Ubakaji ndani ya ndoa umeongezeka - LHRC

Ubakaji ndani ya ndoa umeongezeka - LHRC

MIDFIELD

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
1,944
Reaction score
703
Jamani nimewaangalia wanaharakati wa haki za binadamu wakiadhimisha harakati zao wamesema kwamba unyanyasaji dhidi ya wanawake na ndoa za utotoni.

Kilichoniacha hoi mimi, ni pale waliposema suala la ubakaji ni kubwa ndani ya ndoa kuliko hata ubakaji wa kawaida.

Hii imenishangaza kidogo, hivi watu waliooana wanabakana!!! How?

Kama ni hivyo imekuwaje wameoana sasa kama bado wanabakana, yaani wanamaanisha mwanamke kubakwa na mwanamme. Hebu tujadili pamoja. Hii hoja ni kweli? Na imekaaje

Karibuni

Source: Habari ITV
 
watuondolee uzungu wao hapa.Mzima wa afya,hayupo kwenye cku zake,alafu aninyime nipige nyeto?
Hahahahaaaaaaaa, mkuu Yahoo umenivunja mbavu hapo kwenye redi
 
wazungu wangese sana labda kwa sababu wao hawalipi mahari huku unajikwina unatoa mahari halafu usiku agomee shenzzz kwani umesikia naogopa kulala peke yangu hadi nije nikuchukue kwenu na kukuweka kwangu huu ni upuuzi
 
Yani hawa naona wanataka kupandikiza mbegu mbaya kwa wake zetu. Waanze kutupimia kama chakula cha kuuza
 
kamusi ya Tuki mwaka 2011:

kubaka;- kufanya mapenzi na mtu bila ridhaa yake.

inaweza kuwa kweli maana sio muda wote mtakutana na hisia sawa za kufanya mapenzi, anaweza kufanya kukuridhisha tu ila haikua ridhaa yake!!!
 
wazungu wangese sana labda kwa sababu wao hawalipi mahari huku unajikwina unatoa mahari halafu usiku agomee shenzzz kwani umesikia naogopa kulala peke yangu hadi nije nikuchukue kwenu na kukuweka kwangu huu ni upuuzi

Hee kumbe mbakaji? Aibu naona mie sasa.....
 
watuondolee uzungu wao hapa.Mzima wa afya,hayupo kwenye cku zake,alafu aninyime nipige nyeto?

Ebu acha kujitoa ufahamu. Kabla ya kufanya mapenzi na mwanamke anatakiwa aridhie tendo hilo hata kama umemuoa. Kuna baadhi ya wanaume wanawalazimisha hata kama siku hiyo mke wake hajisikii, matokeo yake ni kumsababishia maumivu. Acha ushabiki
 
  • Thanks
Reactions: kui
Junior.cux sio kila maishani utafanya kwa ridhaa yako,mwanamke akisex kwa ridhaa ya pesa..utakuwa umembaka?
 
Wao wanaoana kwa mikataba na hata kupeana kwa mikataba inapangwa siku katika wiki si kila.siku so ukivunja mkataba ndo umembaka kibongo bongo haipo hivyo sisi tunatoa mahari inamaanisha umepewa ujichagulie wewe kila siku au kwa wiki mtapanga wenyewe haina mda wala siku unaweza ukapiga hata mara tatu kwa siku ni uwezo wako tu kwanza bongo siku hizi wanaume ndo tunabakwa maana mijimama inachukua vijitoto
 
kamusi ya Tuki mwaka 2011:

kubaka;- kufanya mapenzi na mtu bila ridhaa yake.

inaweza kuwa kweli maana sio muda wote mtakutana na hisia sawa za kufanya mapenzi, anaweza kufanya kukuridhisha tu ila haikua ridhaa yake!!!

kwenye ndoa hakuna ubakaji. hiari ya kufanya ngono tunaiacha kwenye viapo
 
Na tunaopewa likizo ya mwezi au wiki mke yupo bidheeee na masafari kila kukicha mnatuweka kundi gani?
 
Ni kweli kabisa. Raping ipo sana katika ndoa zetu na hili halitakwisha kama haijaja sheria ya kurekebisha hizi customary laws za mwanamke kuwa chini ya mwanamme na kutumika kama chombo cha starehe kwasababu tu ulimlipia mahari.
Ifike mahali muielimishe jamii juu ya mahari faida na hasara zake na yakionekana ndio chanzo yapigwe marufuku kama ulivyopingwa ukeketaji.
Ni vema wanandoa wakapata elimu juu ya ndoa badala ya kitchen party ya upande mmoja tu.
 
Hahahahaaaaaaaa, mkuu Yahoo umenivunja mbavu hapo kwenye redi

aisee it seems yahoo ameandika kwa hisia sanaaaaa.
Me namkumbusha tu kuna sheria ya ndoa na mambo ya kujamiiana ya 1998 imezungumzia wanandoa kubakana na kubakuana
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa. Raping ipo sana katika ndoa zetu na hili halitakwisha kama haijaja sheria ya kurekebisha hizi customary laws za mwanamke kuwa chini ya mwanamme na kutumika kama chombo cha starehe kwasababu tu ulimlipia mahari.
Ifike mahali muielimishe jamii juu ya mahari faida na hasara zake na yakionekana ndio chanzo yapigwe marufuku kama ulivyopingwa ukeketaji.
Ni vema wanandoa wakapata elimu juu ya ndoa badala ya kitchen party ya upande mmoja tu.

Aiseee! Sasa, ni wakati gani mume na mke wajamiiane ili isionekane kuwa mwanamke kabakwa au kafanywa chombo cha starehe?
 
Back
Top Bottom