikali ya Tanzania iliwaghi kudai maelezo?
 
Lakini kuna Mtanzania aliyeuwawa huko Kenya wakati wa vurugu zile, halafu muuaji akaachiliwa huru. Je Serikali ya Tanzania iliwaghi kudai maelezo?

Kama serikali yenu haikudai maelezo hiyo ni shauri yenu. Wao wanataka sasa. Wapeni taarifa sasa, mnakwepesha nini!!
 
Lakini kuna Mtanzania aliyeuwawa huko Kenya wakati wa vurugu zile, halafu muuaji akaachiliwa huru. Je Serikali ya Tanzania iliwaghi kudai maelezo?
inawezekana kabisa kuna Mtanzania aliuwawa katika vurugu za Kenya; ukweli ni kwamba hakuna serikali inayowajibika kwa maisha ya wa-Tanzania katika awamu hizi zawachakachuaji kina Kikwete. Kilichotokea Arusha kitabaki katika historia ya aibu katika nchi hii na CCM wasijidanganye, wahusika wote pamoja na Kikwete watawajibishwa mbele ya haki hata kama itakuwa ni baada ya miaka kumi ijayo. I hate CCM and Kikwete.
 
Kichuguu hiyo haihalalishi na wao tuwaue.

Siyo kwamba ninahalalisha, swali langu ni kuweka bayana jinsi gani serikali yetu isivyowajali raia wake. Ya Kenya imeulizia raia wao, je ya kwetu nayo iliulizia raia wake?
 
Correct!! Serikali yetu haina interest na welfare za raia wake.

hapo sawaa...serikali yetu haijali raia wake walio nje ....watu wetu wameuliwa marekaani ,kule India ndio wanauwa wanafunzi wetu watakavyo ...na hata mara moja serikali haijawahi kuinua mdomo na eti na sisi tunao mabalozi nje wanajamba kwa kodi zetu..wanatushangaa sana!!..kuna raia wetu wametekwa kwenye meli ya dubai hapo somalia ..membe wala haongelei hilo..stupid!!
 
Back
Top Bottom