Ubakaji ndani ya ndoa!

Nawashukuru kwa michango ya mawazo yenu. Kumbe, kumbaka mwanandoa ni mpaka yakosekane maelewano na ambalo haliwezithibitishwa vyepesi! Ahsanteni sana.
 
Serikali ya nchi ya Uganda imepeleka bungeni mswada wa sheria ya ubakaji ndani ya ndoa. Katika mswada huo inapendekezwa kuwa mwanamme atakayembaka mke wake atatozwa faini au kifungo cha mwaka mmoja au vyote.

Wana JF, hivi ndo ikoje? naomba nielimishwa jamani.:A S-danger:

Utakuwa mswada wa kishenzi, ikishakuwa ndani ya ndoa hakuna ubakaji ndo haki, wanaelekea kubaya kabisa. Inatia kichefuchefu. Utaifuatiliaje ndoa ya watu Wanataka kuwavuruga watu na familia zao bure.

I dont like it very bad and unacceptable!!
 
Back
Top Bottom