Nipo tofauti na wanaume wengine. Wengi wananambia nikienda kwa mganga ntatibiwa tatizo hili

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
nmeona tu niseme pengine naweza pata ufumbuzi au in english solution. Wana jamiiforums,ndugu,marafiki na jamaa zangu nahitaj katika hili mnisaidie.

Kiukwel sababu kubwa inayonifanya nisidumu na mademu wengi ni kuwa MIMI NI BAHILI SANA. MIMI SIJUI KUHONGA NA SITAKI KUHONGA. PIGA UA,KATAKATA,CHOMACHOMA, GARAGAZA, SIHONGI.

Hii tabia nlijifunza zamani sana baada ya kuwa nlikuwa nadate demu flan ambaye alikuwa ana jamaa yake ambaye alikuwa anamkatia pesa. Naye demu akawa ananikatia mimi au ndo anatumia hizo pesa nika msawijishe mitaa ya kati.

Hilo jambo lilinifanya nifikiri sana. Nikaona kumbeeeeeeeeeee.... Ikaja tena nikapata mwngne naye alikuwa hivyo hivyo basi i learnt smethng. Sasa nmekua bado ni mgumu kuhonga.

NIHONGE ILI IWEJE? mimi sinunui penzi hata siku moja. Kama nataka game nataka hata mpenz wangu naye atake game siyo eti mimi ndo nataka yeye hatak kwa hiyo nikalipe. Najiamini raha tunapata wote so why should i pay?

Kama hii itanifanya nisiwe mwnaume acha iwe hivyo. Wanaume wengine mtajua madhara ya kuhonga siku moja. Misichana ya siku hizi mingi ni MANG'AMUNG'AMU( yaani haijatulia) unakaa nalo macho yapo juu juu tu nalo linatafuta wapi pengine pa kuangukia. Mi nlishajifunza kutoweka miguu yote ndani. Na ndo maana dk chache tu msichana anaweza kuwa ex wangu.yaani tukaachana tena bila ugomvi wala chuki.

Halafu wivu ndo sina kabisa... Naweza nikajua demu wangu amegongwa akija simuulizi navaa ndom nakula mzigo then kama kawaida tu. Mmoja alikuja kigundua kuwa mi nmemla na nikajua jamaa yangu kamla then nikaendelea kumla alishangaa sana. Nikamuuliza why nigombane kwa kiungo chake mwenyewe anaweza tumia atakavyo?

Tabia ya midada ya siku hizi ukichat naye mara mbili tatu tu utasikia naomba pesa ya lunch, au vocha, au mafuta gari nmepark. Manyang'au wakubwa. Mimi sihongi. Ila kama napata msichana anayejiheshimu naweza mpa pesa kama zawadi au msaada. Wapo. Unakaa na msichana miezi 6 hajakwambia ana shida na pesa.huyo oa. pesa nampa mama yangu,familia yangu na washkaji tunasaidiana.hata msichana decent naye tunaweza saidiana lakini siyo ligurunyembe nilipe pesa kwa ajili ya mikasi.

Haya masichana mengine ukiwa naye ni kama una date matatizo. Mara ada chuo haijatosha,mara pesa ya hostel, mara anatatizo anataka lak1 ,mara salary imechelewa, mara anaagiza mzigo kapungukiwa pesa... Hizi mbinu mi nazifaham kitambo sana.

Jamaa zangu wananambia niende kwa mganga anifungue mifuko yangu. Mi ndo maana mpaka leo sitak mpenzi wa uswahilini au njaa kali. Tena asinisogelee kabisa. Na pia demu nikikutaka njia nzuri ya kunikataa ni kuniomba pesa. Sirud tena kwako.
 
Ni mwiko kuhonga dem akitaka anihonge mimi

utam anaopata yeye ndo utam naopata mimi




GoStop Master
 
Hongera Mkuu,ni Ukweli mtupu.
Unakuta mwanamke hajawahi kojozwa hata cku moja kidume unafanya kazi kwa ufanisi kwanini asikuhonge na kukuganda
 
Ha ha ha.... We MBITIYAZA ningekupa.marafiki sina tatizo nao.hawa huwa tunasaidiana...shida ni kwa wanawake mang'amung'amu. Hawa hawanichuni. Ngozi yangu ni ya chuma..


ahahahha eti mang'amu ng'amu !haahahah maana ya ung'amu ng;am nadhan ni kublink blikn eyes !uwiii !twafaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Na hili ndo la msingi sana. Sikutaka kusema sababu ile team wajeruhiwa wangu wangekuja kusema najipigia promo..... Mi nahangaika na kuweka udambwi dambwi mwingi kwnye show mpaka demu anaamwaga tu kila dk then na pesa nimpe? Huu ni wendawazimu kabisa. Anasahau maufundi yangu kibao na kujitoa kwangu
Hongera Mkuu,ni Ukweli mtupu.
Unakuta mwanamke hajawahi kojozwa hata cku moja kidume unafanya kazi kwa ufanisi kwanini asikuhonge na kukuganda
 
Mm binafsi nilikua nahonga Mara 1 cku ya Kudu, nikiwa na malengo lazima zirudi sasa hapo mwanaume unatakiwa uonyeshe KAZI
 
Na hili ndo la msingi sana. Sikutaka kusema sababu ile team wajeruhiwa wangu wangekuja kusema najipigia promo..... Mi nahangaika na kuweka udambwi dambwi mwingi kwnye show mpaka demu anaamwaga tu kila dk then na pesa nimpe? Huu ni wendawazimu kabisa. Anasahau maufundi yangu kibao na kujitoa kwangu


uwii my ribs !kha
 
Back
Top Bottom